Anaandika Humprey Polepole kuhusu Salamu alizotuma Mbowe kutoka Gereza la Ukonga

Kama kweli Mbowe hakuhusika, hao walinzi wake wangetetewa kama Dreva wa Lisu na Mdude kwanzia walipokamatwa.
Kwa kauli hii anakiri dereva wa Lissu na Mdude walionewa na hawakuhusika tofauti na tuhuma na madai ya jeshi la polisi!
 
Huyo babu polepole, sidhani kama anayafahamu hayo. Akili na uelewa wake ni kibaba. Dunia yake inaishia kuta za lumumba, ya Afrika Kusini atayajulia wapi?
 

"But not now, watanzania wa sasa siyo wale wa 1947. New generation!"

Kwani hiyo new generation ni watanzania wa Chadema peke yake?

Ukikaa Jamii Forums ukapitia threads za siasa utafikiri nchi hii inaungua moto.

Nope. Tena umesema ukweli, watanzania wa leo hii si wa mwaka 47. Watanzania wa leo wameshapata uzoefu toka enzi za akina Lyatonga Mrema, Lipumba, Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo wake, Dr. Slaa na wengineo kibao kwamba ni ujinga kuwekeza katika siasa za akina tom and jerry za upinzani wa Tanzania.

Watanzania sisi hapa wa kawaida tupo mashambani, maofisini na viwandani tukipambana kwa ajili ya maisha yetu na wanetu, kama ambavyo wanasiasa wanafanya.

Leo hii karne ya 21 kila mmoja afe kivyake. Tuliwaamini kipindi fulani mkatuona mazoba.
 
Polepole aache Unafiki kwani ameshaona amelikoroga kwa Mwenyekiti ( Rais ) Samia na kuna Hatari mbele yake pamoja na Wenzake Wawili inakuja sasa anataka Kumzuga Mama kwa Kumfurahisha na haya Maoni yake ili amsahaulishe.

Tayari Rangi yake katika Utawala huu wa Rais ( Mwenyekiti ) Samia imeshajulikana na aanze Kujiandaa hasa Kisaikolojia kwani kwa wanaomjua Mama ana tabia zote za Mzee wa Msoga za Kukumaliza huku anakuchekea
 
Mh.Polex2 CCM Kuna fuka Moshi, ficheni matatizo yenu kwa kumwita Mbowe Gaidi, hivi ugaidi unatafutwa kwa tochi??? ,muongeezeeni na Ile tuhuma kuua viongozi akiwemo JPM.
 
CCM wanajua kuwapigia mwingi chama cha magaidi aisee, Juzi walikuwa wanamsifia Polepole, leo wanamwaga matusi kwake!! CDM ni janga la taifa
 
Jaribuni kukifuta chadema ili tugawane fito vizuri yani mtutawale kiseng. Halafu na sehemu yetu ya kutolea dukuduku muifute jaribuni mfurahie shoo.
Hahahaha! Keyboard warrior! Makongamano ya kudai katiba vipi mzee? Mpo kimya sanaa, mlisema mnakiwasha mikoa yote watake wasitake
 
bado hii takataka mnaichukulia serious , mtu alikua na nyoooodo sasahivi anapigwa spana na mashoga kina Shaka, hahaaaaa atulie tu aendelee kubugia mbaazi tu maisha yasonge, polepole ni crap mchumia tumbo mwanaharakati njaa
 
Hizi ni dalili za mtu kuchanganyikiwa.
Unajua hakuna kitu kinauma kama uko safarini alafu ukabanwa na haja kubwa alafu bado safari ni ndefu uhakika wa kukadiria labda hotel itakuwa sehemu fulani hauna hii situlesheni huwa hata ile safari yako huifurahii unaweza ona hata ng'ombe anaula nyasi pembeni ya barabara ukamkasirikia tuu bila sababu
 
Kunywa maji utulie mfuasi wa Gaidi, utapaliwa!! Mama ni kipenzi cha westerners, ndiyo maana maigizo yenu ya kipuuzi wameyatupilia mbali!! Yaani westerners wamwekee vikwazo kwa kulifunga gaidi wakati wao kauli mbiu yao ni "War on Terrorism"? Magu na undava wake wote hawakumwekea vikwazo waje wamemwekee mtu anayewasaidia kuyaondoa magaidi mtaani? Leo kapewa dozi mil 17 za Covid na hao unaosema watamwekea vikwazo, it seems wamefurahi gaidi kuwekwa sehemu salama wameamua kumpongeza Samia. BTW kujua kubwatuka majukwaani haina maana ndiyo unajua kuongoza, ingekuwa hivyo Mwijaku/Babalevo wangekuwa viongozi wakubwa muda huu
 
Chakubanga huyu huyu mchumia tumbo akili yake yotee alimkabidhi Jiwe akaondoka nayo,ana hasira ya kukosa V eighty aliwahi sema kwenye uchaguzi halali wa tume huru ,ccm inashidwa asubuhi mapema.Ni mganga njaa wa kupuuzwa.
 
Acha kumfananisha Mandela na vitu vya kijinga
 
Chadema kwa skendo hii ikiwa ni kweli, mtajisafishaje? mtakisafisha vipi chama chenu ikiwa matukio magumu magumu yote ni yenu

Tuhuma za kina marehemu Chacha wangwe zitaunganishwa, basi litakuwa chama la wanyonya damu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…