Anaandika Humprey Polepole kuhusu Salamu alizotuma Mbowe kutoka Gereza la Ukonga

Bwana na Hon. Polepole elimu yako isikutoroke ukiiona kwa macho yako.
Kutuhumiwa kwa ugaidi siyo kwamba wewe ni gaidi. Tuhuma siyo hukumu!!!!!!!!!!!
Wangapi mliwaonea enzi zako na mwendazake leo hii wameachiwa kwa kesi zao kufutwa baada ya kuona hazina mashiko.
Polepole enzi na nyakati zako nina hakika zimepita zimebaki za kushughulikia jimbo la kuteuliwa sorry maalum.
 
Pole pole ukitaka kuwa mshindi kwenye kamali ni baada ya kushinda acha kucheza ondoka na kibunda,sasa wewe unaendelea kucheza wata puna kile ulicho pats na utaenda sakula akiba yako yote.Ccm ina lundo la watu wapo poleni wanasubiri fursa wewe nashukuru mungu kwa ulicho pata kaanzishe miradi umlee familia yako kuendelea kupiga domo nisawa kuendelea na kamali fursa aliye kupa Magufuli hutapata tena na ndiyo una fade out usipo jipanga shauri yako ukione ulikuwa umewadharau na unawafokea sasa wao wanakufokea hiyo ni alarm principle ya maisha huwa hayarudi nyuma acha domo ndugu unaonekana kituko sasahivi
Mara umeongea hiki ukawachefua ccm mara leo umewachafua chadema kesho utawachefua ndugu zako wa ukoo
 
Polepole umeshachemka acha kujipendekeza, katika siasa fanya makosa yote ila usifanye grave mistake, tayari umeshasomwa, ukiweza fanya kama Nape, tembelea magoti hadi ikulu, twit hazitasaidia.
 
Wengine wakiongea mnasema wanaingilia uhuru wa mahakama!
Na we umemsemea 'mama'; kwani bado ni msemaji mkuu wa chama au wa rais? Kama sio, mbona unashangaa mtoto kumsemea 'baba' yake? Kwenu uhuru wa kujieleza (freedom of expression) ni kwa CCM tu!
Kuna siku mtaelewa kwamba freedom of speech ni haki ya Binadamu WOTE isiyozimwa kwa bunduki.


Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Keenan amemwambia Polepole ashike adabu zake!
 
Jaribuni kukifuta chadema ili tugawane fito vizuri yani mtutawale kiseng. Halafu na sehemu yetu ya kutolea dukuduku muifute jaribuni mfurahie
Wazalendo, Cuf na vyama kibao bado wapo, usifikirie Chadema ndio wapinzani peke yao.
 
Hapa Polepole ametenda kama mbunge wa rais. Alishanisikitisha sana kwa kuanza kujirekodi viclip anajichekesha huku akidai anafurahi majukumu yamepungua. Nilibaki najiuliza yeye kama mbunge wa rais anapata wapi nguvu za kusema amjukumu yamepungua ilhali rais ana mambo mengi ya kufafanua kwa wananchi kupitia wapunge wake? Naona karudi ofisinini sasa.
 
Polepole yuko geti kuu anasubiri teke mgongoni tutaona utaelekea wapi?
 
Jibu hoja zake, ambazo zimedhihirisha udhaifu wa katibu wa sasa wa Chadema, John Mnyika, tuliousema toka mwanzo!

Kuna tofauti kubwa kati ya kufikiria na kuyapangilia maneno na kule kufikiria na kupangilia hoja za maana jukwaani. The Mnyika anajua kufikiria na kupangilia maneno jukwaani lakini amekosa kufikira na kupangilia hoja jukwaani.
 
Kwa hiyo ulitaka chadema wakae kimya kwa uongo uliosemwa na Mwenyekiti wenu, ni kesi ipi Mbowe alifunguliwa mwezi wa tisa, hao waliosemwa walihukumiwa na wanatumikia vifungo ni mahakama gani iliwahukumu?Chama hakiwezi kukaa kimya kuhalalisha uongo uliosemwa
 
Lini kaanza kumuita mama yetu mpendwa?
 
It seems you lack the capacity to critically analyse the content of character of Chadema leadership. Things will come calling.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Vipi Corona, jiwe kesha mvusha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…