Anaandika Humprey Polepole kuhusu Salamu alizotuma Mbowe kutoka Gereza la Ukonga

nimelala nimeamka mpaka sasa nakunywa zangu kahawa bado sijaona mtu yeyote amejibu hoja za Polepole (HP) nitachoona mpaka sasa mnamshambulia na kumtukana tu Polepole (HP)...

Inawezekana Polepole akawa na matatizo yake kama mnavyojaribu kutuaminisha lakini wengine tunahitaji kuona majibu ya hoja zake...kuanzia hii ya Mnyika na ile ya ndugu wa chairman kuaddress masuala ya chama wakati chama kina afisa habari wake..
 
Makamanda tujibu hoja tuache kushambulia mtoa hoja...
 
Sasa kama member wa familia amepewa ujumbe na Mbowe alipomtembelea gerezani kuna ubaya gani kushare na jamii kuhusu salamu hizo?
Alitaka hadi ujumbe utolewe na Mrema au Makene?
Huyo Polepole binafsi sijui kama ana akili za ujana au za uzee maana naona always he is useless kwenye kila asemacho.!
 
Wewe ni mpuuzi umelikoroga kwenu huko unatafuta pa kutokea,tulia Dawa ikuingie ya chadema yanakuhusu nini ili hali ngoma yenu hamjaimaliza
 
Mbunge wa viti maalumu anaohopa kuvuliwa ubunge,baada ya jana chongolo kuwaambia dawa yao iko jikoni.
 
CHADEMA NI SACCOS YA MBOWE ANA HAKI YA KUMTUMA MTU YOYOTE KUZUNGUMZIA SACCOS YAKE CHADEMA WAHUNI KAMA WAHUNI WENGINE TU
 
Una akili timamu?Kwani unawaza kupitia tundu la chini?
 
Mwambieni hawamtaki huko... Anaanza kujikosha.
 
Pole, Pole Pole. Hukutaka kwenda polepole kama jina lako lilivyo. Umeshawaudhi wenzio ccm sasa unajaribu kujikosha kwa kutumia ussue ya Mbowe. Unatamani ungekuwa bado msemaji wa chama chako lakini unajua "imetoka hio".

Sasa unazungumzia Chadema kama nani kwenye ccm wakati wewe sio msemaji tena lakini hapo hapo unasema ndugu yake Mbowe hastahili kusema lolote kuhusu Mbowe?

Chama chako kimeshakujua wewe ni kigeugeu. Kama ulivyowageuka Wapinzani na Watanzania kuhusu Katiba Mpya, hivyo hivyo umewageuka wenzio kwenye chama chako sasa. Huaminiki. Na dawa yako inachemka. Badala ya kushukuru ulipewa ubunge wa kuteuliwa umemgeuka aliyekuteua. Ndio maana nakwambia:- Pole Polepole, jifunze kwenda polepole !!

Sent from my SM-J120H using JamiiForums mobile app
 
Kwanini huyo Babu kijana asijikite kwenye mambo yake na Gwaj Boy, ya kupinga chanjo?! Au anataka kupoteza hoja baada ya chama kumtaka awe na adabu?!
 
Mbona tena anaanza kujikomba komba kama mjamzito wakati yeye he is no longer mwenezi wa chama taifa. Polepole haijui CCM kama vile aliaminisha jamii. He just learnt everything from his position otherwise ni mweupe wa siasa za CCM.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…