ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,728
- 34,860
Acheni akili fupi ile ichi usalama haujatengamaa bado. Yule ni raisi wa mpito akishamaliza kazi yake ya kuimarisha usalama na kutengeneza taasisi anairudisha ichi kwenye utawala wa Kiraia mkae kwa kutulia jamani mpunguze na viherehereNi muendelezo wa ujinga ule ule na kujitafutia sifa binafsi bila kujali kesho.
Sio rahisi yule mpaka Mungu amchukueAcheni akili fupi ile ichi usalama haujatengamaa bado. Yule ni raisi wa mpito akishamaliza kazi yake ya kuimarisha usalama na kutengeneza taasisi anairudisha ichi kwenye utawala wa Kiraia mkae kwa kutulia jamani mpunguze na viherehere
Hizo akili zenu za kisisiemu mziachage huko huko bongoSio rahisi yule mpaka Mungu amchukue
Mimi sina uhusiano wowote na ccmHizo akili zenu za kisisiemu mziachage huko huko bongo
Haya unayoyaongelea Tanzania yapo? Achana na nchi za watu, pigania kwanza haya kwenye nchi yako, yakipatikana anza kumponda Traire mawe.Ni ukweli kwamba anachofanya Ibrahim traore ni jambo zuri in term of mabadiliko ni jambo ambalo waburkinafaso wanafurahia ma waafrika wote wanafurahia
Hawa viongozi wengi wa afrika ambao ni charismatic wanachangamoto moja inayofanana wana-upeo na hesabu ndogo sana naweza sema hivyo wako ambao watakuwa supprise sana na hii statement bali ndo ukweli
Hawatengenezi taasisi imara mfano
- Mahakama huru
- Bunge huru
- Mamlaka ya kupambana na rushwa huru
- Ofisi ya mwendesha mashtaka (DPP) iliyokuwa huru jambo la kufahamu ni kwamba sisi kama binadamu tunapita ila ukitengeneza misingi imara inaweza dumu
- Tume huru ya uchaguzi ambayo traore hataki hata kukiongelea
Hata sankara aliongoza nchi as if ataishi milele akasahau sisi ni wapitaji hapa duniani
Kilichotokea Libya kinaweza kuwa somo kwetu waafrika lakini sisi ni ngumu sana kujifunza gaddafi aliitengeneza Libya sana ila ilikuwa ni one man show yaani hakutengeneza taasisi imara, kama Libya ingekuwa na taasisi imara basi hata bila uwepo wa gaddafi nchi ingeendelea vizuri tu
Mimi kiongozi ambaye haamini kwenye strong system basi nakua nimeshamshusha sana kwa sababu hicho anachokifanya ni sawa na kujenga nyumba juu ya mchanga bila msingi siku ikija mvua kubwa na upepo basi myumba inabomoka sababu mfumo wowote lazima uje uwe tested kama ni imara au la
Ibrahim traore anayoyafanya yaendane na mifumo imara ya kuitawala nchi na sio one man show
MIMI NIKIWA RAIS WA TANZANIA NTATENGENEZA MISINGI IMARA YA UTAWALA HATA KAMA SITAKUWEPO BASI MAMBO YANAENDELEA KAMA KAWAIDA NA VIZURI ZAIDI
Support hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way 👇👇👇👇👇👇👇👇 Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...www.jamiiforums.com
Naipigania sana Tanzania labda kama ni mgeni kwenye nyuzi zanguHaya unayoyaongelea Tanzania yapo? Achana na nchi za watu, pigania kwanza haya kwenye nchi yako, yakipatikana anza kumponda Traire mawe.
Afrika hatujawahi kuwa na demokrasia bali maigizoKwenye bara letu la afrika democracy ilibidi ije baada ya miaka 100 ijayo
Hiyo one man show wanaweza zile tawala za kifalme za kiarabu na sio waafrikaKuna wakati lazima tufikirie yamkini kuna baadhi ya mataifa kutokana na nature za watu wanahitaji one man show, na sio one man slow, ama hizi democracy. Nature ya watu ndio itambue aina ya uongozi na si kukariri kila kilichopangwa na mzungu.
Tatizo nchi zetu hata kiongozi awe mzuri kiasi gani kuna watu pia wanaitaka nafasi hiyo hivyo inakuwa vigumu kulast ile regime hata kwa vizazi, wengi hawaangalii mazuri ya kiongozi wanaangalia zamu zao nao waongoze hapo ndo tatizo linapoanzia.Hiyo one man show wanaweza zile tawala za kifalme za kiarabu na sio waafrika
kwani kilichokwamisha mchakato wa katiba 2014 ni muda au tamaa za watu binafsi?Yaani mabadiliko ya katiba unayeleta mwaka 2024 si tunarudia makosa yale yale yaliyofanyika kwenye katiba ya warioba sababu ni wazi mchakato wa katiba unahitaji mda mrefu sana
Mudakwani kilichokwamisha mchakato wa katiba 2014 ni muda au tamaa za watu binafsi?
Vipi kuhusu hawa madalali wa sasa hivi?Hata magufuli aliongoza as if ataishi milele na ataongoza milele
Bora one man show wenyewe kuleta maendeleo kuliko mijitu mingi kila mtu na mambo yake nothing gets done.Watu wa hivi ndio maana kwangu Huwa nawaona ni WA hovyo.
The kind of kina Mwendazake
Hivi Sankara hata ulishamsoma au ulimaanisha nini ?!!!! Hivi unajua vitu alivyoanzisha Sankara in terms of Taasisi ? Hata hilo jina Burkinafaso unadhani lililota wapi ? By the way Dunia ya Sasa ni wapi Demokrasia inafanya vizuri na sio nyenzo ya OligarchsMbaya zaidi hajifunzi kwa mtangulizi wake sankara
Maendeleo yapi hapo Sasa ya maana?Bora one man show wenyewe kuleta maendeleo kuliko mijitu mingi kila mtu na mambo yake nothing gets done.
Tulikuwa na umeme wa 27k hapa watu wameruka mpaka 330k.
One man show ndio yenyewe kama putin tuu
Sii hayo ya umeme buku 27 wee sii uliona tulivyokuwa tunaenjoyMaendeleo yapi hapo Sasa ya maana?
Uliwahi unganisha umeme Mjini Kwa 27k? Vitu vya Bure vinaendekeza uvivu na ujinga.Bora one man show wenyewe kuleta maendeleo kuliko mijitu mingi kila mtu na mambo yake nothing gets done.
Tulikuwa na umeme wa 27k hapa watu wameruka mpaka 330k.
One man show ndio yenyewe kama putin tuu