Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

CCM walizoea vya kunyonga vya kuchinja hawawez....
 

Wewe pascal mayalla una weweseka unajua vile vi deal vya PPR ndio mwisho...acha watu wafanye kazi...tumechoka kukumbatia wizi na ufisadi...nyie ndio mnakwamisha maendeleo..na vijikampuni vya kwenye brief case eti PPR.....rubbish....
 
wezi ni sisi na tunahitaji huduma ni sisi
 
Dah! Huyu Magufuli na mwenzie wataua watu kwa mashinikizo ya damu; Yule mzee nilimhurumia sana, kama ni mgonjwa unamuua! Sifa zimewazidi, sasa wanaenda mbali zaidi.
 

Anadhani nchi inaongozwa 'kiprimary school'
 
mwaka 2010 walitutukana kuwa elimu bure haiwezekani Leo wanasema inawezekana bado cement na bati kushuka bei....waendelee kuchimba huko kwenye .adini Luna makontene ya madini husafirishwa kinyemela...bado TANAPA
 
Ili uendelee kuwavua chupi na kuzini na watoto wa wenzako.Zaa wako nae umfanye kama unavyowafanyia wa wenzako, usipomvua wewe atavuliwa na wengine kama first law of KARMA inavyosema mpumbavu mkubwa wee.Jinga kabisa.
 
Ndo maana Rais wetu alikuwa anasema chagua Magufuli na siyo chagua CCM. Alikuwa anajua uozo wote wa ccm.

Nitafurahi kwenye baraza lake la mawaziri kama atapiga chini wote waliokuwa wasimamiz wa wizara na wakashindwa kuzuia ufisadi na wengine kushiriki kabisa kwenye huo ufisadi.

Nitashangaa sana kuona kama hawa watu watarudishwa kwenye cabinet ijayo
 

Kwan hilo lina jipya gn!? mbona Kikwete pia alisemaga ivo ivo?!
Tatizo jingine ni kuanzia lini ndo wanalipa, contena za mwisho au tokea waanze biashara!?
 
Wewe wa wapi? ilala au kilungule? Grace period ipo kila sehem na inaruhusiwa kutumika! wame avoid ile kumkamata mtu halafu akaomba nipeni 3 days nitafute nitalipa! that's why wamepewa siku saba! Mind you kuwa hapa pana wengi ambao makosa yao ni indirect na direct! so within seven days of grace period wanapata mda wa kusolve or kusave! Its two sided thing!
 
Pasco anashindwa kumuhurumia mgonjwa anaekosa dawa kwa sababu watu wamekwepa kodi yeye anamhurumia mzembe na muongo kisa kasemwa hadharani kwa kudanganya hadharani
 
Inawezekana ukawa na hoja nzuri, ila kwa hali ilivyo sasa waache wasafishe kwanza hali ikishatengamaa ndio tutakumbushana huo ustaarabu unaouhubiri.
 
dah! hivi ni kweli uwezo wako wakuelewa na kufikiri ndio umeishia hapo? au ili mradi umepinga? ulitaka afanyeje au asemeje?

Uongozi ni busara na mbinu. Jiongeze!
 

Mdau using'ate maneno,issue ni kwamba wamepewa siku saba walipe sasa mambo ya uongoz wa umma yanatoka wapi hapo?kukwepa kodi ni kosa kisheria,anayekwepa kodi anapaswa kufanywaje?sasa labda tusaidiane hapa Sheria inampa siku saba mkwepa kodi?na akishalipa aachwe?mbona mnataka kuleta porojo nyiiiingi zinatoka wapi tena,
 
Pasco, pasco, pasco umenichekuesha sana unapofananisha uendeshaji wa nchi na familia yako. Naomba nikuombee msamaha kuwa uliteleza katika makala yako hii. Vyote unavyotaka vifanyike vilishafanyika huko nyuma bro. Na havikuleta tija. Kunakiongozi aliyependa kubembeleza kama kikwete? Sasa jiulize style yaki ilisaidia kitu? Kwenye leadership bro kuna different leadership styles na kila mtu anayo ya kwake. Na kwa maoni yangu style ya kinamagufuli ndio inatufaa sisi watanzania. This time it is all about results. Kasome historia yako ya wakina kennedy walivyopambana na mammafia.
 
Hivi uozo uliopo penye taasisi hizi mbili ni wa kuuliza!watu wamezoea kufanya kazi kwa mazoea maadili ya kazi hayafuatwi kisha watu wanataka wabembelezwe alie toa mfano wa jerry rawlings namuunga mkono watu wanakufa mijini na vijijini kwa kukosa dawa muhimu kisha mtu anataka tuwabembeleze wazembe wasio na haya wala huruma na binaadamu wenzao!Pasco kwa hili tumetofautiana ndg yangu kuna watu wanaishi maisha ya ajabu sana hapa kama hawapo tanzania.
 

hizi ndo chai sasa,hadi jana amewaambia ni dhahiri walikwepa kodi,so sheria inasemaje kwa mkwepa kodi?
 
dah! hivi ni kweli uwezo wako wakuelewa na kufikiri ndio umeishia hapo? au ili mradi umepinga? ulitaka afanyeje au asemeje?

Uongozi ni busara na mbinu. Jiongeze!

Sasa busara si kufuata sheria jamani,mtu amekwepa kodi busara gani zaid ya kufata sheria,maana washtakiwe na kodi walipe ikiwezekana na.mali zitaifishwe,naona kwenye hili la kodi mnapindisha utaratibu makusudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…