Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

Wote tuliona comments zako humu za kujisifu kuwa kwa kubeba maboksi USA umeweza kumiliki apartments Masaki na Msasani. Leo unakana maneno yako mwenyewe!? Kweli binadamu wanafiki.

Weka hapa link ya nilipoandika hivyo.

Weka hapa.

La sivyo nawe utakuwa mzushi tu kama hako kabinti ka Kichaga kanakotafuta madume ya Kisukuma humu jamvini.
 

teh teh tulia dawa ikuingie mbeba box wa hapo harlem street
 
Shangaa wewe mkuu... Au labda aliandikiwa..

Bibie Stephanie na mwenzako Hamida Malembeka, kwa nini mnashindwa kuweka hapa link au nukuu ya nilivoandika hivyo?

Acheni uzushi, wekeni hapa hayo maneno tukate mzizi wa fitna.
 
Nirudishe Ignore List, umenitoa lini?? Sasa kuna umuhimu gani wa kuniweka Ignore List??

Aya nirudishe usije pigwa Ban ukakosa kuwadanganya mburulaz..

Weka hapa niliposema nina apartments Masaki na Msasani.

Unashindwa nini kuweka?
 
Watu wanafisadi nchi unaleta ubwege wa ustatarabu kama ulizoea kula vya bure sasa imekula kwako shame on you!

Kama hataki kungozwa na hawa jamaa ( Magu / Maja), aende msoga akaongozwe huko. Au jiongoze mwenyewe
 
Pasco ,

Huyo Majaliwa anatumwa tu. Mwenyewe Magufuli.

Na kama hamjaweza kumsema Magufuli alipolipangia bunge jinsi ya kufanya tafrija, kitu ambacho hana mamlaka nacho kikatiba ( checks and balances haziruhusu, I haven't seen an article on this), huyo Waziri Mkuu kuvamia mashirika ya umma, kitu ambacho ana mamlaka nacho, hamtaweza hata pa kuanzia.
 
Last edited by a moderator:


+1-404-671-2465

Wewe endelea kupiga boksi hapo Atlanta.. Ila upuuzi na mbwembwe za kudanganya watu humu uache

Utakuja kuaibika tukiletea uzi wa kuchangia maiti yako irudi Tanzania man.. Jina ulilojijengea humu JF na maisha unayoishi wala sio..
 

Inaonekana wewe una upeo mdogo sana
hadi comments zako zingine nashindwa ku reply

Kama wewe mwananchi unapenda kinachoendelea basi ujue wapo wananchi wengine hatupendi pia kinachoendelea
hatupendi kusikia waziri mkuu kagundua makontena yamepotea kila siku
tungependa hilo tatizo liwe fixed for good....wezi wakamatwe wafungwe..system ibadilishwe
biashara ziendelee na tuzungumze mengine yenye umuhimu..

sio kila mtu ana enjoy kutazama tv na kukuta the never ending story ya makontena.....
wengine tungependa story tofauti huko bandarini ...success stories.....

sisi wengine hatumpongezi mtu kwa ku expose tatizo
tunapongeza watu kwa kuli fix tatizo for good....sio kila wiki habari ndo hiyo hiyo...
 

Wengine tulihoji kuhusu hilo suala la bunge.

Tukaambiwa eti rais naye ni sehemu ya bunge na ndo maana hulivunja na kulifungua.

Na kwamba eti ile tafrija iliandaliwa na ofisi ya rais na si bunge.

Hii awamu ya tano imeingia na staili ya aina yake kweli.
 
Dhamana ya kusimamia kazi za serikari na ndoa za watu majumbani kwao wapi wapi.

Kiongozi anaangaliwa jamii yenye watu 46million na wanamatarajio makubwa kutoka kwao kuleta mabadiliko.

Kuna watu hivi anavyofanywa wanaweza pata morale na wao ya kazi kama PM kachoshwa na mimi sasa nisivumilie inaweza kuwa ata motisha ya ku-snitch kwa kujua litafuatiliwa katika nchi iliyojaa ufisadi hili litapunguza sana kazi za uchunguzi kama watu wataripoti kutoka makazini michezo michafu

Kionogozi inabidi aongoze kwa mfano kwa kile anachotarajia ili kila mtu ajue ni kipi sasa akitavumiliwa. Bila ya kusahau mobilization of public support katika nchi yenye watu ambao wamezoea kuona wasimamizi kutochukua hatua za watu wazembe wakiitana ofisini nani atajua tatizo lina shughulikiwa.

Leo Sugu Mbeya kawataka watu wanaogombea nafasi ya meya mjini wajue inabidi waende na kasi ya serikari ya magufuli hakumtaja Mbowe wala Lowassa. Hio ndio faida ya kinachotokea wananchi wanapata moyo na serikari yao, viongozi wanaona mifano ata wale wa upinzani, taasisi zinaunga mkono na wananchi sasa wanaona ni wajibu wao kuwasaidia viongozi wao; sasa mambo ya nyumbani kwa watu yanatuhusu vipi sisi raia na kabisa kuna watu wanalipa kwa shughuli za PR kutoka kwa mleta zis iz ku kol ze majanga.
 
Wote tuliona comments zako humu za kujisifu kuwa kwa kubeba maboksi USA umeweza kumiliki apartments Masaki na Msasani. Leo unakana maneno yako mwenyewe!? Kweli binadamu wanafiki.

Kumbe Ni Mpiga Fix Maarufu Au Ndio Zile Apartments Pale Bonde La Mpunga
 
Weka hapa niliposema nina apartments Masaki na Msasani.

Unashindwa nini kuweka?

Huo muda wa kwenda kupekua uliposema sina.. Ila walioona wanakushangaa hapa unavyokataa.

Kama vipi nirudishe Ignore List tu ntakuboa..
 
Inakuuma sana au... mbona sikuelewi... AU WE NDO MAFISADI WENYEWE???
 

Pasco nmeanza kumdharau, kwamba yeye anaona ya JK waliye mwita dhaifu siku zote ndio ambayo angefuatisha Magu.

Pasco alituhakikishia Lowasa lazima awe rais kwa njia yoyote sasa anavuna aibu!

Hapo bandarini kuna cheni ambayo ukiifuatilia lazima ukamguse Lowasa, Kikwete, Rizone na wengine wengi tu! Sasa anachofanya Magu na Majaliwa ni kuonesha kwamba zama zile zimepita!

Ushauri tu kwa Pasco aache kujidhalilisha hivi!
 
+1-404-671-2465

Wewe endelea kupiga boksi hapo Atlanta.. Ila upuuzi na mbwembwe za kudanganya watu humu uache

Utakuja kuaibika tukiletea uzi wa kuchangia maiti yako irudi Tanzania man.. Jina ulilojijengea humu JF na maisha unayoishi wala sio..

Weka hapa niliposema nina apartments Masaki na Msasani.

Sasa na hiyo namba ya simu ndo unataka kusema kuwa ni yangu?

Hahahaaa hebu ipige basi tuone....

Na maisha yangu wala huyajui kabisa.

Usitake kujifanya unayajua. Huyajui, mimi hunijui [wait...yeah naitwa Richard Muguzi:biggrin1:], na hujui chochote juu yangu zaidi ya kunisoma tu humu.

Na kwanza wala siishi Atlanta mimi. Uthibitisho mwingine kuwa hujui kitu.
 
Hawa sio viongozi nadhani hawajui wanataka kuifanyia nchi hii yaani majaliwa anauliza makontena 2431 ya January to December 2014 kwenye serikali waliyokuwemo kwa kweli nimeamini hawana plan yakutuvusha haya mambo yakupachikwa kwenye uongozi tabu tupu
 

Unajua Kiranga wewe ni mtu mzima hivyo unapaswa kuongea ukweli. Ni aibu kwa mtu mzima kudanganya mbele ya watu wazima wenzake, hata kama tupo humu mitandaoni na hatujuani, bado aibu itakuwa pale pale. Kudanganya kwako kutapelekea hii ID yako kupuuzwa humu JF na matokeo yake hayatokuwa mazuri.

UKWELI WA MAMBO NI HUU:

Fedha ya tafrija ni kwamba rais hakuagiza ibadilishiwe matumizi kama ambavyo unajaribu kupotosha hapa, badala yake alishauri uongozi wa bunge kupitia kwa spika kuwa, sio vyema pesa yote ielekezwe kwenye kula bata badala yake kiasi kikubwa cha pesa hiyo kitatue tatizo la uhaba wa vitanda Muhimbili. Sasa kama hii imekuuma sana...basi anzisha mjadala kuhusu hili ila sio kutaka kupotosha watu humu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…