Uchaguzi 2020 Anachokifanya Tundu Lissu kwa sasa ni kutafuta umaarufu kwa ajili ya 2025

Kama wakuu wa Tume wangefuata Sheria za uchaguzi na kuwaita wagombea wote waliowekewa pingamizi dunia ingeshuhudia maajabu ya karne, Lissu angekua ndie atakaamua nani atoke nani abaki.Sidhani kama uamuzi wa Tume lissu anakubaliana nao kama uamuzi wa mwisho.
 
Liss
Wanaitwa incumbents Kwa kimombo..
Lissu Jana kawaambia ni mgombea tuu but anasahau ata akishinda uchaguzi huu Nani atamkabidhi madaraka...au yeye mjuaji wa Sheria anataka kutuambia nchi hii SASA hivi kuna vacuum (hatuna Rais)?
 
Mmezoea kufanya mambo bila kufuata Sheria this time tutawanyoosha pumbavu...hivi Kiongozi mkubwa wa nchi anashindwa kusoma Sheria ndogo za Uchaguzi akazielewa si kiazi tu huyo? Inakuwaje haelewi maana ya Passport Size? Alipataje PhD huyu???
 
2025 nadhani zzk anailia timing, muda huo huyu loketo atakuwa spent force.
 
H
Hahaha.. anasema yeye ndiyo anajua kila kitu...
 
Paskali,
Kuna kitu naomba unisaidie, Je kila mgombea anapewa fomu ya mgombea mwenzie ili aipitie?
Kama sijapitia fomu yako nawezaje kujenga hoja katika kitu ambacho sijakiona?
Baada ya yote mambo mengine ni ya kitoto kutaka kujionyesha kwamba unajua sana, Ni upuuzi mtupu.
 
Hahahahaa

And what nonsense is this?

Halafu unadhani people will believe this shit your saying here?

No one takes you serious on this nonsense!

Look hizi comments in here,no one takes you serious kabisa!
 
2025 atashindana na nani? Labda akagombee kenya.
 
Hiyo paragraph ya Kwanza naikataa,

Lisu ni maarufu sio kwa kusimamia kesi kwa mafanikio Bali ni kwakua ni mwanasiasa na kapigwa Risasi.

Mawakili maarufu kutokana na kuendesha kesi nyingi kwa mafanikio wanafahamika Ila sio yeye.
 
Lisu kwa Sasa haelewi hata aanzie wapi chama pesa hakina na yeye pesa Hana

Sasa hivi watonyaji wanasema anaelekea Kwao kwa mganga wa kienyeji sijui kwa ajili ya nini
Huu ndo uwezo wako halisi kiakili, mengine unaigiza tu.
 
Nani kasema,wewe ulisikia wali.hiz ni kaul za kushindwa baada ya kuona mwanaune JPM hashikiki maana ku carry foward,
 

Bandiko lako hili litaungwa mkono na wasubiria chaguzi kama hao unaowaona hapo kwenye list ya wanaokupongeza kwa kukupa likes uchwara.

Lissu kutafuta umaarufu ndiko kunakowafanya nyie kulazimisha kupita bila kupingwa kina kasim, nawie, kabudu na hao wengine?

Kutafuta umaarufu kwa Lissu ndiko kunakowatia kihoro nyie kiasi hicho?

Kwa hakika bandiko lako hili ni mithili ya kutega kunguru kwa maharage makavu.
 
Umeandika kwa kutumia matope kichwan????

Mfano niweee, unajua sheria, unagombea..umeona mapungufu ya mshindani wako, utakaa kimya ili hali sheria inakupa nafasi ya Ushindi hata km unajua Atapendelewa???


Ivi nyinyi Lumumba, Kichwan mmejaza matope ??? Ulitaka asiyasemee hayo basi ndio aonekane mshindan

Weee makalio kweli.
 
Kwa mara ya kwanza nimeona subsatance kwenye comment yako,but concept ya void na voidable ipo kwenye agreed terms and conditions of contract, Sheria na kanuni za uchaguzi ni issue ya compliance tu. Lets call a spade by its name, credibility and capacity ya tume ya uchaguzi are highly questionable.
 
Hivi nyie mashabiki ndakindaki wa CCM lini mtakuwa waelewa? Lissu alimwekea pingamizi rais au mgombea mwenzake?

Sasa kama tu tafsiri ya rais na mgombea hamwelewi lini mtakuja kumwelewa Lissu ambaye ana IQ kubwa?
Unaijua IQ kubwa 🤔?
 
Na uchaguzi huu ukipita kama asiposhinda huyoo anakwea zake pipa kula maisha nje.
 
Lissu hawezi shindwa huu uchaguzi wa 2020. Na iff (big IF, with upper cases, bolded, underlined and highlighted) atashindwa basi hawezi kugombea tena 2025. Atawapa chance wengine. Lakini suala la kushindwa uchaguzi Lissu halipo kwenye vocabulary yake.
 

Nummer zwei ndo kwangu naona umehit. Ni mambo ya kitoto sana.
 
Lisu alikua maarufu kushinda magufuli kama wataka ushahidi kaamili mulize kikwete
 
Utakuwa unamatatizo tena makubwa sana.halafu hujielewi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…