Uchaguzi 2020 Anachokifanya Tundu Lissu kwa sasa ni kutafuta umaarufu kwa ajili ya 2025

Ofkoz,
Uchaguzi wa 2025 utakuwa mgumu Sana kwa ccm,ila kwasahivi cdm wanajilisha upepo
 
MWALIMU WOWOTE ANAPOKATAA KUJIBU MASWALI YA MWANAFUNZI ANAEMSOMESHA UJUE HUYO ELIMU YAKE INA MUSHKELI ....KWAHIYO MKURUGENZI WATUME AMEITA WAANDISHI WA HABARI KAONGEA ALIPO MALIZA ANASEMA ASIULIZE SWALI
 
Tundu Lissu ni mwanasheria maarufu ambaye ameeendesha kesi nyingi nchini kwa mafanikio.

Aidha, kwa kipindi sasa amekuwa akijihusisha na masuala ya siasa, na kwa mwaka 2020 ameteuliwa kuwa mgombea wa nafasi ya Urais kwa tiketi ya CHADEMA.

Kufuatia mchakato wa uchaguzi unaoendelea tarehe 26.08.2020 alipeleka pingamizi dhidi ya Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Mh. JOHN POMBE MAGUFULI.

NIA YA TUNDU LISSU
Kwa kifupi Tundu Lissu alichokifanya dhidi ya Mgombea wa CCM kinatoa tafsiri kuwa:
1. Anatafuta umaarufu wa Kisiasa na hasa ukizingatia alikuwa nje ya nchi kwa muda mrefu.
2. Katika hatua ya kujionesha kuwa anauwezo wa kumpinga Rais JPM waziwazi (kifupi ni mashindao ya kitoto)
3. Anajuwa wazi kuwa uwezo wa kushinda katika uchaguzi huu Octoba 2020 hana hivyo anachokifanya ni maandalizi ya uchaguzi wa 2025.
Rose, kama ungekuwa unatumia akili kama wengine ungegundua kuwa alichofanya Lissu ni jambo kubwa sana na la akili bila ya woga kupata kufanyika.
Amegeuza mambo mengi pamoja na kujua kuwa NEC sio rahisi kukubaliana na pingamizi lake ingawa ni la kisheria.
1. Amesababisha watu wameelewa kuwa Urais sio juu ya sheria ukikosea waweza kuwekwa kati kama yeyote.
2. Amesababisha mpaka tume ipitie upya watu waliopitishwa bila kupingwa Ubunge na udiwani nchi nzima maana makosa yaliyo waengua mengi yanafanana na ya Magufuli.
3. Jamii sasa imefahamu maana ya kilio cha Tume huru ya uchaguzi ni nini hasa.
 
Lisu kwa Sasa haelewi hata aanzie wapi chama pesa hakina na yeye pesa hana

Sasa hivi watonyaji wanasema anaelekea Kwao kwa mganga wa kienyeji sijui kwa ajili ya nini
Utasema yote hadi utatembea uchi, lakini katika kadhia hii Lissu amembwaga Magufuli kwenye mapingamizi kila MTU ameelewa hivyo.
Hii ni sawa na pambano la ndondi anatangazwa mshindi kuwa kashinda kwa point lakini anasaidiwa kusimama
 
Shikamoo kaka Paskali! Napenda MTU mkuzo wa mambo kama wewe ubapokuwa mkweli. Endelea kutuelimisha sisi kindakindaki tuekewe
Mkuu Rose Mzalendo, nadhani wewe ni kada mwenzangu wa chama chetu, uzalendo wa kweli sio kujiita mzalendo bali kuwa ni mzalendo wa ukweli. Mzalendo wa ukweli kwanza yeye mwenyewe atakuwa ni mkweli, na ataibua hoja za ukweli anaoujua.

Japo mimi ni kada lakini nakiri Lissu ni maarufu na zile pingamizi zake ni valid kisheria ila ni voidable na sio void. Ili kujua kuwa kweli ni voidable subiria picha za mgombea urais kwenye karatasi ya kura if it's the same.

Ombi kwa Tume yetu ya Taifa ya Uchaguzi, naomba makosa mengine yote madogo madogo kwenye ujazaji fomu ambayo sio void bali ni voidable kwa wagombea wote, yawe tolerated na waruhusiwe kurekebisha wapitishwe!

P
 
Na hapo ndio Watanzania wakakapo jua ya kuwa lengo hasa la Lissu lilikuwa kuokoa taifa dhidi ya mambo ya kihuni yaliyo fanywa na Returning officers nchi nzima na AMEFAULU.
Kila mwenye akili anajua kuwa Lissu anafahamu kumwengua asishiriki uchaguzi Rais aliye madarakani ni jambo gumu kama kumbadili nyani kuwa mtu.
 
Tundu Lissu ni mwanasheria maarufu ambaye ameeendesha kesi nyingi nchini kwa mafanikio.

Aidha, kwa kipindi sasa amekuwa akijihusisha na masuala ya siasa, na kwa mwaka 2020 ameteuliwa kuwa mgombea wa nafasi ya Urais kwa tiketi ya CHADEMA.

Kufuatia mchakato wa uchaguzi unaoendelea tarehe 26.08.2020 alipeleka pingamizi dhidi ya Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Mh. JOHN POMBE MAGUFULI.

NIA YA TUNDU LISSU
Kwa kifupi Tundu Lissu alichokifanya dhidi ya Mgombea wa CCM kinatoa tafsiri kuwa:
1. Anatafuta umaarufu wa Kisiasa na hasa ukizingatia alikuwa nje ya nchi kwa muda mrefu.
2. Katika hatua ya kujionesha kuwa anauwezo wa kumpinga Rais JPM waziwazi (kifupi ni mashindao ya kitoto)
3. Anajuwa wazi kuwa uwezo wa kushinda katika uchaguzi huu Octoba 2020 hana hivyo anachokifanya ni maandalizi ya uchaguzi wa 2025.
Sema kweli...apia
 
Mkuu Rose Mzalendo, nadhani wewe ni kada mwenzangu wa chama chetu, uzalendo wa kweli sio kujiita mzalendo bali kuwa ni mzalendo wa ukweli. Mzalendo wa ukweli kwanza yeye mwenyewe atakuwa ni mkweli, na ataibua hoja za ukweli anaoujua.

Japo mimi ni kada lakini nakiri Lissu ni maarufu na zile pingamizi zake ni valid kisheria ila ni voidable na sio void. Ili kujua kuwa kweli ni voidable subiria picha za mgombea urais kwenye karatasi ya kura if it's the same.

Ombi kwa Tume yetu ya Taifa ya Uchaguzi, naomba makosa mengine yote madogo madogo kwenye ujazaji fomu ambayo sio void bali ni voidable kwa wagombea wote, yawe tolerated na waruhusiwe kurekebisha wapitishwe!

P

Pascal!! This is the thing!! Makosa yanayoweza kutatuliwa yatatuliwe. Kwa mfano picha ya mtu, address, herufi kubwa na ndogo yasipewe uzito mkubwa kama kuwepa kodi na adhabu zake!!

Tunajikwamisha wenyewe kwa kutumia vitu vidogo vidogo mno - triviality na mediocity ndio hii. Tunajenga utamaduni wa kutoangalia mambo kwa ukubwa stahiki!! Ndio maana tuko wepesi sana kusema “tunaonewa wivu” badala ya kuona “anashindana na sisi kwa mbinu ovu”.
 
Tundu Lissu ni mwanasheria maarufu ambaye ameeendesha kesi nyingi nchini kwa mafanikio.

Aidha, kwa kipindi sasa amekuwa akijihusisha na masuala ya siasa, na kwa mwaka 2020 ameteuliwa kuwa mgombea wa nafasi ya Urais kwa tiketi ya CHADEMA.

Kufuatia mchakato wa uchaguzi unaoendelea tarehe 26.08.2020 alipeleka pingamizi dhidi ya Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Mh. JOHN POMBE MAGUFULI.

NIA YA TUNDU LISSU
Kwa kifupi Tundu Lissu alichokifanya dhidi ya Mgombea wa CCM kinatoa tafsiri kuwa:
1. Anatafuta umaarufu wa Kisiasa na hasa ukizingatia alikuwa nje ya nchi kwa muda mrefu.
2. Katika hatua ya kujionesha kuwa anauwezo wa kumpinga Rais JPM waziwazi (kifupi ni mashindao ya kitoto)
3. Anajuwa wazi kuwa uwezo wa kushinda katika uchaguzi huu Octoba 2020 hana hivyo anachokifanya ni maandalizi ya uchaguzi wa 2025.
Kama kutafuta umarufu ni rahisi hebu jaribu na wewe
 
Sema ulipo nikupe namba ya Psychiatric, you need help!
 
Hivi unadhani flaiova stigila na reli zisingekuwepo kwamfano unadhani wapinzani wangepewa hata form tu zakugombe?😂😂😂 nendeni mkawaeleze wananchi mlichoahidi nakufanya muache kubashiri bashiri
 
Tundu Lissu ni mwanasheria maarufu ambaye ameeendesha kesi nyingi nchini kwa mafanikio.

Aidha, kwa kipindi sasa amekuwa akijihusisha na masuala ya siasa, na kwa mwaka 2020 ameteuliwa kuwa mgombea wa nafasi ya Urais kwa tiketi ya CHADEMA.

Kufuatia mchakato wa uchaguzi unaoendelea tarehe 26.08.2020 alipeleka pingamizi dhidi ya Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Mh. JOHN POMBE MAGUFULI.

NIA YA TUNDU LISSU
Kwa kifupi Tundu Lissu alichokifanya dhidi ya Mgombea wa CCM kinatoa tafsiri kuwa:
1. Anatafuta umaarufu wa Kisiasa na hasa ukizingatia alikuwa nje ya nchi kwa muda mrefu.
2. Katika hatua ya kujionesha kuwa anauwezo wa kumpinga Rais JPM waziwazi (kifupi ni mashindao ya kitoto)
3. Anajuwa wazi kuwa uwezo wa kushinda katika uchaguzi huu Octoba 2020 hana hivyo anachokifanya ni maandalizi ya uchaguzi wa 2025.
Lisu ni maarufu hata kabla ya ww hujaja mjini
 
Tundu Lissu ni mwanasheria maarufu ambaye ameeendesha kesi nyingi nchini kwa mafanikio.

Aidha, kwa kipindi sasa amekuwa akijihusisha na masuala ya siasa, na kwa mwaka 2020 ameteuliwa kuwa mgombea wa nafasi ya Urais kwa tiketi ya CHADEMA.

Kufuatia mchakato wa uchaguzi unaoendelea tarehe 26.08.2020 alipeleka pingamizi dhidi ya Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Mh. JOHN POMBE MAGUFULI.

NIA YA TUNDU LISSU
Kwa kifupi Tundu Lissu alichokifanya dhidi ya Mgombea wa CCM kinatoa tafsiri kuwa:
1. .................
..........
3. Anajuwa wazi kuwa uwezo wa kushinda katika uchaguzi huu Octoba 2020 hana hivyo anachokifanya ni maandalizi ya uchaguzi wa 2025.
Maandiko yako yanaleta swali muhimu LA kisomi; BASED ON WHICH RESEARCH?
 
Hakika hujashirikisha halmashauri ya ubongo wako katika kuanzisha uzi huu. Ulipewa TITLE nzuri lakini maelezo uliyotoa ni uharo mtupu.

Mrudie aliyekupatia TITLE ili ukueleze alimanisha nini.
 
Tuombe uhai. Huwezi kumuingiza hasara mwenyekiti mbowe muambulie majimbo 5 halafu akupitishe kugombea tena. Wachaga hawafanyi hizo biashara kichaa
 
Hivi nyie mashabiki ndakindaki wa CCM lini mtakuwa waelewa? Lissu alimwekea pingamizi rais au mgombea mwenzake?

Sasa kama tu tafsiri ya rais na mgombea hamwelewi lini mtakuja kumwelewa Lissu ambaye ana IQ kubwa?
IQ kubwa 😂😂😂😂😂😂
 
Lisu kwa Sasa haelewi hata aanzie wapi chama pesa hakina na yeye pesa hana

Sasa hivi watonyaji wanasema anaelekea Kwao kwa mganga wa kienyeji sijui kwa ajili ya nini
shida yake kubwa anataka JPM angalau hata amjibu ila ndio kwanza jembe yupo bize na Mikakati yake😂😂😂
 
Uwezo anao sana tena. Mfano, mapingamizi aliyowka kwenye tume huru Magu alikuwa anatolewa! Yako genuine kabisa! unaandika kishabiki and not objectively!
Magu ali enda kuhakiki fomu zake kabla ya kuzi zilejesha na waka sema hakuna shida hilo pinga mizi hata tume ime shangaa lime tokea wapi😂
 
Back
Top Bottom