Uchaguzi 2020 Anachokifanya Tundu Lissu kwa sasa ni kutafuta umaarufu kwa ajili ya 2025

Lisu akishindwa huu uchaguzi ajiandae chadema watamfanyia vitimbi Hadi akome

Akumbuke Slaa alipogombea akashindwa kilichomkuta pia akumbuke Lowasa aliposhindwa kilichomkuta Mbowe alinusurika sababu ni mkwe wa mwenye chama.Pia akumbuke bya Duni Haji kilichomkuta Baada ya yeye na Lowasa kushindwa uchaguzi

Huu uchaguzi ndio utaamua hatima ya Lisu ndani ya chadema na hatima yake kisiasa
 
😂😂😂😂 Ata pewa nafasi Na wazalendo
 
shida yake kubwa anataka JPM angalau hata amjibu ila ndio kwanza jembe yupo bize na Mikakati yake😂😂😂
Yes huyu jamaa kweli ana tamani sana kujibiwa na huenda kimya cha Jiwe kinamtesa sana kisaikolojia.

Mwaka huu mwizi hapigiwi kelele, anafukuzwa kimya kimya
 
😂😂😂😂😂 Na Ndioo kinacho mchanganya
 
Tundu Lissu ni mwanasheria maarufu ambaye ameeendesha kesi nyingi nchini kwa mafanikio.

Aidha, kwa kipindi sasa amekuwa akijihusisha na masuala ya siasa, na kwa mwaka 2020 ameteuliwa kuwa mgombea wa nafasi ya Urais kwa tiketi ya CHADEMA.

Kufuatia mchakato wa uchaguzi unaoendelea tarehe 26.08.2020 alipeleka pingamizi dhidi ya Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Mh. JOHN POMBE MAGUFULI.

NIA YA TUNDU LISSU
Kwa kifupi Tundu Lissu alichokifanya dhidi ya Mgombea wa CCM kinatoa tafsiri kuwa:
1. Anatafuta umaarufu wa Kisiasa na hasa ukizingatia alikuwa nje ya nchi kwa muda mrefu.
2. Katika hatua ya kujionesha kuwa anauwezo wa kumpinga Rais JPM waziwazi (kifupi ni mashindao ya kitoto)
3. Anajuwa wazi kuwa uwezo wa kushinda katika uchaguzi huu Octoba 2020 hana hivyo anachokifanya ni maandalizi ya uchaguzi wa 2025.

Anao huo uwezo ndiyo maana amegombea na atashinda kwasababu wananchi wamechoka na huyo mwenye vitisho na kuzuia vyombo vya habari kama vile ni vyakwake yeye havipo kisheria. Subirini anguko lake si mnamdanganya kuwa anapendwa kura zitamuonesha jinsi gani hapendwi na atakuwa Rais wa kwanza kutawala muhula mmoja hilo rohoni analifahamu anadhania kila mahali atatumia nguvu ikifika kwenye sanduku la kura mpiga kura ndo muamzi wa mwisho.
 
Mkuu Rose Mzalendo, nadhani wewe ni kada mwenzangu wa chama chetu, uzalendo wa kweli sio kujiita mzalendo bali kuwa ni mzalendo wa ukweli. Mzalendo wa ukweli kwanza yeye mwenyewe atakuwa ni mkweli, na ataibua hoja za ukweli anaoujua.

Japo mimi ni kada lakini nakiri Lissu ni maarufu na zile pingamizi zake ni valid kisheria ila ni voidable na sio void. Ili kujua kuwa kweli ni voidable subiria picha za mgombea urais kwenye karatasi ya kura if it's the same.

Ombi kwa Tume yetu ya Taifa ya Uchaguzi, naomba makosa mengine yote madogo madogo kwenye ujazaji fomu ambayo sio void bali ni voidable kwa wagombea wote, yawe tolerated na waruhusiwe kurekebisha wapitishwe!
 
Abudu mwenyewe huyo mungu-mtu wako. Wengine tunamwabudu Mungu wa mbinguni. Watu mil 60 hatuwezi wote abudu mwanadamu mwenzetu. Lazima kutakuwa na wajinga na wenye akili. Hatuwezi wote kuwa wajinga.
Tundu Lissu ni mwanasheria maarufu ambaye ameeendesha kesi nyingi nchini kwa mafanikio.

Aidha, kwa kipindi sasa amekuwa akijihusisha na masuala ya siasa, na kwa mwaka 2020 ameteuliwa kuwa mgombea wa nafasi ya Urais kwa tiketi ya CHADEMA.

Kufuatia mchakato wa uchaguzi unaoendelea tarehe 26.08.2020 alipeleka pingamizi dhidi ya Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Mh. JOHN POMBE MAGUFULI.

NIA YA TUNDU LISSU
Kwa kifupi Tundu Lissu alichokifanya dhidi ya Mgombea wa CCM kinatoa tafsiri kuwa:
1. Anatafuta umaarufu wa Kisiasa na hasa ukizingatia alikuwa nje ya nchi kwa muda mrefu.
2. Katika hatua ya kujionesha kuwa anauwezo wa kumpinga Rais JPM waziwazi (kifupi ni mashindao ya kitoto)
3. Anajuwa wazi kuwa uwezo wa kushinda katika uchaguzi huu Octoba 2020 hana hivyo anachokifanya ni maandalizi ya uchaguzi wa 2025.
 
Pascal umetoa ushauri mzuri sana kwa tume maana vinatumika visababu vidogo vidogo kabisa mara siyo fomu original mara sijui nini vitu ambavyo havina mantiki kwenye ugombea wa mtu hoja kama uraia ambazo pia haziwezi kuwa zinasuburia uchaguzi, tuboreshe mazingira ya uchaguzi ili watu washinde kwenye sanduku la kura badala ya kuenguana kama mtu hujaweka picha aambiwe weka picha ndiyo maana ya kukagua fomu. Lengo liwe kuzifanya zikidhi vigezo vya mgombea siyo kukagua ili kumuengua mgombea huo mtizamo ni mbaya sana kwa tume yetu na pia kutumika kwa vyama vya upinzani tu.
 
Tundu Lissu ni mwanasheria maarufu ambaye ameeendesha kesi nyingi nchini kwa mafanikio.

Aidha, kwa kipindi sasa amekuwa akijihusisha na masuala ya siasa, na kwa mwaka 2020 ameteuliwa kuwa mgombea wa nafasi ya Urais kwa tiketi ya CHADEMA.

Kufuatia mchakato wa uchaguzi unaoendelea tarehe 26.08.2020 alipeleka pingamizi dhidi ya Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Mh. JOHN POMBE MAGUFULI.

NIA YA TUNDU LISSU
Kwa kifupi Tundu Lissu alichokifanya dhidi ya Mgombea wa CCM kinatoa tafsiri kuwa:
1. Anatafuta umaarufu wa Kisiasa na hasa ukizingatia alikuwa nje ya nchi kwa muda mrefu.
2. Katika hatua ya kujionesha kuwa anauwezo wa kumpinga Rais JPM waziwazi (kifupi ni mashindao ya kitoto)
3. Anajuwa wazi kuwa uwezo wa kushinda katika uchaguzi huu Octoba 2020 hana hivyo anachokifanya ni maandalizi ya uchaguzi wa 2025.
Ushenzi kabisa huu, ulitaka afanye nini baada ya kumwachia magu kutafuta umaarufu kwa miaka mitano huku vyama vikinyimwa nafasi yao stahiki ya kufanya mikutano. Watu wengine nafikiri mnaishi kama mashetani kabisa na suala la haki wala halipo kwenye akili zenu.
 
Kaka usiiguse pHd watakusaanane hao sio watu wazuri.
Mmezoea kufanya mambo bila kufuata Sheria this time tutawanyoosha pumbavu...hivi Kiongozi mkubwa wa nchi anashindwa kusoma Sheria ndogo za Uchaguzi akazielewa si kiazi tu huyo? Inakuwaje haelewi maana ya Passport Size? Alipataje PhD huyu???
 
Tundu Lissu ni mwanasheria maarufu ambaye ameeendesha kesi nyingi nchini kwa mafanikio.

Aidha, kwa kipindi sasa amekuwa akijihusisha na masuala ya siasa, na kwa mwaka 2020 ameteuliwa kuwa mgombea wa nafasi ya Urais kwa tiketi ya CHADEMA.

Kufuatia mchakato wa uchaguzi unaoendelea tarehe 26.08.2020 alipeleka pingamizi dhidi ya Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Mh. JOHN POMBE MAGUFULI.

NIA YA TUNDU LISSU
Kwa kifupi Tundu Lissu alichokifanya dhidi ya Mgombea wa CCM kinatoa tafsiri kuwa:
1. Anatafuta umaarufu wa Kisiasa na hasa ukizingatia alikuwa nje ya nchi kwa muda mrefu.
2. Katika hatua ya kujionesha kuwa anauwezo wa kumpinga Rais JPM waziwazi (kifupi ni mashindao ya kitoto)
3. Anajuwa wazi kuwa uwezo wa kushinda katika uchaguzi huu Octoba 2020 hana hivyo anachokifanya ni maandalizi ya uchaguzi wa 2025.
Kwa sasa Mr.Tundulisu anacheza Ngoma anayo chezeshwa bila yeye kutambua mpiga Ngoma atapiga mahadhi gani....
Kwa namna alivyo kuwa kajipanga ni dhahiri anavyo tendewa Kwa sasa ni tofauti na alivyo tarajia kutendewa na hii inampa yeye na chama Kwa ujumla taharuki,Kwa sasa ni sycological tourture,let's him and his companions puts forward what they can do to people, contrary to what Mr.John has done till now
 
Acheni kuteka wapinzani na kuwaumiza, acheni kupora fomu za upinzani, acheni kuwaengua wapinzani kwa sababu ambazo hazina msingi, acheteni kupitishana bila kupingwa, acheni wizi wa kura, uchaguzi uwe huru na haki, aliyeshinda atangazwe kama alivyoshinda na aliyeshindwa atangazwe sawa na kushindwa kwake, ndipomtakapopata jibu kama Tundu Lissu anajitafutia umaarufu wa mwaka 2025 au hapana.
 
Tundu Lissu ni mwanasheria maarufu ambaye ameeendesha kesi nyingi nchini kwa mafanikio.

Aidha, kwa kipindi sasa amekuwa akijihusisha na masuala ya siasa, na kwa mwaka 2020 ameteuliwa kuwa mgombea wa nafasi ya Urais kwa tiketi ya CHADEMA.

Kufuatia mchakato wa uchaguzi unaoendelea tarehe 26.08.2020 alipeleka pingamizi dhidi ya Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Mh. JOHN POMBE MAGUFULI.

NIA YA TUNDU LISSU
Kwa kifupi Tundu Lissu alichokifanya dhidi ya Mgombea wa CCM kinatoa tafsiri kuwa:
1. Anatafuta umaarufu wa Kisiasa na hasa ukizingatia alikuwa nje ya nchi kwa muda mrefu.
2. Katika hatua ya kujionesha kuwa anauwezo wa kumpinga Rais JPM waziwazi (kifupi ni mashindao ya kitoto)
3. Anajuwa wazi kuwa uwezo wa kushinda katika uchaguzi huu Octoba 2020 hana hivyo anachokifanya ni maandalizi ya uchaguzi wa 2025.
Kuhusu kushinda kesi nyingi, ni wakati ule wa kushamili rushwa mahakamani, miaka ya nyuma - hivyo alitumia kuhonga ili ashinde hizo kesi! Tangu mahakama zetu ziwe za haki (awamu ya tano), Lissu hajashinda hata kesi yoyote hata zile zinazo mhusu yeye! Pia na mapingamizi aliyo weka kwa Magufuli na Lipumba ameshindwa! Hivyo mjue uanasheria wake una walakini.
 
Back
Top Bottom