😂😂😂😂 Ata pewa nafasi Na wazalendoLisu akishindwa huu uchaguzi ajiandae chadema watamfanyia vitimbi Hadi akome
Akumbuke Slaa alipogombea akashindwa kilichomkuta pia akumbuke Lowasa aliposhindwa kilichomkuta Mbowe alinusurika sababu ni mkwe wa mwenye chama.Pia akumbuke bya Duni Haji kilichomkuta Baada ya yeye na Lowasa kushindwa uchaguzi
Huu uchaguzi ndio utaamua hatima ya Lisu ndani ya chadema na hatima yake kisiasa
Yes huyu jamaa kweli ana tamani sana kujibiwa na huenda kimya cha Jiwe kinamtesa sana kisaikolojia.shida yake kubwa anataka JPM angalau hata amjibu ila ndio kwanza jembe yupo bize na Mikakati yake😂😂😂
😂😂😂😂😂 Na Ndioo kinacho mchanganyaYes huyu jamaa kweli ana tamani sana kujibiwa na huenda kimya cha Jiwe kinamtesa sana kisaikolojia.
Mwaka huu mwizi hapigiwi kelele, anafukuzwa kimya kimya
Tundu Lissu ni mwanasheria maarufu ambaye ameeendesha kesi nyingi nchini kwa mafanikio.
Aidha, kwa kipindi sasa amekuwa akijihusisha na masuala ya siasa, na kwa mwaka 2020 ameteuliwa kuwa mgombea wa nafasi ya Urais kwa tiketi ya CHADEMA.
Kufuatia mchakato wa uchaguzi unaoendelea tarehe 26.08.2020 alipeleka pingamizi dhidi ya Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Mh. JOHN POMBE MAGUFULI.
NIA YA TUNDU LISSU
Kwa kifupi Tundu Lissu alichokifanya dhidi ya Mgombea wa CCM kinatoa tafsiri kuwa:
1. Anatafuta umaarufu wa Kisiasa na hasa ukizingatia alikuwa nje ya nchi kwa muda mrefu.
2. Katika hatua ya kujionesha kuwa anauwezo wa kumpinga Rais JPM waziwazi (kifupi ni mashindao ya kitoto)
3. Anajuwa wazi kuwa uwezo wa kushinda katika uchaguzi huu Octoba 2020 hana hivyo anachokifanya ni maandalizi ya uchaguzi wa 2025.
Mkuu Rose Mzalendo, nadhani wewe ni kada mwenzangu wa chama chetu, uzalendo wa kweli sio kujiita mzalendo bali kuwa ni mzalendo wa ukweli. Mzalendo wa ukweli kwanza yeye mwenyewe atakuwa ni mkweli, na ataibua hoja za ukweli anaoujua.
Japo mimi ni kada lakini nakiri Lissu ni maarufu na zile pingamizi zake ni valid kisheria ila ni voidable na sio void. Ili kujua kuwa kweli ni voidable subiria picha za mgombea urais kwenye karatasi ya kura if it's the same.
Ombi kwa Tume yetu ya Taifa ya Uchaguzi, naomba makosa mengine yote madogo madogo kwenye ujazaji fomu ambayo sio void bali ni voidable kwa wagombea wote, yawe tolerated na waruhusiwe kurekebisha wapitishwe!
Tundu Lissu ni mwanasheria maarufu ambaye ameeendesha kesi nyingi nchini kwa mafanikio.
Aidha, kwa kipindi sasa amekuwa akijihusisha na masuala ya siasa, na kwa mwaka 2020 ameteuliwa kuwa mgombea wa nafasi ya Urais kwa tiketi ya CHADEMA.
Kufuatia mchakato wa uchaguzi unaoendelea tarehe 26.08.2020 alipeleka pingamizi dhidi ya Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Mh. JOHN POMBE MAGUFULI.
NIA YA TUNDU LISSU
Kwa kifupi Tundu Lissu alichokifanya dhidi ya Mgombea wa CCM kinatoa tafsiri kuwa:
1. Anatafuta umaarufu wa Kisiasa na hasa ukizingatia alikuwa nje ya nchi kwa muda mrefu.
2. Katika hatua ya kujionesha kuwa anauwezo wa kumpinga Rais JPM waziwazi (kifupi ni mashindao ya kitoto)
3. Anajuwa wazi kuwa uwezo wa kushinda katika uchaguzi huu Octoba 2020 hana hivyo anachokifanya ni maandalizi ya uchaguzi wa 2025.
Ushenzi kabisa huu, ulitaka afanye nini baada ya kumwachia magu kutafuta umaarufu kwa miaka mitano huku vyama vikinyimwa nafasi yao stahiki ya kufanya mikutano. Watu wengine nafikiri mnaishi kama mashetani kabisa na suala la haki wala halipo kwenye akili zenu.Tundu Lissu ni mwanasheria maarufu ambaye ameeendesha kesi nyingi nchini kwa mafanikio.
Aidha, kwa kipindi sasa amekuwa akijihusisha na masuala ya siasa, na kwa mwaka 2020 ameteuliwa kuwa mgombea wa nafasi ya Urais kwa tiketi ya CHADEMA.
Kufuatia mchakato wa uchaguzi unaoendelea tarehe 26.08.2020 alipeleka pingamizi dhidi ya Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Mh. JOHN POMBE MAGUFULI.
NIA YA TUNDU LISSU
Kwa kifupi Tundu Lissu alichokifanya dhidi ya Mgombea wa CCM kinatoa tafsiri kuwa:
1. Anatafuta umaarufu wa Kisiasa na hasa ukizingatia alikuwa nje ya nchi kwa muda mrefu.
2. Katika hatua ya kujionesha kuwa anauwezo wa kumpinga Rais JPM waziwazi (kifupi ni mashindao ya kitoto)
3. Anajuwa wazi kuwa uwezo wa kushinda katika uchaguzi huu Octoba 2020 hana hivyo anachokifanya ni maandalizi ya uchaguzi wa 2025.
Mmezoea kufanya mambo bila kufuata Sheria this time tutawanyoosha pumbavu...hivi Kiongozi mkubwa wa nchi anashindwa kusoma Sheria ndogo za Uchaguzi akazielewa si kiazi tu huyo? Inakuwaje haelewi maana ya Passport Size? Alipataje PhD huyu???
Kwa sasa Mr.Tundulisu anacheza Ngoma anayo chezeshwa bila yeye kutambua mpiga Ngoma atapiga mahadhi gani....Tundu Lissu ni mwanasheria maarufu ambaye ameeendesha kesi nyingi nchini kwa mafanikio.
Aidha, kwa kipindi sasa amekuwa akijihusisha na masuala ya siasa, na kwa mwaka 2020 ameteuliwa kuwa mgombea wa nafasi ya Urais kwa tiketi ya CHADEMA.
Kufuatia mchakato wa uchaguzi unaoendelea tarehe 26.08.2020 alipeleka pingamizi dhidi ya Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Mh. JOHN POMBE MAGUFULI.
NIA YA TUNDU LISSU
Kwa kifupi Tundu Lissu alichokifanya dhidi ya Mgombea wa CCM kinatoa tafsiri kuwa:
1. Anatafuta umaarufu wa Kisiasa na hasa ukizingatia alikuwa nje ya nchi kwa muda mrefu.
2. Katika hatua ya kujionesha kuwa anauwezo wa kumpinga Rais JPM waziwazi (kifupi ni mashindao ya kitoto)
3. Anajuwa wazi kuwa uwezo wa kushinda katika uchaguzi huu Octoba 2020 hana hivyo anachokifanya ni maandalizi ya uchaguzi wa 2025.
Kuhusu kushinda kesi nyingi, ni wakati ule wa kushamili rushwa mahakamani, miaka ya nyuma - hivyo alitumia kuhonga ili ashinde hizo kesi! Tangu mahakama zetu ziwe za haki (awamu ya tano), Lissu hajashinda hata kesi yoyote hata zile zinazo mhusu yeye! Pia na mapingamizi aliyo weka kwa Magufuli na Lipumba ameshindwa! Hivyo mjue uanasheria wake una walakini.Tundu Lissu ni mwanasheria maarufu ambaye ameeendesha kesi nyingi nchini kwa mafanikio.