Anachosema Lissu ni kwamba, Bunge lisivunjwe mwezi wa sita, Rais na Wabunge waendelee hadi Reforms zikamilishwe, ndio uchaguzi mkuu ufanyike

Kama itaongezwa mwaka mmoja sawa ila rais atakaye shinda iwe ni miaka minne kufidia huo mmoja....sema genge la raia feki aliwezi kukubali chochote cha maana kifanyike tanzania ..ndiyo linalo kwamisha maendeleo nchini
 
Ki-demokrasia, yeye kama kiongozi anawazo, ni wajibu wake kuwa na mawazo ya kuwaongoza watu wake Chadema, sasa suala ni kama wazo lake litakubaliwa na wana Chadema wote. Hivyo suala la kufanya maandamano bado linabaki mikononi mwa wana Chadema wote, hata kama limeanza na TAL. Hiyo ndio demokrasia.
 
Mkuu nmeishia kusoma hapo juu uliposema lissu yuko tyr ku compomise. MAelwzo yako yooote mbona kama umbea na mipasho ya taarabu. Unaonaje ukaweka ushahidi wa video au quote ya maelezo ya lissu au chochote kiww quote kusindikiza uzi usionekane kama mvaa dela au mtoto wa elf2 unayeishi manzese na unaleta habari za vijiweni na ni chawa
 
Kama itaongezwa mwaka mmoja sawa ila rais atakaye shinda iwe ni miaka minne kufidia huo mmoja....sema genge la rsia feki aliwezi kukubali chochote cha maana kifanyike tanzania ..ndiyo linalo.kwamisha maendeleo nchini
Utakuwa ume complicate sana marekebisho madogo ya muda mfupi ya katiba. Haina neno, hata baada ya mwaka wa kumwongezea muda raisi atakaechaguliwa akae miaka ile ile mitano. Ni kweli kwamba ikiwa Samia ndie atakaekuwa raisi basi atakuwa raisi kwa miaka 4 + 1 + 5 au 4+2=5
 
Soma mahojiano ya Lissu leo. Kuwa kwako laggard na current affairs kusifanye wale walio up to date wanachosema kiwe story za mitaani. Rekebisha screws za kichwani kwako
 
Wazo ZURI lilij
 
Sio compromise na ccm bali mtego wa dola huo!Yaani muda upite halafu Rais aambiwe katiba haitambui seriakli yako!!patachimbika!!
 
Anatoa mawazo yasiyowezekana kufanikika anadhani CCM ni wajinga kiasi hicho yy kama hawez uchaguzi 2925 aususie wengine wale
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 CCM wakubali maridhiano ambayo yatawaondoa wao meza kuu😄???
Sidhani kama litakuwa jambo rahisi.
 
huyo mpumbavu wenu mwambieni awaambie hao mabwana zake kule Ulaya nchi hii inaongozwa kwa mujibu wa sheria na taratibu siyo kwa upuuzi wake huo.
Nafikiri wazee wetu walikuwa na busara kuzuia Watoto kuongea kwenye mijadala ya watu wazima.Nafikiri kwenye huu mjadala wewe ni mtoto ni vyema uwaachie watu wazima wajadili.
 
CCM wakigima kufanya reforms katika huo mwaka mmoja au miwili napo itakuwaje?

Waongezewe miaka miwili mingine bila uchaguzi?

Na hapo napo wakikataa tena?
 
Nimelisoma. Nachoona Lissu anataka Samia n bunge la CCM waongezewe muda ili tupate katiba mpya. Sielewi kwa nini anataka utawala wa CCM uongezewe muda.
Sasa usichoelewa nini hapo, au wewe hiyo katiba mpya huitaki?
 
Huyo ndio Lissu. Huleta njia pasipio na njia.
Kama wao wameanua Samia aebdelee basi hakuna haja ya kujarakisha uchaguzi.

Samia huyo huyo asogeze Mbele Lakini Katiba Mpya ipatikane.

Wao wamadai tatizo muda. Sasa Jibu hilo hapo wamepewa.
 
CCM wakigima kufanya reforms katika huo mwaka mmoja au miwili napo itakuwaje?

Waongezewe miaka miwili mingine bila uchaguzi?

Na hapo napo wakikataa tena?
Jibu la tundu Lissu ni kwa wale wanaodai wako Tayari kwa Katiba Mpya ispokuwa muda ndio kikwazo.

Lakini kwa wanafiki hilo bado litakuwa gumu kwao
 
Ukimsikiliza kwenye clip yale ni mawazo au maamuzi?
 
Ila mimi naona yanazungumzika tu na jeshi kukaa pembeni ikiwa na wao wanaona kabisa lengo ni kuleta utulivu.
Tatizo lipo kwa hivyo vyombo na vyenyewe vinaogelea kwenye hii Loophole ya katiba Mbovu.

Chahali hupenda kusema ni Symbiosis
 
Katiba hairuhusu!

Pia hana instruments za kulazimisha hicho anachokitaka.
Na haiwezekani kuwa na consensus ya "extent" ya hiyo reform anayoiimba!

Asisahau amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa CHADEMA sio RAIS wa Tanzania!
Tangu 2022 mnaimba hivyo hivyo Na ngonjera za Katiba Mpya haitoshi.
Sitashangaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…