Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
- Thread starter
-
- #101
Sawa kabisa - hizi ni sheria, taratibu na kanuni zinazohusu uchaguzi. Ndani ya mwaka mmoja zinaweza kuwa tayari. Kubadili Katiba ni suala la muda mrefu zaidi. TAL anaongelea Reforms za uchaguzi, sio Katiba mpyaReforms sio lazima mabadiliko ya katiba.
Mkuu umejibu kwa lojiki ambayo sidhani kuna wengi ndani ya CCM wanaweza kuielewa. Hapo ndio tatizo. Mie ndio maana nasema, dawa ni JWTZ kuchukua nchi na kuamrisha Reforms zifanyike, na baada ya miaka miwili kurudisha nchi kwenye utawala wa kiraia. Kwisha. Hawa wazee wa CCM bila viboko hawawezi kusikia wala kwenda. JWTZ wamuulize Traole wa Burkina Faso atawaelimisha nini cha kufanya kwa viziwi na watu wenye shingo ngumu kama CCM...kuna hoja kwamba muda hautoshi kuunda Tume Huru ya uchaguzi kabla ya October 2025.
..sasa Lissu ndio ametoa wazo kwamba tunaweza kuahirisha uchaguzi ili tupate muda wa kufanya mabadiliko ktk Tume ya uchaguzi.
..kinachopaswa kufanyika ni kumhoji zaidi anapendekeza mabadiliko yapi katika Tume.
..pia aulizwe anapendekeza uchaguzi uahirishwe kwa muda gani?
..Nadhani Mama Samia anapaswa kulichukua wazo hili. Kwa maoni yangu atakuwa ameuwa ndege wawili kwa jiwe moja.
..Hakuna atakayemlaumu kuwa ana tamaa ya madaraka kwasababu wazo limetoka kwa mpinzani wake. Pia atajijengea heshima kama mwanademokrasia wa kweli na mpenda mabadiliko. Vilevile atapata muda wa kujiiimarisha na kujiandaa zaidi kwa ajili ya uchaguzi.
Sifa za Tume huru ni zipi?Tume Huru ya uchaguzi kabla ya October 2025.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 CCM wakubali maridhiano ambayo yatawaondoa wao meza kuu😄???
Sidhani kama litakuwa jambo rahisi.
Wengi hawajui kwamba suala la Wakurugenzi wa Halmashauri kusimamia uchaguzi na kura za urais kutohesabiwa katika kituo zilipopigwa kura sio hata matakwa ya katiba. Ni mambo yanayowezwa kubadilishwa wakati wowote.Swa kabisa - hizi ni sheria, taratibu na kanuni zinazohusu uchaguzi. Ndani ya mwaka mmoja zinaweza kuwa tayari. Kubadili Katiba ni sualala muda mrefu zaidi. TAL anaongelea Reforms za uchaguzi, sio Katiba mpya
Kuna mabadiliko yanayoweza kufanyika bila hata bunge kuhusika mfano kuwaondoa Wakurugenzi wa Halmashauri kusimamia uchaguzi...kuna hoja kwamba muda hautoshi kuunda Tume Huru ya uchaguzi kabla ya October 2025.
..sasa Lissu ndio ametoa wazo kwamba tunaweza kuahirisha uchaguzi ili tupate muda wa kufanya mabadiliko ktk Tume ya uchaguzi.
..kinachopaswa kufanyika ni kumhoji zaidi anapendekeza mabadiliko yapi katika Tume.
..pia aulizwe anapendekeza uchaguzi uahirishwe kwa muda gani?
..Nadhani Mama Samia anapaswa kulichukua wazo hili. Kwa maoni yangu atakuwa ameuwa ndege wawili kwa jiwe moja.
..Hakuna atakayemlaumu kuwa ana tamaa ya madaraka kwasababu wazo limetoka kwa mpinzani wake. Pia atajijengea heshima kama mwanademokrasia wa kweli na mpenda mabadiliko. Vilevile atapata muda wa kujiiimarisha na kujiandaa zaidi kwa ajili ya uchaguzi.
Sifa za Tume huru ni zipi?
Nje YA TISS ccm ni kama karatasi tu. Hili wazo TISS wakilikubali tu imeisha hiyo.
Sheria, kanuni, na taratibu zinazosimamia chaguzi nchini, kutia ndani uchaguzi wa serikali za mitaa, wabunge na raisi, labda na spika pia!Reforms zipi zinazungumziwa hapa?
Acha kugha chafu ww, mkifanyiwa nyie mnasema watu hawana adabu, kuheshimiana ni two way traffic.huyo mpumbavu wenu mwambieni awaambie hao mabwana zake kule Ulaya nchi hii inaongozwa kwa mujibu wa sheria na taratibu siyo kwa upuuzi wake huo.
CCM wanasema itachukua zaidi ya miezi sita kubadilisha vitu kama hivyo, maana lazima muswaada wa kuwabadilisha uandaliwe, ujadiliwe na vikao, urekebishwe, uende kwa raisi, atoe maelekezo, upitiwe tena, kisha urudi kwa raisi, akubali arudishe kwa waziri, uwe drafted kama muswaada, wabunge wa CCM aitwe kukubaliana nao, ndio uende Bungeni kujadiliwa. Hapo si miaka mitano tayari?Kuna mabadiliko yanayoweza kufanyika bila hata bunge kuhusika mfano kuwaondoa Wakurugenzi wa Halmashauri kusimamia uchaguzi.
Unajibinaza na mtu mwenye mtindio wa ubongo Mkuu? Huyu lazima ana shemeji yake anamtuma kuosha gari la kimulimuli cha taa za blue na anamruhusu akiwashe anapopeleka gari car wash. Unafikiri ataelewa maoni ya Lisu yanayotishia shemeji yake kupoteza nafasi yake?Acha kugha chafu ww, mkifanyiwa nyie mnasema watu hawana adabu, kuheshimiana ni two way traffic.
CCM wanasema itachukua zaidi ya miezi sita kubadilisha vitu kama hivyo, maana lazima muswaada wa kuwabadilisha uandaliwe, ujadiliwe na vikao, urekebishwe, uende kwa raisi, atoe maelekezo, upitiwe tena, kisha urudi kwa raisi, akubali arudishe kwa waziri, uwe drafted kama muswaada, wabunge wa CCM aitwe kukubaliana nao, ndio uende Bungeni kujadiliwa. Hapo si miaka mitano tayari?
Kama ni miezi sita ina maana kufikia mwezi wa saba mabadiliko yatakuwa yamekamilika na uchaguzi unaweza kufanyika October kama kawaida.CCM wanasema itachukua zaidi ya miezi sita kubadilisha vitu kama hivyo, maana lazima muswaada wa kuwabadilisha uandaliwe, ujadiliwe na vikao, urekebishwe, uende kwa raisi, atoe maelekezo, upitiwe tena, kisha urudi kwa raisi, akubali arudishe kwa waziri, uwe drafted kama muswaada, wabunge wa CCM aitwe kukubaliana nao, ndio uende Bungeni kujadiliwa. Hapo si miaka mitano tayari?
Mpumbavu wewe mwenyewehuyo mpumbavu wenu mwambieni awaambie hao mabwana zake kule Ulaya nchi hii inaongozwa kwa mujibu wa sheria na taratibu siyo kwa upuuzi wake huo.
Kama ni miezi sita ina maana kufikia mwezi wa saba mabadiliko yatakuwa yamekamilika na uchaguzi unaweza kufanyika October kama kawaida.
Jaribu kuwauliza wana ccm wenzio kuanzia viongozi wako, hadi machawa wenzio kina lucas mwashambwa and co, kwanini wamechukia Lissu kushinda uenyekiti na walitamani Mbowe aendeleeKwa hiyo atafanya nini?
Kiburi ndio kitawamaliza ccm. Hoja aliyokuja nayo Lisu itakuwa na mashiko kwa umma kupita maelezo.Anatoa mawazo yasiyowezekana kufanikika anadhani CCM ni wajinga kiasi hicho yy kama hawez uchaguzi 2925 aususie wengine wale