KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,181
- 17,187
Mkuu siyo kwamba upinzani wanapenda kuwapa nafasi watu wanaotoka nje wagombee. Issue ni kwamba hawana hazina ya viongozi. Kama chama kinaweza kuwa na mwenyekiti kwa miaka 20 bila kubadilisha ina maana hakuna watu wengine wenye uwezo, sasa u Rais ndo wataweza.Huo ndio unatakuwa uwe mfano sio lazima kila mtu atakaetoka CCM wakati wa uchaguzi ukikaribia anatakiwa akimbilie kuomba nafasi ya kugombea kupitia upinzani.
Wakati umefika sasa wa vyama vya upinzani vinavyojielewa kuwapa nafasi ya kwanza wagombea wao wa ndani ili kuwajenga zaidi wagombea wao, na vyama vyao mbele ya jamii, kukimbilia kuwapa wageni kutafanya hivi vyama vionekane havina msimamo, hivyo kupoteza imani kwa wapiga kura.
Kuwa na Mwenyekiti miaka 20 haiwezi kuwa sababu, kwasababu huyo Mwenyekiti hupigiwa kura ya kuendelea kubaki alipo, tena zaidi hupigiwa kura hata na wale wanaoonekana wana sifa za kuchukua nafasi yake.Mkuu siyo kwamba upinzani wanapenda kuwapa nafasi watu wanaotoka nje wagombee. Issue ni kwamba hawana hazina ya viongozi. Kama chama kinaweza kuwa na mwenyekiti kwa miaka 20 bila kubadilisha ina maana hakuna watu wengine wenye uwezo, sasa u Rais ndo wataweza.
Kuna mahali nilipata kumshauri kuwa ajiunge na chama ambacho atakiona ni makini na chenye nguvu mfano Chadema.Vipi, mnaiogopa mada. Mbona mnasoma tu na kujiendea zenu?
Kwa mtu yeyote anayejali maslahi ya Tanzania zaidi, kujitoa mbele na kudai haki kabla ya kutanguliza maslahi binafsi ya kunufaika hicho ndio kipimo sahihi cha kuwa kiongozi anayependa nchi yake.
Lowassa alikuja kutafuta maslahi yake, alipoyakosa, na kuwekewa masharti ikambidi arudi alikotoka. Lowassa hakuweka maslahi ya Tanzania mbele.
Kwa hiyo, kutokana na uzoefu huo, Membe atuonyeshe alivyochukizwa na CCM na kutaka kuiondoa, hata kama hatapata cheo chochote ndani ya serikali itakayofuata. Hicho ndicho kipimo sahihi cha uongozi wa kuipenda nchi zaidi ya maslahi binafsi.
Ww jamaa una vituko sio kidogo unadhani kuongoza chama mpaka kikawa threat kwenye tawala mbili za serikali unadhani ni kitu rahisi?Mkuu siyo kwamba upinzani wanapenda kuwapa nafasi watu wanaotoka nje wagombee. Issue ni kwamba hawana hazina ya viongozi. Kama chama kinaweza kuwa na mwenyekiti kwa miaka 20 bila kubadilisha ina maana hakuna watu wengine wenye uwezo, sasa u Rais ndo wataweza.
Kaka chama ni Taasisi siyo mtu, kama taasisi imewekewa misingi mizuri haiwezi kutegemea mtu eti awaongoze kuwa threat kwa Serikali kwa muda wa miaka 20. Kwani lengo la chama cha siasa ni kuwa threat kwa Serikali au kushika dola?Ww jamaa una vituko sio kidogo unadhani kuongoza chama mpaka kikawa threat kwenye tawala mbili za serikali unadhani ni kitu rahisi??
Nyerere aliongoza Tanu na CCM zaidi ya miaka hiyo 20,ndio matunda unayoyaona sasa
Kuna mahali nilipata kumshauri kuwa ajiunge na chama ambacho atakiona ni makini na chenye nguvu mfano Chadema.
Asigombee chochote Bali awekeze nguvu zake zote na ushawishi kwa mgombea urais hata ikibidi atembee naye katika kampeni zake huku akishirikiana na chama katika kupata habari za kijasusi.
Membe bado anao watu wazito wengi wanao muunga mkono ndani ya CCM hivyo akishirikiana nao kuna jambo laweza kutokea.
Kuna watu ndani ya CCM kuendelea kwa magu kuwa kiongozi ni hatari kwao kuliko CCM kuondolewa madarakani.
Tunaidharau maana ni ya kitoto.Vipi, mnaiogopa mada. Mbona mnasoma tu na kujiendea zenu?
Kwa mtu yeyote anayejali maslahi ya Tanzania zaidi, kujitoa mbele na kudai haki kabla ya kutanguliza maslahi binafsi ya kunufaika hicho ndio kipimo sahihi cha kuwa kiongozi anayependa nchi yake.
Lowassa alikuja kutafuta maslahi yake, alipoyakosa, na kuwekewa masharti ikambidi arudi alikotoka. Lowassa hakuweka maslahi ya Tanzania mbele.
Kwa hiyo, kutokana na uzoefu huo, Membe atuonyeshe alivyochukizwa na CCM na kutaka kuiondoa, hata kama hatapata cheo chochote ndani ya serikali itakayofuata. Hicho ndicho kipimo sahihi cha uongozi wa kuipenda nchi zaidi ya maslahi binafsi.
Nimeona hata ccm wale wabunge wa upinzani waliohamia CCM katibu amewatangaza kuwa wamepita bila kupingwa kwenye majimbo yao wakati hayo majimbo yana wanaccm kibao.Mkuu siyo kwamba upinzani wanapenda kuwapa nafasi watu wanaotoka nje wagombee. Issue ni kwamba hawana hazina ya viongozi. Kama chama kinaweza kuwa na mwenyekiti kwa miaka 20 bila kubadilisha ina maana hakuna watu wengine wenye uwezo, sasa u Rais ndo wataweza.
Haukuwa ushauri mzuri, malengo yake ni kugombea urais ndani ya CCM au nje ya CCM. Wewe ulikuwa unamshauri kinyume na ndoto zake.Kuna mahali nilipata kumshauri kuwa ajiunge na chama ambacho atakiona ni makini na chenye nguvu mfano Chadema.
Asigombee chochote Bali awekeze nguvu zake zote na ushawishi kwa mgombea urais hata ikibidi atembee naye katika kampeni zake huku akishirikiana na chama katika kupata habari za kijasusi.
Membe bado anao watu wazito wengi wanao muunga mkono ndani ya CCM hivyo akishirikiana nao kuna jambo laweza kutokea.
Kuna watu ndani ya CCM kuendelea kwa magu kuwa kiongozi ni hatari kwao kuliko CCM kuondolewa madarakani.
Usomi sio sifa ya kuwa kiongozi mzuri, wapo wasomi wengi tumeona hawana misimamo wananunulika kirahisi sana, na zaidi, kuwa kiongozi wa chama kikuu cha upinzani wakati huu wa utawala wa Magufuli lazima uwe na kitu zaidi ya usomi ili uende nae sawa, vinginevyo utakimbia mapambano na usomi wako.Kaka chama ni Taasisi siyo mtu, kama taasisi imewekewa misingi mizuri haiwezi kutegemea mtu eti awaongoze kuwa threat kwa Serikali kwa muda wa miaka 20. Kwani lengo la chama cha siasa ni kuwa threat kwa Serikali au kushika dola?
Pia huwezi kufananisha mazingira waliyokua nayo kina Nyerere na ya sasa. Kipindi hicho hata watu wasomi wenye weledi walikua ni wachache. Na wengi walikua hawapendi kujihusisha na siasa walikua wanalinda vibarua vyao. Lakini sasa hivi, watu wenye uwezo ni wengi lakini wakitaka uongozi wanaondolewa kwa mabavu.