Anachoweza kufanya Membe sasa na kikamletea heshima kubwa

Akubali kuongoza mapambano dhidi ya CCM bila ya kudai malipo mbele.

Uhitaji wa Tanzania wa mwelekeo mpya, kuiondoa katika utekwaji chini ya mtu mmoja ni mkubwa zaidi kuliko mahitaji ya cheo kwa mtu anayeweza kuchangia kuiokoa Tanzania kutoka kwenye utekwaji huo.

Membe akubali kuwa mstari wa mbele katika mapambano haya bila ya kudai cheo chochote. Juhudi zake katika kuyaendeleza mapambano haya ndiko kutakakompa malipo ya juhudi zake za ukombozi.

Ni makosa kwake kuamini kuwa ni lazima apewe nafasi ya kugombea urais pekee ndio ashiriki kikamilifu kwenye mapambano.

Kazi Mbele, Malipo Baadae. Hii ndio iwe 'clarion call' ya yeyote anayetaka kushiriki katika mapambano haya.
Utaongozaje bila ya kuwa na cheo sehemu husika?,acha mbwembwe,nani atamtii ikiwa hana nyadhifa?

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Nje ya ccm Membe hana nguvu wala ushawishi
Hilo unalijua wewe na wala huna ushahidi wa kuonyesha kuwa hivyo ndivyo kweli.

Kama ndani ya CCM anao ushawishi (maanake hivyo ndivyo unavyoonyesha), kwa nini ushawishi huo huo na hao anaowashawishi asiupeleke na kuuendeleza nje ya CCM?
 
Akubali kuongoza mapambano dhidi ya CCM bila ya kudai malipo mbele.

Uhitaji wa Tanzania wa mwelekeo mpya, kuiondoa katika utekwaji chini ya mtu mmoja ni mkubwa zaidi kuliko mahitaji ya cheo kwa mtu anayeweza kuchangia kuiokoa Tanzania kutoka kwenye utekwaji huo.

Membe akubali kuwa mstari wa mbele katika mapambano haya bila ya kudai cheo chochote. Juhudi zake katika kuyaendeleza mapambano haya ndiko kutakakompa malipo ya juhudi zake za ukombozi.

Ni makosa kwake kuamini kuwa ni lazima apewe nafasi ya kugombea urais pekee ndio ashiriki kikamilifu kwenye mapambano.

Kazi Mbele, Malipo Baadae. Hii ndio iwe 'clarion call' ya yeyote anayetaka kushiriki katika mapambano haya.

Nadhani umeweka vizuri sana hii post yako.Ajue mazingira ya sasa na kumbukumbu mbaya ambayo wapinzani wanayo wanapotoa fursa hasa dakika za mwisho.Akilielewa hilo na kuunga mkono mapambano bila kutaka awe yeye litakuwa jambo jema.Walau aonyeshe anataka kweli mabadiliko anayojinadi kutaka kuyapigania.Karata hii ikichezwa vizuri tunaweza kushuhudia maajabu.
 
Akubali kuongoza mapambano dhidi ya CCM bila ya kudai malipo mbele.

Uhitaji wa Tanzania wa mwelekeo mpya, kuiondoa katika utekwaji chini ya mtu mmoja ni mkubwa zaidi kuliko mahitaji ya cheo kwa mtu anayeweza kuchangia kuiokoa Tanzania kutoka kwenye utekwaji huo.

Membe akubali kuwa mstari wa mbele katika mapambano haya bila ya kudai cheo chochote. Juhudi zake katika kuyaendeleza mapambano haya ndiko kutakakompa malipo ya juhudi zake za ukombozi.

Ni makosa kwake kuamini kuwa ni lazima apewe nafasi ya kugombea urais pekee ndio ashiriki kikamilifu kwenye mapambano.

Kazi Mbele, Malipo Baadae. Hii ndio iwe 'clarion call' ya yeyote anayetaka kushiriki katika mapambano haya.
maneno hayo pia mwambie Lissu
 
Kuwa na Mwenyekiti miaka 20 haiwezi kuwa sababu, kwasababu huyo Mwenyekiti hupigiwa kura ya kuendelea kubaki alipo, tena zaidi hupigiwa kura hata na wale wanaoonekana wana sifa za kuchukua nafasi yake.

Kinacho "influence" Mwenyekiti aendelee kubaki madarakani pia ni aina ya wagombea wanaojitokeza kama washindani wake kwenye hiyo nafasi, mara nyingi hao wagombea huwa dhaifu wasio na uwezo wa kushindana, zaidi ya maneno mkinichagua nitafanya hivi au vile, na mbaya zaidi wengi wao hupigiwa chapuo mpaka na CCM.

Lakini zaidi "track record" ya mwenyekiti aliyepo ni wachache sana wenye uwezo wa kumuangusha kwasababu wapiga kura wote wanaifahamu, na siku zote wanajua wanachotaka.

Ila kwa upande wa wagombea wa Urais, situation ni tofauti kabisa, na sio kweli wapinzani hawana hazina ya viongozi kwani wagombea waliojitokeza huko wanaeleweka, ndio maana naamini Chadema wanastahili kumsimamisha mgombea wao kwenye hiyo nafasi mwaka huu.
 
Vipi, mnaiogopa mada. Mbona mnasoma tu na kujiendea zenu?

Kwa mtu yeyote anayejali maslahi ya Tanzania zaidi, kujitoa mbele na kudai haki kabla ya kutanguliza maslahi binafsi ya kunufaika hicho ndio kipimo sahihi cha kuwa kiongozi anayependa nchi yake.

Lowassa alikuja kutafuta maslahi yake, alipoyakosa, na kuwekewa masharti ikambidi arudi alikotoka. Lowassa hakuweka maslahi ya Tanzania mbele.

Kwa hiyo, kutokana na uzoefu huo, Membe atuonyeshe alivyochukizwa na CCM na kutaka kuiondoa, hata kama hatapata cheo chochote ndani ya serikali itakayofuata. Hicho ndicho kipimo sahihi cha uongozi wa kuipenda nchi zaidi ya maslahi binafsi.
Mada dhaifu
 
Mkuu siyo kwamba upinzani wanapenda kuwapa nafasi watu wanaotoka nje wagombee. Issue ni kwamba hawana hazina ya viongozi. Kama chama kinaweza kuwa na mwenyekiti kwa miaka 20 bila kubadilisha ina maana hakuna watu wengine wenye uwezo, sasa u Rais ndo wataweza.
Maoni yako nimeyapenda sana , Na kwa maoni hayo hayo ya wananchi kuamini kiongozi alie jaribiwa anatosha, ndio maana wanachama wa CCM na wananchi wa Tanzania kwa ujumla wanapendekeza Magufuli aongezewa muda au miaka 10 au 20 zaidi baada ya kumaliza hii 10 ya kuanzia. Wananchi hutafuta Rais kwa kuwa anaitwa Rais laa hasha, tunatafuta kiongozi anaetufaa na kutuletea mabadiliko ya kutosha ambayo tumeyatamani muda mrefu. Kitaifa Magufuli nina tuu, Mbuga za wanyama, dhahabu, maziwa yetu, bahari, Tanzanite au resources ile ya kitaifa. Hatutaki kuweka kiongozi kwa vile katiba inapendekeza. Nchi duniani huendelea kwa kutumia resources walizo nazo. na resources zipo kuu tano( 5)
1) Watu
2) Fedha
3) Mali asili
4) Ubunifu wa kweli na wenye tija kwa Taifa.
5) Uongozi wa kutoa matokeo ( result oriented leadership)

Magufuli sio mtuu kitaifa ni resource, kwa hiyo lazima kwenye watu atumike kama kichicheo cha mabadiliko makubwa ya uchumi wetu. Akimaliza ndio hao waliberali ambao sifa kubwa ni kusema vizuri.
Kuonea huruma wahalifu.
Polisi kukubali kuwaacha watukutu wafanye mabaya watakayo na iwe ndio mtu wa kusifiwa na kupigiwa mfano.
Mashoga wafanye biashara zao za ukahaba na kujitangaza.
Wavuta bangi na ngada waingie bungeni na tuwapigie makofi ya kuwashangilia.
Watu wapate nafasi za uongozi wakiwa na vyeti feki na tuwavumilie na hata kuwatetea.
Wakianzisha kampeni za ukuta tuwaachie tuu na inapaswa tuwashangilia.
Tunatakiwa tuwe serious ndiyo tubadilike.
 
Akubali kuongoza mapambano dhidi ya CCM bila ya kudai malipo mbele.

Uhitaji wa Tanzania wa mwelekeo mpya, kuiondoa katika utekwaji chini ya mtu mmoja ni mkubwa zaidi kuliko mahitaji ya cheo kwa mtu anayeweza kuchangia kuiokoa Tanzania kutoka kwenye utekwaji huo.

Membe akubali kuwa mstari wa mbele katika mapambano haya bila ya kudai cheo chochote. Juhudi zake katika kuyaendeleza mapambano haya ndiko kutakakompa malipo ya juhudi zake za ukombozi.

Ni makosa kwake kuamini kuwa ni lazima apewe nafasi ya kugombea urais pekee ndio ashiriki kikamilifu kwenye mapambano.

Kazi Mbele, Malipo Baadae. Hii ndio iwe 'clarion call' ya yeyote anayetaka kushiriki katika mapambano haya.
Nahisi akiwa msindikizaji hana relevance
 
Ndani ya mwili wa Nyalandu naiona roho ya Membe. Ingawa haitegemewi na walio wengi, bado napata ujasiri wa kumuona Nyalandu kuwa ndiye mpeperusha bendera wa CDM ili apate kukabiliana na Magufuli. Haya ndiyo yatukuwa maridhiano ya mwisho miongoni mwa makundi hasimu ndani na nje ya CDM.
 
Maoni yako nimeyapenda sana , Na kwa maoni hayo hayo ya wananchi kuamini kiongozi alie jaribiwa anatosha, ndio maana wanachama wa CCM na wananchi wa Tanzania kwa ujumla wanapendekeza Magufuli aongezewa muda au miaka 10 au 20 zaidi baada ya kumaliza hii 10 ya kuanzia. Wananchi hutafuta Rais kwa kuwa anaitwa Rais laa hasha, tunatafuta kiongozi anaetufaa na kutuletea mabadiliko ya kutosha ambayo tumeyatamani muda mrefu. Kitaifa Magufuli nina tuu, Mbuga za wanyama, dhahabu, maziwa yetu, bahari, Tanzanite au resources ile ya kitaifa. Hatutaki kuweka kiongozi kwa vile katiba inapendekeza. Nchi duniani huendelea kwa kutumia resources walizo nazo. na resources zipo kuu tano( 5)
1) Watu
2) Fedha
3) Mali asili
4) Ubunifu wa kweli na wenye tija kwa Taifa.
5) Uongozi wa kutoa matokeo ( result oriented leadership)

Magufuli sio mtuu kitaifa ni resource, kwa hiyo lazima kwenye watu atumike kama kichicheo cha mabadiliko makubwa ya uchumi wetu. Akimaliza ndio hao waliberali ambao sifa kubwa ni kusema vizuri.
Kuonea huruma wahalifu.
Polisi kukubali kuwaacha watukutu wafanye mabaya watakayo na iwe ndio mtu wa kusifiwa na kupigiwa mfano.
Mashoga wafanye biashara zao za ukahaba na kujitangaza.
Wavuta bangi na ngada waingie bungeni na tuwapigie makofi ya kuwashangilia.
Watu wapate nafasi za uongozi wakiwa na vyeti feki na tuwavumilie na hata kuwatetea.
Wakianzisha kampeni za ukuta tuwaachie tuu na inapaswa tuwashangilia.
Tunatakiwa tuwe serious ndiyo tubadilike.

Ww lazima utakuwa mzee kwa propaganda hizi, au kijana lakini unayeishi kwa kujipendekeza.
 
Nahisi akiwa msindikizaji hana relevance
Hili sio swala la usindikizaji, ni swala la kuchukizwa na hali iliyopo na kuamua kushiriki kuibadili. Huo sio usindikizaji, ni upambanaji.
 
Ndani ya mwili wa Nyalandu naiona roho ya Membe. Ingawa haitegemewi na walio wengi, bado napata ujasiri wa kumuona Nyalandu kuwa ndiye mpeperusha bendera wa CDM ili apate kukabiliana na Magufuli. Haya ndiyo yatukuwa maridhiano ya mwisho miongoni mwa makundi hasimu ndani na nje ya CDM.
Nyalandu amekwishaonyesha utofauti wake mkubwa na wengine wengi walioingia CHADEMA na wimbi la Lowassa. Nyalandu sio zao la Lowassa, yeye anajitegemea kivyake, tofauti kabisa na wengine. Anazo sababu zake za kumwondoa CCM, tofauti kabisa na wengine.

Alipoingia CHADEMA hakuingia kwa kugombea cheo, na amefanya kazi ndani ya CHADEMA matunda yake yanaonekana.
Kwa hiyo huyu ni sehemu kamili ya CHADEMA. Kama chama kitampima na kuridhika na sifa alizokijengea chama na yeye mwenyewe, bila shaka kitampa nafasi ya kupeperusha bendera. Hayo wanayajua wenyewe huko ndani ya chama chao.
 
Ww lazima utakuwa mzee kwa propaganda hizi, au kijana lakini unayeishi kwa kujipendekeza.
Mbona unampa heshima asiyoistahili mkuu tindo. Haya aliyoweka hapa zinakidhi mahitaji ya kuitwa 'propaganda' kweli?

Basi tuseme ni 'propaganda' kwa watu ambao hawana 'sophistication' ya aina yoyote kabisa! Hawana 'exposure' ya aina yoyote inayoweza kuwawezesha kujua ukweli na uongo.
 
Huo ndio unatakiwa uwe mfano sio lazima kila mtu atakaetoka CCM wakati wa uchaguzi ukikaribia anatakiwa akimbilie kuomba nafasi ya kugombea kupitia upinzani.

Wakati umefika sasa wa vyama vya upinzani vinavyojielewa kuwapa nafasi ya kwanza wagombea wao wa ndani ili kuwajenga zaidi wagombea wao, na vyama vyao mbele ya jamii, kukimbilia kuwapa wageni kutafanya hivi vyama vionekane havina msimamo, hivyo kupoteza imani kwa wapiga kura.
Hakuna mpinzani bongo. Hiki ni kipindi Cha Hawa wahuni wa kisiasa kupiga hela.
 
Back
Top Bottom