Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,152
- 10,683
Nasema hiviWewe ni mtu wa siku nyingi hapa JF. Inashangaza kuona ukiwa na tabia kama za kijana anayebarehe.
Hoja yako dhaifu
Hukuhitaji kufungia new thread kwa kitu ambacho kimejadiliwa Mara elfu
Yanaboa mathread yanayofanana mkuu
Nimekushangaa to say the least
I expected more from people like you
Member is just playing games, and he knows it!
Mpinzani wa kweli hajitokezi three months before election