Anachoweza kufanya Membe sasa na kikamletea heshima kubwa

Anachoweza kufanya Membe sasa na kikamletea heshima kubwa

Kufanya kazi ubalozini au kuwa diplomat doesn't make you a good leader

If you could mention just three things alizofanya huyo jamaa zenye impact kokote alipopita ntashukuru Sana
Anataka kuweka 'impact' sasa uione. Unashida gani na hilo?
 
waanzilishi wake ni hao hao kina mnyika, hivi akili ya kawaida utaacha kumsikikiza membe unamsikiliza mnyika!
Mbona unajichanganya sasa. Membe na Mnyika, utamsikiliza nani sasa na kwa sababu zipi?
 
Membe anamapenzi na CCM hata sasa na siku zijazo.ndo maana amejaribu kupambana mpaka mwisho ili abaki CCM.Anamalengo ya urais kama Edlow,kwahiyo akienda chama chochote ni kwa malengo ya kuwania Urais na si vinginevyo.
 
Membe ni bonge la pandikizi ndani ya upinzani, sawa na Lowassa, atagombea urais na kupigwa chini kisha atarejea tena ccm.

Kuna mchezo ccm wanawachezea wapinzani na wao walivyo mbumbumbu hawaelewi.

Membe hamna kitu hapo ni njama za ccm kuumaliza upinzani, kwani ni lazima tu agombee urais. Iko siku hili ninalolisema litakuja kudhihirika.
 
Back
Top Bottom