Nimependa hicho unachodai cha Uhitaji wa Tanzania wa mwelekeo mpya, kuiondoa katika utekwaji chini ya mtu mmoja. Hakika mmefikirishwa kuwa kuna utekaji nchi hii. Poleni sana kwa kulishwa matanga.Akubali kuongoza mapambano dhidi ya CCM bila ya kudai malipo mbele.
Uhitaji wa Tanzania wa mwelekeo mpya, kuiondoa katika utekwaji chini ya mtu mmoja ni mkubwa zaidi kuliko mahitaji ya cheo kwa mtu anayeweza kuchangia kuiokoa Tanzania kutoka kwenye utekwaji huo.
2025 atagombea tena kwenye mchakato wa CCM. Iwapo mwaka huu atagombea chama cha upinzani na kukakuwepo na utitiri wa vyama baasi upinzani hawatashinda.Akubali kuongoza mapambano dhidi ya CCM bila ya kudai malipo mbele.
Uhitaji wa Tanzania wa mwelekeo mpya, kuiondoa katika utekwaji chini ya mtu mmoja ni mkubwa zaidi kuliko mahitaji ya cheo kwa mtu anayeweza kuchangia kuiokoa Tanzania kutoka kwenye utekwaji huo.
Membe akubali kuwa mstari wa mbele katika mapambano haya bila ya kudai cheo chochote. Juhudi zake katika kuyaendeleza mapambano haya ndiko kutakakompa malipo ya juhudi zake za ukombozi.
Ni makosa kwake kuamini kuwa ni lazima apewe nafasi ya kugombea urais pekee ndio ashiriki kikamilifu kwenye mapambano.
Kazi Mbele, Malipo Baadae. Hii ndio iwe 'clarion call' ya yeyote anayetaka kushiriki katika mapambano haya.
Mkuu huwa nakukubali sana michango yako hasa katika siasa huwa upo neutral.2025 atagombea tena kwenye mchakato wa CCM. Iwapo mwaka huu atagombea chama cha upinzani na kukakuwepo na utitiri wa vyama baasi upinzani hawatashinda.
Membe alishindwa kuishi na kipofu kwa miaka hii mitano since 2015, alitakiwa awasuprise kwa kuchukua form CCM, sema jamaa wakamuintercept na kumfukuza.
Vipi, mnaiogopa mada. Mbona mnasoma tu na kujiendea zenu?
Kwa mtu yeyote anayejali maslahi ya Tanzania zaidi, kujitoa mbele na kudai haki kabla ya kutanguliza maslahi binafsi ya kunufaika hicho ndio kipimo sahihi cha kuwa kiongozi anayependa nchi yake.
Lowassa alikuja kutafuta maslahi yake, alipoyakosa, na kuwekewa masharti ikambidi arudi alikotoka. Lowassa hakuweka maslahi ya Tanzania mbele.
Kwa hiyo, kutokana na uzoefu huo, Membe atuonyeshe alivyochukizwa na CCM na kutaka kuiondoa, hata kama hatapata cheo chochote ndani ya serikali itakayofuata. Hicho ndicho kipimo sahihi cha uongozi wa kuipenda nchi zaidi ya maslahi binafsi.
Sidhani kama Mbowe kukaa miaka 20 akiwa kama Mwenyekiti wa Chama ni tatizo kama demokrasia inafuatwa kwa ukamilifu kumhalalisha yeye kuendelea kukalia nafasi hiyo
Kupata kiongozi mkuu wa Chama chochote kunahitaji umakini wa hali ya juu. Kama vile tunavyoona kwenye CCM demokrasia lazima iwekewe kanuni na taratibu makini za ndani ya taasisi husika ili isiwe chanzo cha kuibomoa taasisi yenyewe kwa jina la demokrasia
Hebu chukulia mfano huu. Mnamchagua mtu kua kiongozi wa juu kabisa wa Chama halafu siku ya siku anatangaza kuunga mkono juhudi!!!
Kaka chama ni Taasisi siyo mtu, kama taasisi imewekewa misingi mizuri haiwezi kutegemea mtu eti awaongoze kuwa threat kwa Serikali kwa muda wa miaka 20. Kwani lengo la chama cha siasa ni kuwa threat kwa Serikali au kushika dola?
Pia huwezi kufananisha mazingira waliyokua nayo kina Nyerere na ya sasa. Kipindi hicho hata watu wasomi wenye weledi walikua ni wachache. Na wengi walikua hawapendi kujihusisha na siasa walikua wanalinda vibarua vyao. Lakini sasa hivi, watu wenye uwezo ni wengi lakini wakitaka uongozi wanaondolewa kwa mabavu.
Sidhani kama Mbowe kukaa miaka 20 akiwa kama Mwenyekiti wa Chama ni tatizo kama demokrasia inafuatwa kwa ukamilifu kumhalalisha yeye kuendelea kukalia nafasi hiyo
Kupata kiongozi mkuu wa Chama chochote kunahitaji umakini wa hali ya juu. Kama vile tunavyoona kwenye CCM demokrasia lazima iwekewe kanuni na taratibu makini za ndani ya taasisi husika ili isiwe chanzo cha kuibomoa taasisi yenyewe kwa jina la demokrasia
Hebu chukulia mfano huu. Mnamchagua mtu kua kiongozi wa juu kabisa wa Chama halafu siku ya siku anatangaza kuunga mkono juhudi!!!
Kuna tatizo gani "kupokea maelekezo kutoka kwa Mnyika" kama lengo la maelekezo ni kuleta mafanikio katika mapambano?Kalamu1,
Ataongoza vipi mapambano bila kuwa kiongozi, unataka awe anapokea maelekezo kutoka kwa mnyika?
Sent from my BLL-L21 using JamiiForums mobile app
"Ndoto zake," na sio ndoto za kuitumikia Tanzania yenye mafanikio... ataishi na kufa nazo mwenyewe.Haukuwa ushauri mzuri, malengo yake ni kugombea urais ndani ya CCM au nje ya CCM. Wewe ulikuwa unamshauri kinyume na ndoto zake.
Vipi, mnaiogopa mada. Mbona mnasoma tu na kujiendea zenu?
Kwa mtu yeyote anayejali maslahi ya Tanzania zaidi, kujitoa mbele na kudai haki kabla ya kutanguliza maslahi binafsi ya kunufaika hicho ndio kipimo sahihi cha kuwa kiongozi anayependa nchi yake.
Lowassa alikuja kutafuta maslahi yake, alipoyakosa, na kuwekewa masharti ikambidi arudi alikotoka. Lowassa hakuweka maslahi ya Tanzania mbele.
Kwa hiyo, kutokana na uzoefu huo, Membe atuonyeshe alivyochukizwa na CCM na kutaka kuiondoa, hata kama hatapata cheo chochote ndani ya serikali itakayofuata. Hicho ndicho kipimo sahihi cha uongozi wa kuipenda nchi zaidi ya maslahi binafsi.
Tindo viongozi wako watakuangusha sana wakimpitisha maana hoja zako zote nazokutana nazo ni kulaani hilo.Hapa umezungumza jambo la msingi sana. Kama kweli anakuja upinzani kwa nia njema ya kupambana na ccm, basi cheo isiwe kipaombele chake kwa sasa. Yeye atoe mchango wako, mambo ya madaraka ni baada ya watu kujiridhisha na mchango wake.
Na sidhani kuwa CHADEMA wana uthubutu wa kumpitisha Membe kuwa mgombea wao.Tindo viongozi wako watakuangusha sana wakimpitisha maana hoja zako zote nazokutana nazo ni kulaani hilo.
Tindo viongozi wako watakuangusha sana wakimpitisha maana hoja zako zote nazokutana nazo ni kulaani hilo.
Membe amefanikiwa, mfumo umefanikiwa. Kama ni soka mchezo haujaanza lakini kuna timu ishapoteana kisaikolojiaMsimamo wa kuwa Membe hafai kuwa mgombea wa urais kupitia cdm wala hauna kificho, uko wazi peupe, na ninaweza kuutetea msimamo wangu huu.
Hatuogopi chochote !Vipi, mnaiogopa mada. Mbona mnasoma tu na kujiendea zenu?
Kwa mtu yeyote anayejali maslahi ya Tanzania zaidi, kujitoa mbele na kudai haki kabla ya kutanguliza maslahi binafsi ya kunufaika hicho ndio kipimo sahihi cha kuwa kiongozi anayependa nchi yake.
Lowassa alikuja kutafuta maslahi yake, alipoyakosa, na kuwekewa masharti ikambidi arudi alikotoka. Lowassa hakuweka maslahi ya Tanzania mbele.
Kwa hiyo, kutokana na uzoefu huo, Membe atuonyeshe alivyochukizwa na CCM na kutaka kuiondoa, hata kama hatapata cheo chochote ndani ya serikali itakayofuata. Hicho ndicho kipimo sahihi cha uongozi wa kuipenda nchi zaidi ya maslahi binafsi.
Hatuwezi kurudia makosa yaleyaleMsimamo wa kuwa Membe hafai kuwa mgombea wa urais kupitia cdm wala hauna kificho, uko wazi peupe, na ninaweza kuutetea msimamo wangu huu.
Membe amefanikiwa, mfumo umefanikiwa. Kama ni soka mchezo haujaanza lakini kuna timu ishapoteana kisaikolojia
Kwa ujio wa Membe upinzani uta/umeshaanza kigawanyika! Akienda CHADEMA na wakatokea watu wamsapoti kupeperusha bendera ya Urais, CHADEMA itameguka mapende matatu
Pande la kwanza ni hao wanaomuunga mkono, pande la pili ni wanaopinga asiwe mgombea wa Urais kama wewe Ndugu Tindo, na pande la tatu ni la wagombea wengine wanaoomba nafasi hiyo ikiwemo wale waliomwaga damu, machozi na jasho kuijenga Chadema hadi hapo ilipo sasa hivi ambao wataona wameuzwa na kusalitiwa
Ikiwa Membe ataenda ACT basi wapinzani watagawa kura! Hapa nawapa kongole watu wa mfumo, wamecheza kama wale mahodarinwa mchezo wa chess