Anachoweza kufanya Membe sasa na kikamletea heshima kubwa

Wewe ni mtu wa siku nyingi hapa JF. Inashangaza kuona ukiwa na tabia kama za kijana anayebarehe.
Nasema hivi

Hoja yako dhaifu

Hukuhitaji kufungia new thread kwa kitu ambacho kimejadiliwa Mara elfu

Yanaboa mathread yanayofanana mkuu

Nimekushangaa to say the least

I expected more from people like you

Member is just playing games, and he knows it!

Mpinzani wa kweli hajitokezi three months before election
 
Hata kitabu hajawahi andika, hata makala kwenye gazeti, hata muhadhra kwenye University au kongamano. wengi hatujui Ana maoni gani,
Inabidi ajipange vilivyo
 
Hawana hazina ya viongozi lakini kutwa kuchwa wanaotoka CDM wanapewa nafasi huku nyie wafia CCM mkipigishwa deki!
 
Tz ilishakombolewa, sijui ni ukombozi gani unaosemea! Hivi Sasa adui wa Tz ni umaskini! Tunapigana Vita vya uchumi! Wachumia tumbo Kama mkatwa mkia wenu nao tutawachanganya? J ping wetu tumeshampata, tusubirini dunia ya kwanza soon!
 
Katika yote uliyoandika hapa, kidogo ningekupa 'partial credit' kwa mstari huo wa mwisho, ambao pia haustahili 'full credit' Ninaweza nikaeleza kirefu kuhusu hilo.

Hayo mengine yote uliyoandika hapo juu nadhani yanaendana tu na jina lako, kama ulivyokwishaonyesha huko juu kwenye majibishano mengine katika mada hii.

Hadi hapa tulipofikia kuna wachangiaji zaidi ya sitini, na wewe ukiwemo kwa takataka zako hizi, halafu unasema hoja hafifu?
 
Hata kitabu hajawahi andika, hata makala kwenye gazeti, hata muhadhra kwenye University au kongamano. wengi hatujui Ana maoni gani,
Inabidi ajipange vilivyo
Kwa viongozi wa Tanzania kudai hayo unayodai hapa ni kama kuwaonea. Hebu nipe mfano kati ya hao waliopo kwenye ngazi za uongozi aliyewahi kuyafanya hayo unayomdai yeye.

Sikatai umhimu wa hayo, na kwa kweli nami ningependa sana tuwapime watu wanaotaka kutuongoza kwa vigezo mbalimbali ikiwemo hayo uliyoandika. Lakini simjui hata mmoja, ukiachilia mbali Mwalimu Nyerere na Mkapa, walioweza kuonyesha sifa hizo.
 
Tz ilishakombolewa, sijui ni ukombozi gani unaosemea! Hivi Sasa adui wa Tz ni umaskini! Tunapigana Vita vya uchumi! Wachumia tumbo Kama mkatwa mkia wenu nao tutawachanganya? J ping wetu tumeshampata, tusubirini dunia ya kwanza soon!
Ndiyo, ilikombolewa, lakini tunaona inarudi kwenye ngazi ambayo hatujawahi kabisa kuifikia, ngazi ya 'kufanywa 'mateka'; pasiwepo hata na namna ya kuwaondoa hao watekaji.

Umaskini ni adui tunayeweza kupambana naye bila kufanywa mateka ndani ya nchi yetu sisi wenyewe..
 
Umetekwa na Nani Tena? Nahuyo mtekaji wako yupo pouwa kweli yaani anakuruhusu kuchat JF🤣😂🤣😂!
 
I don't expect credits from you sir

Sometimes unajipa levels zisizo zako

Bandiko lako Ni hafifu na halina mashiko
 
Kufanya kazi ubalozini au kuwa diplomat doesn't make you a good leader

If you could mention just three things alizofanya huyo jamaa zenye impact kokote alipopita ntashukuru Sana
 
Hakuna mpinzani bongo. Hiki ni kipindi Cha Hawa wahuni wa kisiasa kupiga hela.
Wale wafungwa mliowatumia kupandisha bendera za chama hapo Dom mmeshawarudisha gerezani?
 

Vijana wenzangu wa Lumumba huwa mnachekesha sana. Je, wajua katiba ya chama chao inasemaje?

Ni wazi kuwa tatizo sio nafasi ya uenyekiti wala CHADEMA, bali ni ujasiri, uhodari, ushupavu na uvumilivu wa Mbowe ndio unaowaumiza.

Dola kwa kushirikiana na chama changu tumemtesa sana Mbowe, ila bado kasimama imara. Sasa imegeuka, tumeanza kuteseka na kuumia sisi kila tunapoona anazidi kupata nguvu.

Wana CCM tubadilike na tuweke haki mbele
 
Nadhani Wewe ndo hujielewi ndugu yangu. Hivi kila sehemu wangekua wanaangalia ushupavu wa mtu ndo kigezo cha kubakia kwenye uongozi wa milele basi kusingekua na kitu kinaitwa Demokrasia. Ukishakua shupavu na mvumilivu tu basi wewe ni halali kutawala milele. Tathmini fikra zako kama unawaza sahihi.
 

Hizo ulizotaja ni sifa za mtu. nimekuuliza wajua katiba yao inasemaje?

Juzi tu wana lumumba wenzangu mmekuja na habari za Putin kuongezewa muda hadi 2030. Kwa Putin na Mwenyekiti wetu sawa tena kinyume na katiba.

Kwa Mbowe nongwa japo katiba inaruhusu.

Ni wivu
 

Mlitembea na lowasa, sumaye na kingunge, na bado mpata mtu anaitwa tambwe hiza, akaja mzee yule wa shinyanaga aliyekuwa mwenyekiti wa ccm bado mkashindwa sasa leo membe peke yake na bavicha washinde?
Kazi kweli.
 

Kwani demokrasia mnaifahamu ki vipi?
Kubadili badili ndio demokrasia au maamuzi ya wengi ndio demokrasia?
 
Kipengele cha ukomo wa uongozi wa CDM kilibadilishwa kinyemela bila maamuzi ya vikao halali vya Chama. Hili suala lililamikiwa sana na kina Zitto na wengineo kipindi hicho wakiwa CHADEMA. Sasa ukiniambia kuhusu Katiba yao, kwa maoni yangu ni Katiba ambayo imewekwa strategically kubariki haya yaliyopo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…