KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,181
- 17,187
- Thread starter
-
- #81
Anataka kuweka 'impact' sasa uione. Unashida gani na hilo?Kufanya kazi ubalozini au kuwa diplomat doesn't make you a good leader
If you could mention just three things alizofanya huyo jamaa zenye impact kokote alipopita ntashukuru Sana
Mbona hayo ni maneno ya kwenye kanga.akili kubwa kuongozwa na akili ndogo
waanzilishi wake ni hao hao kina mnyika, hivi akili ya kawaida utaacha kumsikikiza membe unamsikiliza mnyika!Mbona hayo ni maneno ya kwenye kanga.
Mbona unajichanganya sasa. Membe na Mnyika, utamsikiliza nani sasa na kwa sababu zipi?waanzilishi wake ni hao hao kina mnyika, hivi akili ya kawaida utaacha kumsikikiza membe unamsikiliza mnyika!
bora yeshe!Mbona unajichanganya sasa. Membe na Mnyika, utamsikiliza nani sasa na kwa sababu zipi?