MANAGER DOCTOR WENGER
JF-Expert Member
- Jan 3, 2026
- 202
- 304
- Thread starter
-
- #41
Wivu gani? nimeuliza ili nijirizishe kosa lipi hapo, we afya yako inapata shida unaenda kupima, maana yake ujirizishe, na ndo utaratibu huwezi kaa na mtu hujui shughuli zake anakuja kwangu kama jambazi SI atanidhuruunajitesa bure mkuu,mimi sio nabii ila naona una wivu na rafiki yako ndiyo maana unatafuta ukweli,
Acha kufuatilia maisha ya watu,wanaume hatupo hivyo,yani mpaka unakuja kumfungulia uzi mwanaume kuulizia mishe zake? Utakuja kuinamishwa kisha wakuache ukiwa single maza.Nina maisha mkuu, ili uamini NJOO kwangu nikupe khanga na mtandio ujifunike, huku ukinipikia na KAZI zingine za ndani takupa jina la mwajuma
vitu vingine ni ku ignore tu ,ukijipenda inatoshaBinadamu ni kama mtihan,, uwezi kumjua 100% 😀😀
Mnataka matusi sio? Nina kauli tata msije niombea ban, shauri zenuTena nimepata wazo mkuu.
Tena huyo jamaa anaemfuatilia hadi kumhama ndo alimtia mimba na akaikataa mimba na ndo chanzo cha jamaa kumhama mtoa mada
Kama wewe ulivo olewa, sioUmbeya tu na roho za korosho, ukipenda kuchunguza mwanaume mwenzio anapataje pesa utakuja kutamani kuolewa siku moja.
Translate MkuuHiyo ndio kazi yangu na pesa zangu nyingi ndo napatia hapo. Kwa nini unanitilia shaka mkuu
Upotumia nguvu kufatilia watu kuna uwezekano mkubwa ukapoteza marinda yote hata yaliyosalia yakaisha kabisa.Kama wewe ulivo olewa, sio
Umesomea wapi mkuu, tangu lini mwanaume akawa na uwezo wa kubeba mimba, Hana uterus, fallopian tubes zile zinazo carry yai na sperms, wewe shule unaenda, ni mjinga Fulani tu, tunawaita kubwa jingaTena nimepata wazo mkuu.
Tena huyo jamaa anaemfuatilia hadi kumhama ndo alimtia mimba na akaikataa mimba na ndo chanzo cha jamaa kumhama mtoa mada
Kama wewe ulivo poteza marinda, wakakupanua kama demu wa udsm sioUpotumia nguvu kufatilia watu kuna uwezekano mkubwa ukapoteza marinda yote hata yaliyosalia yakaisha kabisa.
Punguza shobo wewe, nani anamfuatilia mwenzake mimi au yeye anakuja kwangu, kama huna elimu na hayo mambo SI unge nyamaza, kihelehele cha nini mkuuMind ur own business .
Haipendezi kufatilia mambo ya watu na mtoto wa kiume ni hatari mambo ya Kijinga kama HAYO waachie wale wamama wanaokaaga karibu na choo wakipiga story
jambazi gani akae na mtu kama wewe mkuu majambazi hawashobokei watu hovyo na kusema shughuli zao hata kama anataka kukudanganya, hukai na jambazi sema tu unahisi kumjua jamaa yako kama ana hela kukuzidi au lahasha ,Wivu gani? nimeuliza ili nijirizishe kosa lipi hapo, we afya yako inapata shida unaenda kupima, maana yake ujirizishe, na ndo utaratibu huwezi kaa na mtu hujui shughuli zake anakuja kwangu kama jambazi SI atanidhuru
Huna lolote la kunifanyaMnataka matusi sio? Nina kauli tata msije niombea ban, shauri zenu
Huna unacho kijua, mimi ni kama kaka kwake, lazima nijue mienendo yake, nimekuja hapa kupata elimu, nashangaa mnaanza KUTUKANA, mana mwisho akidakwa mimi ndie tawajibika upo hapoAsee wee achana na maisha ya watu ambao huna mchango wako kwao wewe dili na mamlaka zinazotapanya mapato yatokanayo na kodi zako,tozo na ushulu mbalimbali utoazo apa nchini maana hao una haki nao na unamkono wako uko
Wewe ndo umekuwa sasa mwanaume wa kwanza kubeba mimbaUmesomea wapi mkuu, tangu lini mwanaume akawa na uwezo wa kubeba mimba, Hana uterus, fallopian tubes zile zinazo carry yai na sperms, wewe shule unaenda, ni mjinga Fulani tu, tunawaita kubwa jinga
Punguza shobo wewe, nani anamfuatilia mwenzake mimi au yeye anakuja kwangu, kama huna elimu na hayo mambo SI unge nyamaza, kihelehele cha nini mkuu
Hata akiiingiza milioni kwa siku hawezi nitetemesha, hata yeye anafahamu kwamba nauliza kwa watu ili nijue na nimemfahamisha kuwa tauliza kwa watu wewe unapoyoka tujambazi gani akae na mtu kama wewe mkuu majambazi hawashobokei watu hovyo na kusema shughuli zao hata kama anataka kukudanganya, hukai na jambazi sema tu unahisi kumjua jamaa yako kama ana hela kukuzidi au lahasha ,