Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bei nafuu kiasi gani??Kuna mtu namchukulia tiketi leo ili aondoke na bus la alfajiri. With much thanks in advance
Kuna mtu namchukulia tiketi leo ili aondoke na bus la alfajiri. With much thanks in advance
Karibu Mwanza mkuu, ila tumezoea Katarama, Ally's na Happy Nation ambazo gharama zake ni 65,000/= per seatKuna mtu namchukulia tiketi leo ili aondoke na bus la alfajiri. With much thanks in advance
Sishauri umchukulie la bei nafuu mkuu mwanza to dar ni mbali sana,ni safari inayochosha mno it's better apande luxury tu.. mi naonaga hizi safari ndefu huwa tunazibaka kwanza kusafiri kwa basi au gari lolote ni mtihani,yani safari inakuzodoa..!
Mkuu jipigepige walau umpunguzie machungu ya safari apande luxury.. hayo cheap anaweza kukawia hata kufika shida juu ya shida..[emoji23]
55k kachukue zuberi/kisesa ni luxury afu bei nzuri.Kuna mtu namchukulia tiketi leo ili aondoke na bus la alfajiri. With much thanks in advance
vipi Zanzibar hakuna majina ya watu[emoji23]Mabasi ya bara mengi ni majina ya watu [emoji3][emoji28]
Very interesting [emoji3166]
Utasikia Zuberi, Najimunisa, Ally’s, Zakaria, n.k.
Hayo mabasi makubwa yanini kwa ukubwa upi wa eneo...😅vipi Zanzibar hakuna majina ya watu[emoji23]
Lazima ushangae maana huko zanzibar bus utalionea wapi? Humalizi gia 8 unakutana na bahari55k kachukue zuberi/kisesa ni luxury afu bei nzuri.
Nakazia.Karibu Mwanza mkuu, ila tumezoea Katarama, Ally's na Happy Nation ambazo gharama zake ni 65,000/= per seat
Lazima ushangae maana huko zanzibar bus utalionea wapi? Humalizi gia 8 unakutana na bahari
55k kachukue zuberi/kisesa ni luxury afu bei nzuri.