This is what happening to me now.Ukipata mume wa hivo shukuru Mungu, na kama una kazi yako hilo jukumu Moja tena la kupendeza mwenyewe usaidiwe pia ? Dah, tuwaoneeni huruma watoto wa wanawake wenzetu jamani, sasa hiyo salary utakua unaifanyia nini [emoji849] kweli nimeamini ndani ya nyumba mume akiwa na 200,000/= na mke ana 800,000/= jumla mna 200,000/= and not 1m[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Jihudumie uhudumiwe.Mimi ni mke wa mtu ninahitaji kuhudumiwa
Wow! hongera kwa kupata wife material, Mungu akutunzieeIla mimi nimepata mke wa ajabu sana.
Hajui kupendeza mdada wa watu na mshahara akipata tunaupangia budget wote.
Anachokitaka kutoka kwangu ni uwazi na uaminifu tu.
Nampenda sana mke kwakua yupo tofauti na nina amini hata nikianza mimi kufafiki, familia itakua ipo kwenye mikono salama
Sent using Jamii Forums mobile app
Lemme take care of u Cresida [emoji39][emoji39]Ninalipa kodi mwenyewe, ninasomesha mwenyewe, ninatafuta milo na ya mtoto mwenyewe.
Mavazi yetu, bills zote unazozijua.
Lakini ninasahau kipengele cha urembo.
Nafikiri sababu ya majukumu kubana na uchumi.
Halafu huyu mwenzangu kwake yeye ni vice versa na analalamika.
Life is not fair aiseeee
Sent using Jamii Forums mobile app
acha kazi baki nyumbani ili ajue kabisa upo kwa ajiri yake maana huo mshahara wako hauna faida kwa family yenuMajukumu yote ya ndani anayafanya hata kunyoa watoto wa kiume nywele J’mosi ni jukumu lake. Ananunua chakula, umeme, ada za shule, nguo za watoto.
Kusuka nywele zangu amesema ni jukumu langu na pia kupendeza. Hataki nimuaibishe tukipata mialiko niwe nadhifu. Haulizi mshahara wangu ni kiasi gani wala haombi pesa yangu.
Nimfundishe vipi kutunza mke?
Ndo mana niko single kwasabu hamridhiki...mngekuwa mnaridhika ningeshaoa mbonaKama una uwezo wa kupata pesa si ujipendezeshe, napo mpaka mmeo akupe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo mana niko single kwasabu hamridhiki...mngekuwa mnaridhika ningeshaoa mbonaHuyo wako kidogo ana jielewa mama hujui kubana matumizi humo unaweza kupata pesa ya matumizi yako.
Afu nikichepuka na Sakayo unalalamikaMajukumu yote ya ndani anayafanya hata kunyoa watoto wa kiume nywele J’mosi ni jukumu lake. Ananunua chakula, umeme, ada za shule, nguo za watoto.
Kusuka nywele zangu amesema ni jukumu langu na pia kupendeza. Hataki nimuaibishe tukipata mialiko niwe nadhifu. Haulizi mshahara wangu ni kiasi gani wala haombi pesa yangu.
Nimfundishe vipi kutunza mke?
Kumbe mnajuana ila sjui kama mnachanana live kama sie men tunavochanana.Yaani.Kwanza Anabana wapi, hela yote anayopata ni kwa ajili yake.. so sad(some women)
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi bado nakupenda...Ungekuwa hauna mshahara angekuwa anakuhudumia pia tena sana tu, sema labda ubinafsi kwako umezidi ndo maana anaona aache uhangaike na urembo wako kwasababu unaweza kujihudumia, kama hauna ubinafsi saaaana kwenye pesa ako mwambie na wewe unatamani kuhudumiwa naye vile unafeel ukipendeza kwa sababu yake yeye!
Afu ukishapewa biskuti wewe unatoa nini?Unajua mwanamke anaweza kuwa na pesa ya kutosha lakini akatamani biscuits ya efu 3 kutoka kwa mume/mpenzi wake
Wanaume tunaisoma namba kweliNinalipa kodi mwenyewe, ninasomesha mwenyewe, ninatafuta milo na ya mtoto mwenyewe.
Mavazi yetu, bills zote unazozijua.
Lakini ninasahau kipengele cha urembo.
Nafikiri sababu ya majukumu kubana na uchumi.
Halafu huyu mwenzangu kwake yeye ni vice versa na analalamika.
Life is not fair aiseeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi sjaacha kukupendaMimi bado nakupenda...
Unafikiri ntatoa nn zaidi? I know u knowAfu ukishapewa biskuti wewe unatoa nini?
I know lakini ukiniambia mwenyewe itapendeza zaidiUnafikiri ntatoa nn zaidi? I know u know
Ukija utajionea mwenyewe, kwanza umenichukulia biscuits?I know lakini ukiniambia mwenyewe itapendeza zaidi