Anafanya majukumu yote ya ndani lakini si pesa ya urembo wangu

Anafanya majukumu yote ya ndani lakini si pesa ya urembo wangu

Wewe Sky Eclat unajua kutoa watu mapovu[emoji3][emoji3].

Yani watu baadhi hadi wanalaani wanawake wote duniani wakati wachakarikaji wapo tele.

Sky karibu tena kijiweni kwa mastory ya town watu walishasahau mapigo yako[emoji41][emoji41][emoji41]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
duu anafanya yote hayo bado unalalama
tena umshukuru sana huyo man anajitambua
unajukumu moja tu tena lakuupendezesha mwili wako bado unalialia
mshahara wako unapeleka wapi
hebu muoneehuruma naumsaidie baadhi ya majukumu
watu mnapata bahati bado mnazichezea


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo wewe mshahara wako huwa unaupeleka mbinguni ?
 
Best zawadi ya mme ni nzuri hata ukikutana na mashosti unaulizwa umenunua sh.ngapi? Jibu sasa baba chanja kaninunulia basi najua hata bei shostingo mie najua kuvaa wakikusifia kichwa hichooo[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3]ofcourse kuna raha yake kuletewa hizo zawadi,sometimes si mbaya,but isiwe kama jukumu lake asipoleta unanuna na huku bills zote zingine anaclear jamani( meals,school fees nk) na sisi tuwe tunawasuprise akina baba chanja kwa vizawadi pia, wanafurahi haoo Mara leo umeona saa ya laki 3 umemchukulia, Raba kali ya 100,000 hivi, mdada salary inaruhusu(Note:hizo gharama mi siwezi kununua lkn[emoji3][emoji3]).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi wa kwanza, nimekutana na wanawake wanaojielewa, safi sana, vimatumizi vidogo unamaliza mwenyewe. Thamani yako Kwa mwanaume inakuwa, unatolewa kwenye level ya moja ya fenicha za nyumba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mwanamke ndani mama wa familia una kakipato ni vizuri mwanaume akaona nafasi yako sio adi matunda ya juice mume anunue, anapenda sjui roast maini yeye tuuu kila sku aje amebebelea, umekutana na vinguo vya watoto usichukue kisa mwanaume yupo khaaa! Inaboa mwanamke unakosa ladha kwa mume. BTW bado natafuta mimi 😥 😥 😥 😭😭😭😭
 
Majukumu yote ya ndani anayafanya hata kunyoa watoto wa kiume nywele J’mosi ni jukumu lake. Ananunua chakula, umeme, ada za shule, nguo za watoto.

Kusuka nywele zangu amesema ni jukumu langu na pia kupendeza. Hataki nimuaibishe tukipata mialiko niwe nadhifu. Haulizi mshahara wangu ni kiasi gani wala haombi pesa yangu.


nimfundishe vipi kutunza mke?
Kichwa kisicho na ak*l* ni mzigo kwa mwili.

Nduki🏃🏽🏃🏽🏃🏽🏃🏽
 
Kama mwanamke ndani mama wa familia una kakipato ni vizuri mwanaume akaona nafasi yako sio adi matunda ya juice mume anunue, anapenda sjui roast maini yeye tuuu kila sku aje amebebelea, umekutana na vinguo vya watoto usichukue kisa mwanaume yupo khaaa! Inaboa mwanamke unakosa ladha kwa mume. BTW bado natafuta mimi 😥 😥 😥 😭😭😭😭
I am here for you madam😊
 
[emoji3][emoji3]ofcourse kuna raha yake kuletewa hizo zawadi,sometimes si mbaya,but isiwe kama jukumu lake asipoleta unanuna na huku bills zote zingine anaclear jamani( meals,school fees nk) na sisi tuwe tunawasuprise akina baba chanja kwa vizawadi pia, wanafurahi haoo Mara leo umeona saa ya laki 3 umemchukulia, Raba kali ya 100,000 hivi, mdada salary inaruhusu(Note:hizo gharama mi siwezi kununua lkn[emoji3][emoji3]).

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama pesa inaruhusu unaeza fanya nunua mara mbili kwa miezi 6 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom