Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 6,350
- 11,727
Ni kweli kabisaYawezekana mume pia anatamani kufeel mchango wa mke kwenye majukumu ya familia
At some point kun aupande wa pili wa shilingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisaYawezekana mume pia anatamani kufeel mchango wa mke kwenye majukumu ya familia
At some point kun aupande wa pili wa shilingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Na nyumba nilikuta amesha jengaWewe utakua mchepuko sio mke maana michepuko ndo inafanyaga kukomoa maana inajua hainafuture na hao watu.Any time inaweza kuachwa so inaangaliaga leo Na siyo kesho.
Sent using Jamii Forums mobile app
God is watching you[emoji849]Mimi ni mke wa mtu ninahitaji kuhudumiwa
Mimi ni mke wa mtu ninahitaji kuhudumiwa
Unataka akutunzeje tena shoga yangu??!! Hata mshahara wako kakuachia ujue unautumiaje mwenyewe kama kugharamia urembo wako nk., kwako hiyo bado haitoshi!! Ama kweli penye miti hakuna wajenzi na daima shukurani za punda ni mateke.....Majukumu yote ya ndani anayafanya hata kunyoa watoto wa kiume nywele J’mosi ni jukumu lake. Ananunua chakula, umeme, ada za shule, nguo za watoto.
Kusuka nywele zangu amesema ni jukumu langu na pia kupendeza. Hataki nimuaibishe tukipata mialiko niwe nadhifu. Haulizi mshahara wangu ni kiasi gani wala haombi pesa yangu.
nimfundishe vipi kutunza mke?
Sky Eclat anajitambua kaamua tu kutufikirisha😀"Mwanamke mpumbavu" ndio huyu tulie ambiwa kwenye vitabu vya dini
Sent using Jamii Forums mobile app
Haswaaa umemshauri vzr,wanawake wengine bhana kwanza mpaka hapo huna mchango wowote kwny familia zaidi ya kuwa mzigo japo una kazi ,Majukumu ya mke kama kutunza familia,malezi hause girl,kupika na kufua house girl ,ww kwenda kazini tuu na hela yako haijulikani unaipeleka wapi bado unadai lips stick sasa kuna haja kweli ya kuoa mwanamke mwenye kazi,si bora kuoa asiye na kazi ili alee familia tuuDuuh! Kwa maoni yangu Hapo mwanamke unakua huna shukrani.
Yaani una kipato alafu matumizi ya home yote kutoka kwa mwanaume ila bado unataka akupe na hela ya lipstick?! [emoji119]
I sayy, amka kune huo usingizi wa ubinafsi na umshukuru Mungu, otherwise unahitaji maombi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh! Kwa maoni yangu Hapo mwanamke unakua huna shukrani.
Yaani una kipato alafu matumizi ya home yote kutoka kwa mwanaume ila bado unataka akupe na hela ya lipstick?! [emoji119]
I sayy, amka kune huo usingizi wa ubinafsi na umshukuru Mungu, otherwise unahitaji maombi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake wengi ni wabinfsi sana,Badilikeni.Ukipata mume wa hivo shukuru Mungu, na kama una kazi yako hilo jukumu Moja tena la kupendeza mwenyewe usaidiwe pia ? Dah, tuwaoneeni huruma watoto wa wanawake wenzetu jamani, sasa hiyo salary utakua unaifanyia nini [emoji849] kweli nimeamini ndani ya nyumba mume akiwa na 200,000/= na mke ana 800,000/= jumla mna 200,000/= and not 1m[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukipata mume wa hivo shukuru Mungu, na kama una kazi yako hilo jukumu Moja tena la kupendeza mwenyewe usaidiwe pia ? Dah, tuwaoneeni huruma watoto wa wanawake wenzetu jamani, sasa hiyo salary utakua unaifanyia nini [emoji849] kweli nimeamini ndani ya nyumba mume akiwa na 200,000/= na mke ana 800,000/= jumla mna 200,000/= and not 1m[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungekuwa hauna mshahara angekuwa anakuhudumia pia tena sana tu, sema labda ubinafsi kwako umezidi ndo maana anaona aache uhangaike na urembo wako kwasababu unaweza kujihudumia, kama hauna ubinafsi saaaana kwenye pesa ako mwambie na wewe unatamani kuhudumiwa naye vile unafeel ukipendeza kwa sababu yake yeye!
Kumbe nawewe umeliona eeee, wengi wanajihudumia kwa comments hizi, mke anajihudumia hata kama nyingine zinapatikana kimafya mme hawezi jua hiloInaonekana wamama wengi mnajihudumia wenyewe na familia zenu eeeh?
Mbona mie naona haya kawaida na mtaani majirani zangu wengi wanaume wapo.
Mwenyewe nliwaza Bora angekua hana hyo kazi ingeeleweka kidogo.Haswaaa umemshauri vzr,wanawake wengine bhana kwanza mpaka hapo huna mchango wowote kwny familia zaidi ya kuwa mzigo japo una kazi ,Majukumu ya mke kama kutunza familia,malezi hause girl,kupika na kufua house girl ,ww kwenda kazini tuu na hela yako haijulikani unaipeleka wapi bado unadai lips stick sasa kuna haja kweli ya kuoa mwanamke mwenye kazi,si bora kuoa asiye na kazi ili alee familia tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu hawajui tu zawadi ya mpenzi ni nzuri sana, ukiletewa hata ice cream ya ukwaju basi roho kwangu kwakweli mie aninunulie tu na kunipamba tuuAkili ya kimahaba haijawai kukua kwa mwanamke! Unaeza nijengea na nisione km kuna jambo umenifanyia, ila kitendo cha kuninunulia pichu nitakuwek moyoni adi kwene utumbo mwembamba adi naingia kaburini
Anafanya mwenyewe ananunua nyama mpaka ndimu na pilipili
Atafute mwanaume anayefanyia saluni,wale jamaa wakikongo wale anakua anampa papuchi kwa kubadirishana na kusuka au kuset nyweleDuuh! Kwa maoni yangu Hapo mwanamke unakua huna shukrani.
Yaani una kipato alafu matumizi ya home yote kutoka kwa mwanaume ila bado unataka akupe na hela ya lipstick?! [emoji119]
I sayy, amka kune huo usingizi wa ubinafsi na umshukuru Mungu, otherwise unahitaji maombi.
Sent using Jamii Forums mobile app