Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

Labda umpate ambae hajawahi kabisa kuzaa ila kwa ambae amewahi sio rahisi
Kuna bond flani hivi mama anaipata akishajifungua mwanae,na hukua zaidi kipindi cha mwaka 1 anapomnyonyesha!
Sasa wakati ile bond iko very strong wewe ndo unataka uifute gafla,that is psychological trauma na ml 25 haiwezi saidia hapo!
 
Haya Encubators mjiandae, hesabu ni kama ifuatavyo.

M25 kubaliano
M1 kila mwezi kwa muda wa mimba -M9
20k times miezi 9= kila mwezi laki 6, kwa miezi 9 inakuwa kama 5.4 M

Kunyonyesha 50k per day, mwaka1 so ni 50k *30*12 = inakuwa kama M18

TOTAL PAYMENT = 57,400,000/=


Hahaha halooo
 
Ile feeling unayoipata kwa kumtizama mtoto na vimacho vyake hasa wakati wa breast feeding, moment za mtoto ukimbusu , mtoto akiwa anakuchekea tabasamu lisilo feki, ayayayaya afu after a year, you let her go huku sheria ikikubana for only 25m hapana kwa kweli ingawaje pesa tunazitaka
wachache watakaofikilia hilo
 
Na biashara tunafungua
Nimewaza mume atavyokua anamshawishi mke , nenda zile milion za mwezi tunaeka kwenye biashara😂😂😂😂 hiz 25/tunajenga, afu 20 za chakula utakula kumi kwa siku na mimi nakula kumi, ntaamia karibu na utakapokuepo ili niwe nakuona ona na ntakua kama kaka, na mimba lazima impende kaka yako ( mume) 😂😂😂
 
Back
Top Bottom