DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Yes sureMtaani wanawake kibao wanabeba ujauzito kwa chips mayai na wanazaa na mtoto wanamtupa jalalani ama chooni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes sureMtaani wanawake kibao wanabeba ujauzito kwa chips mayai na wanazaa na mtoto wanamtupa jalalani ama chooni
Nimemkote haya land mbona? Mkuu au umesoma vibaya?Mimi ndio nimeleta uzi dada, ila sijaandika comment uliyo quote.
Mimi binafsi sina tabia ya kuandika matusi.
Acha kukatisha watu tamaa wakati dada zetu wanapiga Abortion kila siku sasa kipi Bora hapo kugain mil 25 na kuendelea kutoa Mimba ?
Wewe itakuwa hujui Maisha ya watz Mtu anatoa Mimba kila mwezi ndo aje akatae mil 57Hivi na akili zako ukafanye ivf ya kumbebea mtu mimba ...I mean kuleta kiumbe duniani (with all the risks) na ukikabidhi kwa hela ya bata la mwezi mmoja?
Ukiwa tayari kuna makubaliano kwaiyo na wewe unaweza ukawasilisha mapendekezo yako hautashikiwa bunduki kusign mkatabaHakuna hata life insurance...
Na je mtoto akifa kabla ya mkataba kuisha inakuwaje?
Kwa wasiojielewa, nina hakika ukiwa na akili kdg huwezi.mtupa mtoto ukishamshika mikononi, the happiness s/he brings acha kabisa ahata kama ulipewa mimba na kenge lazima umsahau huyo kenge afu unafocus kwa mtotoMtaani wanawake kibao wanabeba ujauzito kwa chips mayai na wanazaa na mtoto wanamtupa jalalani ama chooni
Asante sana kwa swali zuri,Anyway, malipo ni kawaida
Why mwaka mzima, najua ni mimba tu akizaa mkataba umeisha unachukua mtoto wako
Asante ndugu,Nimemkote haya land mbona? Mkuu au umesoma vibaya?
Chukua ujazie wallet 😅Haya Encubators mjiandae, hesabu ni kama ifuatavyo.
M25 kubaliano
M1 kila mwezi kwa muda wa mimba -M9
20k times miezi 9= kila mwezi laki 6, kwa miezi 9 inakuwa kama 5.4 M
Kunyonyesha 50k per day, mwaka1 so ni 50k *30*12 = inakuwa kama M18
TOTAL PAYMENT = 57,400,000/=
Hahaha halooo
Hapo pa kulea mtoto mwaka then you let her go kitakua kipindi kigumu kwa mbeba mimba, ni ngumu kuvunja ile bondAnyway, malipo ni kawaida
Why mwaka mzima, najua ni mimba tu akizaa mkataba umeisha unachukua mtoto wako
Ilitokea pale survey karibu na mlalakua...Kwa wasiojielewa, nina hakika ukiwa na akili kdg huwezi.mtupa mtoto ukishamshika mikononi, the happiness s/he brings acha kabisa ahata kama ulipewa mimba na kenge lazima umsahau huyo kenge afu unafocus kwa mtoto
Labda mbegu zake ni dhaifu!Kiukweli kabisa kama unahitaji mtoto ama watoto bongo ni rahisi sana kupata wa kukuzalia.. bila hata kutumia hela zote hizo.
Panga appartment kali, kodi garii nzuri hata ikiwa vitz ila iwe mpya pya..
Then tongoza kawaida tu kwa gia ya kimahusiano..
Lazima upate wa kukubebea mimba