Kwa hali za watanzania walio wengi kiasi kilichotangazwa ni kikubwa tu kumbuka hapo ukijumlisha na bonus zingine zote inakuja m 50+.. mabinti wanafanya abortion kila kukicha, wanatupa vichanga jalalani, wanatekeleza watoto vijijini uko kwa bibi zao wao wapo mjini wanakula ujana, mabinti wadogo tu wanafumuliwa malinda kwa kupewa 10k tu kipi bora, uzae na umtoe mtoto wako kwa iyo pesa au ufumuliwe malinda kwa ujira wa 10k?, nina mshkaji wangu mzazi mwenzake kamwachia mtoto tangu akiwa na miaka miwili mpaka sasa ana miaka kumi demu hajawahi hata kupiga simu kuulizia hali ya mtoto hivi wanawake kama hao watakataa iyo milioni 50+.