Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

Hivi na akili zako ukafanye ivf ya kumbebea mtu mimba ...I mean kuleta kiumbe duniani (with all the risks) na ukikabidhi kwa hela ya bata la mwezi mmoja?
Hata Kwa billions noooooo Kwa Mimi,mtoto ni mtoto dear
 
Nimewaza mume atavyokua anamshawishi mke , nenda zile milion za mwezi tunaeka kwenye biashara😂😂😂😂 hiz 25/tunajenga, afu 20 za chakula utakula kumi kwa siku na mimi nakula kumi, ntaamia karibu na utakapokuepo ili niwe nakuona ona na ntakua kama kaka, na mimba lazima impende kaka yako ( mume) 😂😂😂
Hahahaha
 
Haya Encubators mjiandae, hesabu ni kama ifuatavyo.

M25 kubaliano
M1 kila mwezi kwa muda wa mimba -M9
20k times miezi 9= kila mwezi laki 6, kwa miezi 9 inakuwa kama 5.4 M

Kunyonyesha 50k per day, mwaka1 so ni 50k *30*12 = inakuwa kama M18

TOTAL PAYMENT = 57,400,000/=


Hahaha halooo
Kuna mtu anapigwa hapa soon
 
Unapowaza kumaliza kibada, ukumbuke kuwa mtoto utakaye mnyonyesha baada ya mwaka moja unatakiwa umkabidhi baba aliyekuwa anakutunza sina uhakika ndiye mwenye Mbegu, halafu huruhusiwi kabisa kuja kumwona mtoto....maana yake ameshatolewa kafara mahali...
Kwenye tangazo nimeeleza kwamba makubaliano yatasainiwa mahakamani na ustawi wa jamii ili kuepusha mtazamo wa aina hiyo
 
Back
Top Bottom