Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

Wanawake wenye vizazi active fursa ni kwenu.
Msije mkafa bila kushika 25M cash mkononi.
Ila mleta mada kweli mama mjamzito ataachwa salama bila kuguswa na lile joto zuri la papuchi?
Funguka aisee mabinti wajue moja kusuka au kunyoa.!!!
Mkataba hauruhusu hilo jambo ndugu
 
Unapowaza kumaliza kibada, ukumbuke kuwa mtoto utakaye mnyonyesha baada ya mwaka moja unatakiwa umkabidhi baba aliyekuwa anakutunza sina uhakika ndiye mwenye Mbegu, halafu huruhusiwi kabisa kuja kumwona mtoto....maana yake ameshatolewa kafara mahali...
Relax
 
Mtaani wanawake kibao wanabeba ujauzito kwa chips mayai na wanazaa na mtoto wanamtupa jalalani ama chooni
Wacha mawazo mgando. Hiyo ni kama "parking for own risk"
Huko huoni masharti kibao. Halafu amezingatia uzima tu. Hajui kuna changamoto on the way. Mambo mengi muhimu hayamo kwenye mkataba. Yaani ame assume mambo yote Ni smooth.
 
Wacha mawazo mgando. Hiyo ni kama "parking for own risk"
Huko huoni masharti kibao. Halafu amezingatia uzima tu. Hajui kuna changamoto on the way. Mambo mengi muhimu hayamo kwenye mkataba. Yaani ame assume mambo yote Ni smooth.
Mambo yapi muhimu hayapo kwenye tangazo?
Kama jambo la kifo sijaweka kwenye tangazo sababu kifo anapanga muumba hivyo kinaweza kuwepo au kisiwepo kwa aina yeyote ya maisha.
Ila kama una mawazo na maoni yeyote usisite kunishauri, nitasoma kila comment katika hili tangazo na kutolea ufafanuzi ili kufanya kitu bora zaidi.
 
Ila nawaza huo mkataba utazingatia na risks zingine zitakazoambatana na mimba? Au ndio unahisi kila kitu kitakwenda sawa tu!!!
Kisheria mkataba unapewa uupitie alafu ukiona kuna vitu vya muhimu vinakosekana kwa upande wako na wewe unatoa mapendekezo yako mkikubaliana mkataba unachapishwa tena kama mlivyokubaliana mnasainiana mnafanya biashara
 
Back
Top Bottom