Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi hayo mayai yakitotoleshwa ukiwa na rangi nyeusi carrier mtoto atakua mweusi , genetics connection ni ipo hapoNakuja pm soon mkuu,ngoja nikajichubue😆..maana kuupata weupe si gharama sana
Kwendraaaa 25mil ni kidogo, mimi bado niko fresh sijazaa huwezi nipanua tumbo kw pesa ndogo hivyo.IVF kirefu chake ni In Vitro Fertilization.
IVF ni jambo la kurutubisha kwa kuunganisha mbegu za uzazi za mwanamme na yai la uzazi la mwanamke maabara, baada ya hapo zoezi linalofatia ni kupandikiza ujauzito kwa mwanamke kwa njia ya sindano kisha ujauzito utaendelea kukua kama kawaida kwa mda wa miezi tisa kisha mwanamke atajifungua kawaida.
IVF haihusishi kukutana kimwili kati ya mwanamke na mwanaume bali mwanaume anatoa mbegu kwa kujichua au punyeto na mwanamke anatolewa yai lililopevuka maabara na wataalamu baada ya hapo ndio ujauzito unapandikizwa kwa mwanamke,
Ni njia safi na salama na haihusishi operation kubwa na haina hatari yeyote kwa mwanamke.
Sasa anahitajika mwanamke au msichana katika zoezi hilo,
MALIPO
Moja malipo ni milioni 25 ambayo yatasainiwa kisheria mahakamani na ustawi wa jamii.
Pili kila mwezi atalipwa milioni moja kama malipo ya motisha kwa mda wa miezi tisa ya ujauzito, malipo hayo ni nje ya ile milioni 25.
Tatu kila siku atalipwa elfu ishirini kama gharama ya chakula kulea mimba kwa mda wa miezi tisa ya ujauzito.
Nne atalipwa shilingi elfu hamsini kila siku kama gharama ya chakula baada ya kujifungua kwa mda wa mwaka mmoja kipindi ananyonyesha.
MASHARTI
Moja ujauzito utalelewa sehemu aliyopo baba wa watoto.
Mbili hauruhusiwi kisheria kutangaza kwa mtu yeyote kama una ujauzito labda wazazi wako tu, na wazazi wakiambiwa nao wataelimisha kuhusu hili sharti.
Tatu baada ya kujifungua, mtoto/watoto wakifikisha mwaka mmoja utawakabidhi kwa baba yao.
Nne baada ya kukabidhi mtoto/watoto hautoruhusiwa kisheria na kibinadam wewe ndugu zako au rafiki zako kuwaona mtoto/watoto kwa namna yeyote kipindi chote cha maisha yenu hapa duniani.
Tano hautoruhusiwa kuwa na mahusiano ya aina yoyote na baba wa watoto kabla na baada ya kujifungua mtoto/watoto.
Sita awe tayari kulea ujauzito akiwa jijini dar es salaam.
SIFA ZA MWANAMKE/MSICHANA ANAEHITAJIKA.
Moja awe na afya nzuri, asiwe na magonjwa ya akili, pili asiwe na magonjwa ya zinaa ikiwemo ukimwi.
Pili awe mtanzania kutoka kabila na dini yeyote.
Tatu awe mrefu, mrefu sana atapewa upendeleo.
Nne awe mwembamba, akiwa mnene isiwe unene mkubwa sana.
Tano awe na umri wa kati ya miaka 25 hadi 35.
Sita awe mweupe au maji ya kunde asiwe mweusi sana.
Asanteni.
Pia kwa mwana Jamii Forum mwenye ndugu, rafiki au jirani mwenye hizo sifa naomba mnisaidie kusambaza hili tangazo.
Asante tena.
Vigezo na masharti kuzingatiwa
Watu na njaa zao watafurika hataree wasijue hyo hela ni ya kawaidaNajua pm ya mtoa maada itajaa leo hii
Hakuna wa kumfata piem hata 10 hawezi zipata. Hakuna wa kukodisha tumbo lake kwa muda.Mleta uzi umezidiwa PM ? nitumie picha zao nikusaidie kuchuja warembo ili iweze kufanikisha suala lako 😂
Bora akili kubwa umeonaKwendraaaa 25mil ni kidogo, mimi bado niko fresh sijazaa huwezi nipanua tumbo kw pesa ndogo hivyo.
Ahaaaaaa ati mtoto akizaliwa ndo mwisho kumuona baada ya mwaka? Hakuna mzazi wa vile.
Ahaaaaaa ati kipindi cha mimba awe anaishi kwa baba watoto? Ahaa watafanya tu labda baba huyo kama hana nguvu za kiume.wendo ndo sababu anataka kupandikiza.
Ni kwakuwa ni chai hakuna mbongo wa kukubali kuchukuliwa mtoto.
All the the best dadazi.
Asante kwa swali zuri,Umenikumbusha tamthilia ya kifikipino, 'her mothers daugheter'
Huyo mdada akizaa mapacha inakuwaje?
Kashaeleza sababuIlitakiwa mtoto akizaliwa tu achukuliwe sasa we unaweka kwa mmoja wakae pamoja
Hayo mengine atajijua,si nitakuwa nimepata mtoto wangu akiniziria😂😂😇Hivi hayo mayai yakitotoleshwa ukiwa na rangi nyeusi carrier mtoto atakua mweusi , genetics connection ni ipo hapo
HatarIlitokea pale survey karibu na mlalakua...
Bar maid alimzalia boss wake kwakuwa hakuwa na uwezo wa kuzaa... (alimwambia alale na mwanaume flani Ambebee mimba alipwe halafu mtoto akabidhi akishazaliwa.) baada ya kuzaa akaambiwa asijihusishe na mtoto...akalipwa chake akasepa. Yule mama akalea mtoto ( ambae sasa ni mtu mzima) ila mama mzazi wa yule mtoto alikuwa anajulikana. Kifupi yule mama (ambaye ndo aliadoptiwa) hakuwa na mapenzi na yule bibi hata kidogooo.
Bibi (ambae alitoa dau la kununua mtoto) alipofariki yule bar maid ambaye kwa sasa ni mbibi anaishi kwenye nyumba ya aliyenunua mtoto kwa raha zake anafurahia mali za mwanae.
Waliokulia au kuishi survey wanajua hiyo story ya bi mkoroshoni.
Na mimba umeilea bila stressHayo mengine atajijua,si nitakuwa nimepata mtoto wangu akiniziria😂😂😇
Kipenz,Mungu anipe nini😇Na mimba umeilea bila stress
Wanadhan mimba mchezoHakuna wa kumfata piem hata 10 hawezi zipata. Hakuna wa kukodisha tumbo lake kwa muda.
Nakuona unavomwombea baba mtoto afe🤣🤣🤣🤣Kipenz,Mungu anipe nini😇
kwaiyo mwenyewe 25m umeona ni hela kuubwa dah.IVF kirefu chake ni In Vitro Fertilization.
IVF ni jambo la kurutubisha kwa kuunganisha mbegu za uzazi za mwanamme na yai la uzazi la mwanamke maabara, baada ya hapo zoezi linalofatia ni kupandikiza ujauzito kwa mwanamke kwa njia ya sindano kisha ujauzito utaendelea kukua kama kawaida kwa mda wa miezi tisa kisha mwanamke atajifungua kawaida.
IVF haihusishi kukutana kimwili kati ya mwanamke na mwanaume bali mwanaume anatoa mbegu kwa kujichua au punyeto na mwanamke anatolewa yai lililopevuka maabara na wataalamu baada ya hapo ndio ujauzito unapandikizwa kwa mwanamke,
Ni njia safi na salama na haihusishi operation kubwa na haina hatari yeyote kwa mwanamke.
Sasa anahitajika mwanamke au msichana katika zoezi hilo,
MALIPO
Moja malipo ni milioni 25 ambayo yatasainiwa kisheria mahakamani na ustawi wa jamii.
Pili kila mwezi atalipwa milioni moja kama malipo ya motisha kwa mda wa miezi tisa ya ujauzito, malipo hayo ni nje ya ile milioni 25.
Tatu kila siku atalipwa elfu ishirini kama gharama ya chakula kulea mimba kwa mda wa miezi tisa ya ujauzito.
Nne atalipwa shilingi elfu hamsini kila siku kama gharama ya chakula baada ya kujifungua kwa mda wa mwaka mmoja kipindi ananyonyesha.
MASHARTI
Moja ujauzito utalelewa sehemu aliyopo baba wa watoto.
Mbili hauruhusiwi kisheria kutangaza kwa mtu yeyote kama una ujauzito labda wazazi wako tu, na wazazi wakiambiwa nao wataelimisha kuhusu hili sharti.
Tatu baada ya kujifungua, mtoto/watoto wakifikisha mwaka mmoja utawakabidhi kwa baba yao.
Nne baada ya kukabidhi mtoto/watoto hautoruhusiwa kisheria na kibinadam wewe ndugu zako au rafiki zako kuwaona mtoto/watoto kwa namna yeyote kipindi chote cha maisha yenu hapa duniani.
Tano hautoruhusiwa kuwa na mahusiano ya aina yoyote na baba wa watoto kabla na baada ya kujifungua mtoto/watoto.
Sita awe tayari kulea ujauzito akiwa jijini dar es salaam.
SIFA ZA MWANAMKE/MSICHANA ANAEHITAJIKA.
Moja awe na afya nzuri, asiwe na magonjwa ya akili, pili asiwe na magonjwa ya zinaa ikiwemo ukimwi.
Pili awe mtanzania kutoka kabila na dini yeyote.
Tatu awe mrefu, mrefu sana atapewa upendeleo.
Nne awe mwembamba, akiwa mnene isiwe unene mkubwa sana.
Tano awe na umri wa kati ya miaka 25 hadi 35.
Sita awe mweupe au maji ya kunde asiwe mweusi sana.
Asanteni.
Pia kwa mwana Jamii Forum mwenye ndugu, rafiki au jirani mwenye hizo sifa naomba mnisaidie kusambaza hili tangazo.
Asante tena.
Vigezo na masharti kuzingatiwa
Seriously?😮Hakuna wa kumfata piem hata 10 hawezi zipata. Hakuna wa kukodisha tumbo lake kwa muda.
Kwa hali za watanzania walio wengi kiasi kilichotangazwa ni kikubwa tu kumbuka hapo ukijumlisha na bonus zingine zote inakuja m 50+.. mabinti wanafanya abortion kila kukicha, wanatupa vichanga jalalani, wanatekeleza watoto vijijini uko kwa bibi zao wao wapo mjini wanakula ujana, mabinti wadogo tu wanafumuliwa malinda kwa kupewa 10k tu kipi bora, uzae na umtoe mtoto wako kwa iyo pesa au ufumuliwe malinda kwa ujira wa 10k?, nina mshkaji wangu mzazi mwenzake kamwachia mtoto tangu akiwa na miaka miwili mpaka sasa ana miaka kumi demu hajawahi hata kupiga simu kuulizia hali ya mtoto hivi wanawake kama hao watakataa iyo milioni 50+.Ingekuwa milioni 500 ningejilipua...
Ndugu jumla ni kama milioni 50, angalia tangazo vizurikwaiyo mwenyewe 25m umeona ni hela kuubwa dah.
ungekuwa una mtoto usingekuja kuandika utumbo wako huu
nalog out