Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

Waswahili acheni hayo mambo ya sijui bond,duniani kote iyo ni biashara inafanyika watu wanapiga pesa wanaendelea na maisha yao,ndo mana wanataka mwny akili timamu sio nyie wehu mliojitokeza umu kupinga hili swala
Nadhani kwenye familia yako lazima kuna mama, dada, shangazi, mama wakubwa na wadogo ambao sio wehu and they need the money too, so wapelekee tangazo wapate the 25m
 
That sweet love, pure love toka kwa mwanao..... 25 million ndogo sana🤣
 
Unadhani ni rahisi kubeba mimba miezi 9 kisha usijihusishe na mtoto?
Kwako huenda sio rahisi, usiwasemee watu ndgu.

Kuna dada alijifungua na akamnyonga mtoto wake ili akaendelee kujiuza(au hujaisikia hii habari). Vipi hujaisikia ile mama kaua watoto wake wawili kwa kuwanyonga?? Vipi hao walibeba miezi mingapi mkuu??
Sasa hao wawili watashindwa kuzaa na kupewa M25??
 
Ndomaana nikasema sharti lake la mwanamke asiwe na magonjwa ya akili linamkwambisha
You have to some psychopathic tendencies to do this business
 
Am next in line in this thing. 💀💀 I will do mine in few years to come . Mungu Asaidie tu nifike bei .
 
Watoto wa Elon sio wake???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…