baby zu
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 1,816
- 4,770
Nadhani kwenye familia yako lazima kuna mama, dada, shangazi, mama wakubwa na wadogo ambao sio wehu and they need the money too, so wapelekee tangazo wapate the 25mWaswahili acheni hayo mambo ya sijui bond,duniani kote iyo ni biashara inafanyika watu wanapiga pesa wanaendelea na maisha yao,ndo mana wanataka mwny akili timamu sio nyie wehu mliojitokeza umu kupinga hili swala