Anahitajika msichana/mwanamke kwa ajili ya IVF

Labda umpate ambae hajawahi kabisa kuzaa ila kwa ambae amewahi sio rahisi
Kuna bond flani hivi mama anaipata akishajifungua mwanae,na hukua zaidi kipindi cha mwaka 1 anapomnyonyesha!
Sasa wakati ile bond iko very strong wewe ndo unataka uifute gafla,that is psychological trauma na ml 25 haiwezi saidia hapo!
 
Haya Encubators mjiandae, hesabu ni kama ifuatavyo.

M25 kubaliano
M1 kila mwezi kwa muda wa mimba -M9
20k times miezi 9= kila mwezi laki 6, kwa miezi 9 inakuwa kama 5.4 M

Kunyonyesha 50k per day, mwaka1 so ni 50k *30*12 = inakuwa kama M18

TOTAL PAYMENT = 57,400,000/=


Hahaha halooo
 
wachache watakaofikilia hilo
 
Na biashara tunafungua
Nimewaza mume atavyokua anamshawishi mke , nenda zile milion za mwezi tunaeka kwenye biasharaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hiz 25/tunajenga, afu 20 za chakula utakula kumi kwa siku na mimi nakula kumi, ntaamia karibu na utakapokuepo ili niwe nakuona ona na ntakua kama kaka, na mimba lazima impende kaka yako ( mume) πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…