Anahitajika mwanaume aliyetayari kuwa mume

Noma sana!
 
Guys kama hamna sifa si mtulie, dada anahitaji mume amesema mfuate inbox mnakuja kutujazia jf bure tu
 
Miaka 40-50 halafu asiwe na mume.......hahahahaha...unatania aisee. Au unatafuta mgane? Alikuwa singo tu anakusubiri wewe eti??!!
 
Mtu analeta bandiko hapa jf la kutafuta mwenza anafuatwa pm hajibu text za wana,mtu kama huyo tumuweke kwenye kundi gan?
 
Pole sana kwa changamoto unayoipitia. Kwangu mimi, "Mume ni mwanaume mwenyeuwezo wa kumpenda mkewe na kuongoza familia yake".
Kwahiyo ww chakula cha ndoa kwako si muhimu kwa maana hio?
 
Changamoto Sana wanachoandika sicho wanachohitaji Wala kumanisha. In short they are looking for financial support nothing else
 
Changamoto Sana wanachoandika sicho wanachohitaji Wala kumanisha. In short they are looking for financial support nothing else
Sio kweli, kuna watu wapo serious sana na wanachokiandika, yes kuna baadhi they are looking 4 financial support lakini kuna wanawake wengine wana uwezo na hawana tamaa za pesa zenu, only thing wanachohitaji ni true love.
 
Una mishe gani hapo mjini?
Una namba ya Nida?(tako)
Nijibu fasta kuna dingi yangu mdogo ana umri wa miaka 50 na ana kazi nzuri ni mlinzi kwa wahindi hanaga mke wala demu tangu afiwe na mkewe mwaka 2015
 
Nataka mke, mm nina umri wa miaka 40 na mkristo

Sifa za mke.
Awe na umriwa miaka 30 awe bikra
By Mamlaka
Bikra ipi hapo ?
Maana kwa umri wa miaka 30 mwanamke umkute na bikra hata moja ni kitu hakiwezekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…