Anahitajika mwanaume aliyetayari kuwa mume

ok
 
Bila shaka upo Katika selection! Kila lakheri dear Mungu akupepo macho ya rohoni!
 
Huu utafiti wa behavioural traits in the contemporary dimensions ni burudani sana
 
Unamaanisha nini?
Inawezekana kuna namna nyingi za kupata mume au mke kwa hio natafakari baadhi ya hizo namna mfano kibinadamu zaidi, Kimungu zaidi, kimtazamo binafsi zaidi, kimtizama wa Mungu zaidi, na mengineyo kwa hio huwa naendelea kufanya utafiti hasa those wishes za vigezo on perspectives
 
Yote kati yote mwenza mwema atoka kwa Bwana(Mungu), haijalishi utakutana naye vipi au wapi bila msaada wa Mungu huwezi kumpata mwenza mwema. Vinginevyo utajilisha upepo tu na baada ya muda mfupi utajilaumu kwa maamuzi ya kuoa au kuolewa.
 
Sawia kbsa best wishes, vipi hujapunguza idadi ya watoto?
 
Kuna bigexo mnawela sijui hamjui au m ajua...mfano...kazi au asiwe na ndoa au shughuli ya kumuingizia kipato? Huyo Mwanaume do you think he is there waiting to provide tu....what are going to offer him in return? Mnakosea mno. Nowdays Men hatuhitaji stubborn woman Hasa kwenye demanding
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…