Anahitajika mwanaume aliyetayari kuwa mume

Kigezo cha awe anajishughulisha hakimaanishi kuwa mwanamke anawaza umtumie na ya kutolea bali ni kujiepusha na wanaume ambao ni marioo

Kigezo cha asiwe na ndoa, ni kuepusha kuingilia ndoa za watu.
 
Kigezo cha awe anajishughulisha hakimaanishi kuwa mwanamke anawaza umtumie na ya kutolea bali ni kujiepusha na wanaume ambao ni marioo

Kigezo cha asiwe na ndoa, ni kuepusha kuingilia ndoa za watu.
Nimependa sana utulivu wako hata ulipopewa majibu ya kebehi.
 
Kwa huo umri nimekidhi vigezo na nakuhitaji changamoto Nina tatizo la upungufu wa nguvu za chini upo tyr kunivumilia kama ndio njoo pm.
 
Nilichopenda kutoka kwenye Uzi wako ni kweli Nina uhitaji na imedhamilia na umekuja na ID yako ya zamani na umeonyesha ukomavu wa akili..

Siyo Hawa wengine wanaanzisha mada kama hizi halafu wanapotea kabisa hawajibu comment na hawapo tayari kubadirishana hata namba za Simu.

Wewe unajiamini na huna kasoro yoyote mengine ni mapungufu ya kibinadamu.

Karibu na Mungu akusaidie
 
Ubarikiwe🙏
 
Kwa huo umri nimekidhi vigezo na nakuhitaji changamoto Nina tatizo la upungufu wa nguvu za chini upo tyr kunivumilia kama ndio njoo pm.
Pole sana kwa changamoto unayopitia. Karibu
 
Huu ni uongo uliotukuka. Nyinyi wanawake wasomi hamna uwezo wa kuitumikia ndoa. Nyinyi ni wajeuri, wajuaji na mnaotaka kutawala wanaume. Ndio sio kwa ajili yenu nyinyi endeleeni na u superwomen wenu
Ni sahihi karibia 98% wana majigambo na hivi vitu
 
Shida Nina miaka 35 ila sifa zote ninazo kama vipi njoo PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…