Halafu nimegundua vijana wetu wa nchi hii wamejaa ushabiki maandazi ndio maana nyimbo za kiharakati hawana mpango Nazo kama Uganda au Kenya, huku manyimbo yasiyo maana kama Uno sijui viuno au baba lao ndio huwaambii kitu.Hii ndo Hiphop halisi sasa
Roma ameitendea haki kazi yake vizuri sana
Kizazi cha leo kina bahati mbaya kinakosa vijana wenye tungo za kufikirisha kama hizi,
Afadhali ROMA anasaidia kupunguza pengo
KWANI AMEUTOA AKIWA WAPI AMESHAENDA ULAYA NA FAMILIA YAKE AU??? Safi internet inasaidia kuanzia production mpaka streaming ila wanajimarket sijui hatima zao zitakuwaje?!Huyu ndiye Roma nimjuaye miye.Sema naye mjanja huu wimbo angeutoa wakati yuko Bongo saivi angekua mikononi mwa wasiojulikana.Naona kawapa 'dole la kati' walilosahau kulivunja.
'mnapiga bomu mochwari mnajisifu mmeua'
'nimemzaa mpare ila siwachukii wasukuma'
da mistari konzi sana kweli fasihi Roma kaitendea haki.
Halafu nimegundua vijana wetu wa nchi hii wamejaa ushabiki maandazi ndio maana nyimbo za kiharakati hawana mpango Nazo kama Uganda au Kenya, huku manyimbo yasiyo maana kama Uno sijui viuno au baba lao ndio huwaambii kitu.
ROMA IS THE VOICE OF THE VOICELESS kama kauapload akiwa abroad tunatengeneza NGURUMO, MANGE, Evarist Chahali TUNDU LISSU na SASA NI ROMA. DIASPORA to warn and criticize the system which denies cricticism, freedom of speech and free electionsHuyu ndiye Roma nimjuaye miye.Sema naye mjanja huu wimbo angeutoa wakati yuko Bongo saivi angekua mikononi mwa wasiojulikana.Naona kawapa 'dole la kati' walilosahau kulivunja.
'mnapiga bomu mochwari mnajisifu mmeua'
'nimemzaa mpare ila siwachukii wasukuma'
da mistari konzi sana kweli fasihi Roma kaitendea haki.
Wimbo wa hovyo wa mwaka. Hata haueleweki.
Uwekeni hapa huo mkwaju
Asubiri Noah nyeusi
Kwa kifupi wanaitwa BASATA.BARAZA LA SANAA LA TAIFA