mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Walikuja lambalamba kijijini kwetu 2001,piga manyanga mpaka msikitini wakatoa mapembe 2,walivyo wahuni walikuwa wanasali humo humo kabla hawajatoa[emoji23][emoji23][emoji23],hapa nikaanza kuhisi kekundu.
Ada yao ilikuwa wakifika kwako unawapa 1100,kisha unasubiri kudhaliliswa[emoji28],nilikuwa kijana mdogo kiasi kushtuka utapeli ule lakini walezi wangu walikataa kulipa 1100 wakisema kama vipi waingie humo ndani kama nia yao ni kutoa uchawi,wakakataa mpaka wapewe 1100[emoji23][emoji23]