Anakorogea uji wa vitumbua na mkono wa mtoto aliyekufa

Walikuja lambalamba kijijini kwetu 2001,piga manyanga mpaka msikitini wakatoa mapembe 2,walivyo wahuni walikuwa wanasali humo humo kabla hawajatoa[emoji23][emoji23][emoji23],hapa nikaanza kuhisi kekundu.

Ada yao ilikuwa wakifika kwako unawapa 1100,kisha unasubiri kudhaliliswa[emoji28],nilikuwa kijana mdogo kiasi kushtuka utapeli ule lakini walezi wangu walikataa kulipa 1100 wakisema kama vipi waingie humo ndani kama nia yao ni kutoa uchawi,wakakataa mpaka wapewe 1100[emoji23][emoji23]
 

Zamani ukiweza kuigiza Kwa vitisho vya Uchawi ulikuwa unaogopwa na kuheshimiwa.
Ni kama hawa manyaunyau wachungaji wa upako
 

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wanaweka pembe au vile vidude vya konokono alafu ndio wanaita Uchawi πŸ˜‚πŸ˜‚. Kuna Watu ni wajinga Sana.

Wanawapumbaza wakiwa wanaimba nyimbo zao huku wakihakikisha mme- concentrate, hapo wanachomeka pembe au Hirizi au namna yoyote inayoashiria Uchawi kulingana na fikra za Watu wa enzi zile.

Ilikuwa unalipia Pesa uaguliwe, au unakuta MTU anayekuchukia anaenda kuwahonga Pesa wakishirikiana na serikali za mitaa za Wakati huo. Kufikia hapo umekwisha!

Wakija wanapata preliminary Data za Watu wote wanaoshukiwa ni wachawi katika kijijini kwenu, kisha wanajifanya wanawatoa Uchawi πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tz bila utii wa sheria si ya zama hizi tu, ni tangu kitambo kumbe. WaTz roho mbaya sana!
 
Dah umenikumbusha enzi hizo!
 
Huku Pwani hiyo pesa ungechangiwa na watu ili mtolewe vitu muaibike.

Jamaa awakosi cha kutoa.

Kama ujatolewa kibuyu basi pembe la ng'ombe au hirizi.

Yani ujinga ujinga tu.
 
Jamaa alikuwa ni mtu wa mikwara hatari.
 
Ilishatokea lilipokuwa duka letu mjini hpa picha linaanza raia wanatutuhumu ushirikina, siwakachangishna wakamleta manyaunyau, raia ka ote.
Picha linaanza manyaunyau ana paka akaomba apewe unga na kisu raia hao dukani tupimie unga nikawajibu tu hatuwezi kutoa unga kwajili ya ushirikina, raia yoweee...... leo huku wanakazia Leo! lzma mnase tu ukaenda kutafutwa unga na kisu wakaleta unaambiwa acha manyaunyau apige mkwara wa hja mwisho akuteletea kiini macho kumng'ta pka shngoni na kuzuga kumnyonya damu mar ooh eti hpa pazito twendeni kwanza
 
Mengine ni uongo na mengine ni ukweli, waswahili wanasema lisemwalo lipo, nimefanya uchunguzi binafsi nimegundua kweli wapo ambao wanafanya biashara za vyakula, wanatumia uchawi wa kuweka vitu vichafu kwenye chakula, ili kuvuta wateja, hata sokoni nyama za buchani nyingi si halisi Robert Heriel Mtibeli Grahams
 
Kumbe tunakula vingi vichafu πŸ™ŒπŸ™†
 
Kumbe tunakula vingi vichafu πŸ™ŒπŸ™†
Cocacola yenyewe asili yake ni kuzimu, nia ya shetani ni kwamba akilisha wanadamu ivo vitu vichafu,watu watakua wagumu kumpokea Yesu, na wakristo wa kweli wrudi dhambini wasimtumikie Mungu ipasavyo, kuharibu mwili kidogo kidogo na kuleta magonjwa k v kisukari, kensa, kuwalisha watu damu za watu bila kujua ivo kuwatendesha dhambi watu bila watu wenyewe kujua Grahams
 
Kama una biashara kubwa lazima uundiwe zengwe na masikini au washindani wako.

Walikuja watu wa kujiita lambalamba mtaani kwetu, wale jamaa walikua wanakula bia bure, wanakula wake za watu hadharani, wanakula madem hovyo.
Kama kawaida wanawake wanavyopenda kutumia hisia, wao ndio waliwafinance sana hao watu.
Zilichangishwa pesa kila duka, kila nyumba eti hao walozi wafanye ulozi.

Wale jamaa walikua waongo wa waziwazi, ajabu watu sijui salipigwa upofu hata hawaoni aisee.
 
Kwahiyo kinywaji gani kinafaa kumpatia Mchungaji akija kunitembelea.

Nimekuwa nikitembelewa na Pastors zangu mara kwa mara na huwa tunawaandalia kinywaji jamii hiyo na Pepsi πŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…