Ananiambia nijipange kwao Mahari huwa ni kubwa. Nimempa assignment

Ananiambia nijipange kwao Mahari huwa ni kubwa. Nimempa assignment

Katika jamii zetu, wanawake wengi wnapenda kujiuza, na baba/kaka/wajomba zao wanapenda kuwauza.

That is the long and short of it.
Mi nadhani ule undugu unamaana zaidi ya mahari.
Nina mama mdogo wangu kaolewa mwaka wa 3 huu njemba haijtoa mahari, lakini yule mtu anavyojitoa kwenye familia utadhani sisi ni familia moja na yeye.

Kuna mwingine alishinikizwa sana atoe mahali, alipotoa akatokomea huko hata simu hapigi ni kama tulimuuza ndgu yetu.
 
Hizi jamii zilizoweka mahari zenyewe zinaelewa kwamba mahari ni ujinga.

Ndiyo maana watu kibao huwa hawamalizi kulipa mahari. Wanaweka ahadi tu.
 
Mi nadhani ule undugu unamaana zaidi ya mahari.
Nina mama mdogo wangu kaolewa mwaka wa 3 huu njemba haijtoa mahari, lakini yule mtu anavyojitoa kwenye familia utadhani sisi ni familia moja na yeye.

Kuna mwingine alishinikizwa sana atoe mahali, alipotoa akatokomea huko hata simu hapigi ni kama tulimuuza ndgu yetu.
Hii ina logic kubwa sana. Si mliniuzia tukamalizana. Ni kama ukienda kununua TV baada ya hapo unaendelea kuhangaika na mwenye duka wa nini? Mlishamalizana. Hii comment yako iwekewe lamination.
 
Mahari ni kubwa ni kweli,

Ila wakati mwingine ukubwa wa mahari unatokana na kipato chako

Huenda wanakupiga mahari kubwa kwasababu wanajua unaweza kuilipa.

Kama unaweza kuilipa na ipo kwenye uwezo basi lipa tu usijali.

Kama kipato chako ni cha wastani sikushauri ulipe mahari kubwa kiasi hicho,

Mahari haina kipimo ni makubaliano kati ya mke na mume watarajiwa, kaeni chini na mchumba wako mkubaliane wala usimdhalilishe mitandaoni, sio busara.

Naamini mkikaa moiyazungumza mtawekana sawa, tafuta wazee wazuri wanajua sana ku bargain hadi itafika 1.5M

Leo kutokana na ukubwa wa mahari imepelekea wanaume wengi kuishia kunyanduana tu af hakuna kuoana

Wazee wenye watoto wafanye urahisi wa mahari ili watoto wao wakike wasizeekee nyumbani au wasiwe single mothers

Usikubali mtego mwingine wa kuweka sherehe yenye gharama kuuubwa kuna maisha baada ya ndoa, ni bora m save kiasi fulani kiwasaidie wote mkiwa kwenye ndoa na sio kuingia kwwnye ndoa na madeni mkaanza kuyalipa badala ya kufanya maendeleo.
Uwezo upo. Ila sitolipa hiyo mahari. Nanunua nini?
 
Sawa utatuonesha mume wako tumfahamu. Na tumuulize kama alikukuta Bikra
wewe hangaika na machangu tu. unatafuta bikra kwa machangudoa? una akili ya hovyo sana wewe. You are a discgrace to your own parents
 
wewe hangaika na machangu tu. unatafuta bikra kwa machangudoa? una akili ya hovyo sana wewe. You are a discgrace to your own parents
Kwa hiyo wewe huna bikra ni changudoa? Sasa kwa nini unataka uoelewe kwa mahari. Kuendekeza uchangudoa wako hadi kwenye kuolewa? Asiye changudoa hahitaji kulipwa pesa kuwa na uhusiano.
 
wewe hangaika na machangu tu. unatafuta bikra kwa machangudoa? una akili ya hovyo sana wewe. You are a discgrace to your own parents
Discgrace ndo neno gani dada? Msiwe na hasira. Jamaa kaongea. Fact namuunga mkono. Wewe kaolewe na atakayekutolea mahari. Akununue. Na usitake mtaji kupitia K
 
Ungejua nafasi yako kama mwanaume unayetegemea kuanzisha familia itakayokutegema kama mkuu wa kaya kuna vitu ungevitazama kwa jicho la tofauti sana.

Yaani umemchambua binti watu kiasi hicho!? Hapo kisa sio mahari tuu! Hayo maneno yameonyesha ulivyo na roho chungu na mbinafsi.

Kama hakufai si umwache? Au ukiambiwa umwoe bila mahari ndio unamwona mwanamke bora??

Tafuta wakubwa wakueleze maana ya mahari watakuambia Mahari ni kipimo cha kujua kama mwanaume yuko tayari kubeba jukumu la ndoa na familia.

Halafu ukiwa mwanaume ukapangiwa mahari kitendo cha kuikubali tuu ni alama tosha kwamba wewe ni mwanaume mwenye kujielewa, mpambanaji na mpiganaji. Mahari unaweza kulipa yote mahari unaweza lipa kwa awamu.

Halafu, Kama mahari imekushinda utaweza kulea mke na watoto?
yote kwa yote mahari ya mil 6 ndefu hela haiokotwi aisee
 
Kwanini ndoa halali iwe gharama?. Hii inachochea vijana waendelee kuingia dhambini
 
Na uyu pia anajiita Mwanaume🫤🫤🫤 mahari tu inakushinda kutunza mke na family utaweza?
 
Sihitaji watu waje kunipangia utaratibu wangu. Namchambua ndiyo sababu sioni sababu ya kutoa hiyo mahari. Mfano wewe mwanaume mwenye akili aje akutolee mahari iweje? NAKATAA KUTOA MAHARI, NAKATAA KUHONGA.
haha hiki sio cha arusha labda cha Malawi hiki kichungi
 
Back
Top Bottom