Ananiambia nijipange kwao Mahari huwa ni kubwa. Nimempa assignment

Na uyu pia anajiita Mwanaume🫀🫀🫀 mahari tu inakushinda kutunza mke na family utaweza?
We mzee watu wanaishi na kutunza familia zao kwa mshahara wa laki na nusu kwa mwezi?!
Ni logic za kipumbavu kuhusisha mahari na uwezo wa mwanaume kutunza familia..
Me naamini km ambazo jamii zetu zimepokea mengi chanya kutoka magharibi pasi na shaka hili nalo la mahari litawafikia na mtaachana nalo
 
Braza sitokupa mawaidha mengi Ila skiza haya mawili vizuri (Nina miaka 9 kwenye ndoa na nipo happy):

1: mjuaji Hana ndoa - inamaana ke kwa kawaida wanaupuuzi mwingi Ila Kama mwanaume to some degree mpe leeway ajiskie tu Ila uwe na red lines anazojua .
Usiwai mwonyesha mke always kuwa akija juu mnapatana juu nyote .
Silence is a powerful weapon .,nenda kwa ndoa zilizokomaa utapata mwanaume akitoa jicho flani ashaeleweka kitambo bila kutumia nguvu ,sauti ,ni respect aliijenga .

2: jifunze kuumpa ke wako nafasi adeke ,dadake katolewa 4.6 M mahari ,anachotafuta ni akaringe na mumewe kuwa anajiweza pia .Usiwe na tabia ya kubana inakuwa mbele ya wenzake hawezi jitambia , kwani millioni 5 utafilisika , Kama ni ya juu mketishe chini mweleweshe Kama mke wako ,Kuna maneno ukitoa ya hekima ,ata uende na na laki 5 atafurahi tu na atakutetea Sana ukweni .

Huku nje tunajitambua Ila kuishi na mtoto wa watu inaitaji hekima Sana ,seek wisdom not pride .
Hyo mismamo ya kijinga umejiwekea utakuja juta
 
Mh......mzee anataka kumalizia nyumba ya wapangaji huyo........
 
Hajanisomeshea. Kamsomesha kwa manufaa yake. Elimu ni ya mwanae. Hainihusu. Nami nimesoma pia. Na kumsomesha ni wajibu wake. Sikusema amsomeshe nije nimuoe.
Mzee binadamu kumuandaa tangu akiwa mchanga mpaka uje mkutane na umuone anafaa sio kaz rahic. Ni kwa neema tu. Hivyo ukiwa Baba mtarajiwa kila wakati kuwa sehemu ya utatuzi sio tatizo. Diplomasia ni muhimu hasa kwenye kila kitu kabla maamuz magumu ukishafikia kuwa na familia Mzee. Mwanaume bora bora ni yule anaetumia akili zaid kuliko hisia.
 
chukua maua yako mama D πŸ’πŸŒΌπŸŒΈπŸŒ»πŸ₯€πŸŒΊπŸŒ·
 
Hujielewi, na kwa izi akili zako hustahili kuishi na mwanamke.

Kama hutaki kutoa mahari jiandae kuwa Upinde au kaoe mzaramo mahari unapeleka ata msaafu tu.

Man up.!!
 
Hujielewi na kwa izi akili zako hustahili kuishi na mwanamke.

Kama hutaki kutoa mahari jiandae kuwa Upinde au kaoe mzaramo mahari ni msaafu tu.

Man up.!!
Hata huyo manzi yake atakuwa ameshamuona yeye ni kipepeo
 
Hata huyo manzi yake atakuwa ameshamuona yeye ni kipepeo
I wish nijue kama Bi mkubwa wake aliolewa kwa mahari or not tusijekua tunamuonea bure

otherwise Mungu atusaidie wanaume maana tunazidi kupukutika kwa kasi ya 5G..!!
 
I wish nijue kama Bi mkubwa wake aliolewa kwa mahari or not tusijekua tunamuonea bure

otherwise Mungu atusaidie wanaume maana tunazidi kupukutika kwa kasi ya 5G..!!
Naomba niulize, hivi kwanini unasema wanaume wanapungua, kwakigezo kipi labda chief???
 
kwenye Familia yetu dada zangu [zaidi ya 5] washaolewa na hakuna alieolewa na mahari chini ya millioni 5 Cash.!! Ukijumlisha na kishika uchumba ni zaidi ya 6M, apo bado elfu 10 kumi za vijana zaidi ya 10, Blanket Kubwa la Wazazi, Vitenge vya Mashangazi zaidi ya 5, Sufuria Kubwa la Kupikia n.k

mtoa Mada njoo apa ututhibitishie kuwa wewe sio Upinde otherwise.. Man Down.!!! Need Back up
 
Fala wewe fanya kazi, tafuta pesa, huyo mwanamke kwa atakayokuja kukufanyia maishani ni zaidi ya mara milioni moja ya hako ka mahali kako.
Ndio atoe mahari ya 6m? Wakuu mnawaza vizuri kweli?

Hata kama ni kutafuta pesa, ndio atafute 6m kwa ajili ya mahari tu? Kuweni serious basi aisee!
 
6m sio hela ya kutisha kutoa mahari? Humu jf kuna watu matajiri sana dah!
 
Mkuu haya maneno ya "haina TV ndani"kama umemwambia Kweli huyo kizibo,basi ujengewe sanamu Pale bandarini.Dp world wakifika walikute.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…