Kwa tanzania hii hakuna ambae M6 kwake anaona ndg,except maza mkubwa na mwigulu,tuliobak wote tunaithamini M6 kwa ukubwa wake,usitudanganye kwa njia ya keyboard kwmb kwako M6 ni kinyonge
kunywa soda kwa Mangi hapo misimamo hii ndo tunaitaka akigoma achana nae jipige kifuani sema mimi ni kidume wa baba yanguHuyu binti inawezekana kabisa nikaachana naye so soon kama hatokuja na majibu sahihi.
Tume date muda kiasi na nlimwambia misimamo yangu toka mwanzo. Anafanya kazi nami nafanya kazi. Hakuna issue ya kupeana pesa. We share. Mimi sihongi hata siku moja. Tunapendana, basi tunakubaliana kupeana mapenzi. Siuzi, Sinunui.
Sasa kwenye mahari ndio ananiambia baba yake alimuoza dada yake kwa Tsh. Mil 4.5 yeye alisema bila mil 6 hamwachii. Nikamwambia itakuwa baba yake alikuwa anatania, mzazi mwenye akili timamu hawezi hata waza hilo neno. Akakasirika kuwa namwambia baba yake hana akili timamu.
Ilileta shida. Mimi nilisisitiza kuwa, baba yake hawezi dai mahari hiyo sababu nahisi atakuwa mzee mwenye akili. Wapumbavu ndio huwa wana hizo tabia. Akakomaa sana kuwa huo ndio ukweli na baba yake ana akili sana tu.
Muda ukaenda imefika seriously kwenda jitambulisha. Now in a serious tone anasema niandae kama Mil. 6, hivi ili hata akishusha basi iwe 5.4
Nlimuuliza hiyo Mil 5 nalipia nini kwake? Je, nimemkuta bikra? Akainamisha kichwa chini. Je, mashine yake ina regulate joto au ni adjustable? Yaani ana nini ambacho ni special kwangu. Akaanza ugomvi nimemdharau, sababu nimeshakaa naye sana kuna ambao wanamuona dhahabu.
Basi nikamwambia it's ok, akaolewe na hao wanaomuona dhahabu. Akanichunia siku 3, nikapanga nguo zake akija azichukue, aondoke. Siku hiyo kaja amefura sana. Nikajua kaja kubeba mizigo yake. Wala. Anataka tuzungumze nilimwambia mimi kiukweli siendi kutoa mahari kwao. Sioni sababu. Kama yupo tayari kuwa nami nitaenda jitambulisha na zawadi nitabeba ila mahari siendi toa. Kama hakubaliani na hilo abebe mizigo yake tu aende.
Sitoi mahari, hilo nimekataa. Mtu nimemkuta ameshachakatwa sana tu. Namtolea mahari iweje? Halafu acha hilo jambo, yaani why nikalipe pesa kwao? Wanawake ambao wapo tayari niwalete home tuishi wengi tu? Yeye ana nini maalum? Nampenda ni kweli, ila siendi mimi mlipia pesa ili kuendelea kulana naye.
Nitatoa zawadi kwa wazazi na ndugu zake. Zawadi si lazima na haina kiwango. But mahari No. Si yeye tu hata mwingine akija. Akitaka tukubaliane kuishi hataki akatafute mwingine.
Subir uolewe Mzee kama unataka mzazi wako apewe mahar. Unaweza kuamua kubadili mfumo sio mbayaMimi nimetoka kwenye mti? Nani anampa mahari mzazi wangu kuniandaa toka nikiwa mchanga mpaka nimekuja kuonek nayeye
Kuna wazazi wavivu wa kutafuta wanadhani watoto wao ni machimbo ya dhahabu. Pamoja na yote unasema umekuta ameshachakatwa, je wewe hujachakata?Huyu binti inawezekana kabisa nikaachana naye so soon kama hatokuja na majibu sahihi.
Tume date muda kiasi na nlimwambia misimamo yangu toka mwanzo. Anafanya kazi nami nafanya kazi. Hakuna issue ya kupeana pesa. We share. Mimi sihongi hata siku moja. Tunapendana, basi tunakubaliana kupeana mapenzi. Siuzi, Sinunui.
Sasa kwenye mahari ndio ananiambia baba yake alimuoza dada yake kwa Tsh. Mil 4.5 yeye alisema bila mil 6 hamwachii. Nikamwambia itakuwa baba yake alikuwa anatania, mzazi mwenye akili timamu hawezi hata waza hilo neno. Akakasirika kuwa namwambia baba yake hana akili timamu.
Ilileta shida. Mimi nilisisitiza kuwa, baba yake hawezi dai mahari hiyo sababu nahisi atakuwa mzee mwenye akili. Wapumbavu ndio huwa wana hizo tabia. Akakomaa sana kuwa huo ndio ukweli na baba yake ana akili sana tu.
Muda ukaenda imefika seriously kwenda jitambulisha. Now in a serious tone anasema niandae kama Mil. 6, hivi ili hata akishusha basi iwe 5.4
Nlimuuliza hiyo Mil 5 nalipia nini kwake? Je, nimemkuta bikra? Akainamisha kichwa chini. Je, mashine yake ina regulate joto au ni adjustable? Yaani ana nini ambacho ni special kwangu. Akaanza ugomvi nimemdharau, sababu nimeshakaa naye sana kuna ambao wanamuona dhahabu.
Basi nikamwambia it's ok, akaolewe na hao wanaomuona dhahabu. Akanichunia siku 3, nikapanga nguo zake akija azichukue, aondoke. Siku hiyo kaja amefura sana. Nikajua kaja kubeba mizigo yake. Wala. Anataka tuzungumze nilimwambia mimi kiukweli siendi kutoa mahari kwao. Sioni sababu. Kama yupo tayari kuwa nami nitaenda jitambulisha na zawadi nitabeba ila mahari siendi toa. Kama hakubaliani na hilo abebe mizigo yake tu aende.
Sitoi mahari, hilo nimekataa. Mtu nimemkuta ameshachakatwa sana tu. Namtolea mahari iweje? Halafu acha hilo jambo, yaani why nikalipe pesa kwao? Wanawake ambao wapo tayari niwalete home tuishi wengi tu? Yeye ana nini maalum? Nampenda ni kweli, ila siendi mimi mlipia pesa ili kuendelea kulana naye.
Nitatoa zawadi kwa wazazi na ndugu zake. Zawadi si lazima na haina kiwango. But mahari No. Si yeye tu hata mwingine akija. Akitaka tukubaliane kuishi hataki akatafute mwingine.
Wewe uliolewa kwa tsh ngapi?Subir uolewe Mzee kama unataka mzazi wako apewe mahar. Unaweza kuamua kubadili mfumo sio mbaya
Nimechakata na ndo maana sidai chochote kama ambavyo sitaki naye adai chochoteKuna wazazi wavivu wa kutafuta wanadhani watoto wao ni machimbo ya dhahabu. Pamoja na yote unasema umekuta ameshachakatwa, je wewe hujachakata?
Mahari Huwa haimalizwi hata walitaka billion unatanguliza advance.
Baba yangu hadi Leo ajamaliza mahari ya mama yangu na anawatukuu
Wazungu hawatoi Mahari.
Na watu wote waliombele ya muda
Umebaki wewe kuolewa nikutolee m5kwenye Familia yetu dada zangu [zaidi ya 5] washaolewa na hakuna alieolewa na mahari chini ya millioni 5 Cash.!! Ukijumlisha na kishika uchumba ni zaidi ya 6M, apo bado elfu 10 kumi za vijana zaidi ya 10, Blanket Kubwa la Wazazi, Vitenge vya Mashangazi zaidi ya 5, Sufuria Kubwa la Kupikia n.k
mtoa Mada njoo apa ututhibitishie kuwa wewe sio Upinde otherwise.. Man Down.!!! Need Back up
Pisikali njoo nikuoeWewe na mtoa mada wote ni upinde [emoji304][emoji2524][emoji304]
Yan km Mo Dewji anaithamini mia tano kwa kutengeneza bidhaa za bei ndg kias icho kwa utajiri wake sembuse ww mchimba chumvi unaetusumbua humu JF eti unambie M6 kwako si kitu,izo standard zitakuja kuwatoa pumzi maninaPole weee
We ndo unafanya tukutilie mashaka itakua hao jamaa walokuja kuoa dada zako walikukaza na ww kwa tamaa ya pesa za wanaume, mwanaume kamili unaepambana kujijenga kwa future yako na familia huwez kutoa M6Is it normal mwanaume unakataa kumtolea mwanamke mahari mkuu??
Kwaiyo we upinde unataka mahari itolewe sh ngap?We ndo unafanya tukutilie mashaka itakua hao jamaa walokuja kuoa dada zako walikukaza na ww kwa tamaa ya pesa za wanaume, mwanaume kamili unaepambana kujijenga kwa future yako na familia huwez kutoa M6
Hizi standard mnazoleta kuiona M6 ndogo zitakuja kuwatoa pumzi mitaani kwenuUmaskini mbaya sana,6M ndo ela ya kuleta uzi hapa?
Sent from my HUAWEI MLA-AL10 using JamiiForums mobile app
Bas unajiona mwamba kulisema neno upinde kwny kila post yako au sio,matusi meng hayakufany uonekane dume kamili mzee ndo ushoga wenyewe huo,badilika, kutukana ovyo wanafanya wanawake ambao wako mweziniKwaiyo we upinde unataka mahari itolewe sh ngap?
Yan km Mo Dewji anaithamini mia tano kwa kutengeneza bidhaa za bei ndg kias icho kwa utajiri wake sembuse ww mchimba chumvi unaetusumbua humu JF eti unambie M6 kwako si kitu,izo standard zitakuja kuwatoa pumzi manina
Hello best
Mimi hata nisingefika mbali pale aliposema "Wengine wanamuona dhahabu" kwahiyo nilipe mahali ya 6Mil kwasababu ya wengine?!😫Huyu binti inawezekana kabisa nikaachana naye so soon kama hatokuja na majibu sahihi.
Tume date muda kiasi na nlimwambia misimamo yangu toka mwanzo. Anafanya kazi nami nafanya kazi. Hakuna issue ya kupeana pesa. We share. Mimi sihongi hata siku moja. Tunapendana, basi tunakubaliana kupeana mapenzi. Siuzi, Sinunui.
Sasa kwenye mahari ndio ananiambia baba yake alimuoza dada yake kwa Tsh. Mil 4.5 yeye alisema bila mil 6 hamwachii. Nikamwambia itakuwa baba yake alikuwa anatania, mzazi mwenye akili timamu hawezi hata waza hilo neno. Akakasirika kuwa namwambia baba yake hana akili timamu.
Ilileta shida. Mimi nilisisitiza kuwa, baba yake hawezi dai mahari hiyo sababu nahisi atakuwa mzee mwenye akili. Wapumbavu ndio huwa wana hizo tabia. Akakomaa sana kuwa huo ndio ukweli na baba yake ana akili sana tu.
Muda ukaenda imefika seriously kwenda jitambulisha. Now in a serious tone anasema niandae kama Mil. 6, hivi ili hata akishusha basi iwe 5.4
Nlimuuliza hiyo Mil 5 nalipia nini kwake? Je, nimemkuta bikra? Akainamisha kichwa chini. Je, mashine yake ina regulate joto au ni adjustable? Yaani ana nini ambacho ni special kwangu. Akaanza ugomvi nimemdharau, sababu nimeshakaa naye sana kuna ambao wanamuona dhahabu.
Basi nikamwambia it's ok, akaolewe na hao wanaomuona dhahabu. Akanichunia siku 3, nikapanga nguo zake akija azichukue, aondoke. Siku hiyo kaja amefura sana. Nikajua kaja kubeba mizigo yake. Wala. Anataka tuzungumze nilimwambia mimi kiukweli siendi kutoa mahari kwao. Sioni sababu. Kama yupo tayari kuwa nami nitaenda jitambulisha na zawadi nitabeba ila mahari siendi toa. Kama hakubaliani na hilo abebe mizigo yake tu aende.
Sitoi mahari, hilo nimekataa. Mtu nimemkuta ameshachakatwa sana tu. Namtolea mahari iweje? Halafu acha hilo jambo, yaani why nikalipe pesa kwao? Wanawake ambao wapo tayari niwalete home tuishi wengi tu? Yeye ana nini maalum? Nampenda ni kweli, ila siendi mimi mlipia pesa ili kuendelea kulana naye.
Nitatoa zawadi kwa wazazi na ndugu zake. Zawadi si lazima na haina kiwango. But mahari No. Si yeye tu hata mwingine akija. Akitaka tukubaliane kuishi hataki akatafute mwingine.
Nipo. Wewe ndio adim....Hello best
Long time no see..upo?