Ananiambia nijipange kwao Mahari huwa ni kubwa. Nimempa assignment

Kwa tanzania hii hakuna ambae M6 kwake anaona ndg,except maza mkubwa na mwigulu,tuliobak wote tunaithamini M6 kwa ukubwa wake,usitudanganye kwa njia ya keyboard kwmb kwako M6 ni kinyonge

Pole weee
 
Huyu binti inawezekana kabisa nikaachana naye so soon kama hatokuja na majibu sahihi.

Tume date muda kiasi na nlimwambia misimamo yangu toka mwanzo. Anafanya kazi nami nafanya kazi. Hakuna issue ya kupeana pesa. We share. Mimi sihongi hata siku moja. Tunapendana, basi tunakubaliana kupeana mapenzi. Siuzi, Sinunui.

Sasa kwenye mahari ndio ananiambia baba yake alimuoza dada yake kwa Tsh. Mil 4.5 yeye alisema bila mil 6 hamwachii. Nikamwambia itakuwa baba yake alikuwa anatania, mzazi mwenye akili timamu hawezi hata waza hilo neno. Akakasirika kuwa namwambia baba yake hana akili timamu.

Ilileta shida. Mimi nilisisitiza kuwa, baba yake hawezi dai mahari hiyo sababu nahisi atakuwa mzee mwenye akili. Wapumbavu ndio huwa wana hizo tabia. Akakomaa sana kuwa huo ndio ukweli na baba yake ana akili sana tu.

Muda ukaenda imefika seriously kwenda jitambulisha. Now in a serious tone anasema niandae kama Mil. 6, hivi ili hata akishusha basi iwe 5.4

Nlimuuliza hiyo Mil 5 nalipia nini kwake? Je, nimemkuta bikra? Akainamisha kichwa chini. Je, mashine yake ina regulate joto au ni adjustable? Yaani ana nini ambacho ni special kwangu. Akaanza ugomvi nimemdharau, sababu nimeshakaa naye sana kuna ambao wanamuona dhahabu.

Basi nikamwambia it's ok, akaolewe na hao wanaomuona dhahabu. Akanichunia siku 3, nikapanga nguo zake akija azichukue, aondoke. Siku hiyo kaja amefura sana. Nikajua kaja kubeba mizigo yake. Wala. Anataka tuzungumze nilimwambia mimi kiukweli siendi kutoa mahari kwao. Sioni sababu. Kama yupo tayari kuwa nami nitaenda jitambulisha na zawadi nitabeba ila mahari siendi toa. Kama hakubaliani na hilo abebe mizigo yake tu aende.

Sitoi mahari, hilo nimekataa. Mtu nimemkuta ameshachakatwa sana tu. Namtolea mahari iweje? Halafu acha hilo jambo, yaani why nikalipe pesa kwao? Wanawake ambao wapo tayari niwalete home tuishi wengi tu? Yeye ana nini maalum? Nampenda ni kweli, ila siendi mimi mlipia pesa ili kuendelea kulana naye.

Nitatoa zawadi kwa wazazi na ndugu zake. Zawadi si lazima na haina kiwango. But mahari No. Si yeye tu hata mwingine akija. Akitaka tukubaliane kuishi hataki akatafute mwingine.
kunywa soda kwa Mangi hapo misimamo hii ndo tunaitaka akigoma achana nae jipige kifuani sema mimi ni kidume wa baba yangu
 
Mimi nimetoka kwenye mti? Nani anampa mahari mzazi wangu kuniandaa toka nikiwa mchanga mpaka nimekuja kuonek nayeye
Subir uolewe Mzee kama unataka mzazi wako apewe mahar. Unaweza kuamua kubadili mfumo sio mbaya
 
Huyu binti inawezekana kabisa nikaachana naye so soon kama hatokuja na majibu sahihi.

Tume date muda kiasi na nlimwambia misimamo yangu toka mwanzo. Anafanya kazi nami nafanya kazi. Hakuna issue ya kupeana pesa. We share. Mimi sihongi hata siku moja. Tunapendana, basi tunakubaliana kupeana mapenzi. Siuzi, Sinunui.

Sasa kwenye mahari ndio ananiambia baba yake alimuoza dada yake kwa Tsh. Mil 4.5 yeye alisema bila mil 6 hamwachii. Nikamwambia itakuwa baba yake alikuwa anatania, mzazi mwenye akili timamu hawezi hata waza hilo neno. Akakasirika kuwa namwambia baba yake hana akili timamu.

Ilileta shida. Mimi nilisisitiza kuwa, baba yake hawezi dai mahari hiyo sababu nahisi atakuwa mzee mwenye akili. Wapumbavu ndio huwa wana hizo tabia. Akakomaa sana kuwa huo ndio ukweli na baba yake ana akili sana tu.

Muda ukaenda imefika seriously kwenda jitambulisha. Now in a serious tone anasema niandae kama Mil. 6, hivi ili hata akishusha basi iwe 5.4

Nlimuuliza hiyo Mil 5 nalipia nini kwake? Je, nimemkuta bikra? Akainamisha kichwa chini. Je, mashine yake ina regulate joto au ni adjustable? Yaani ana nini ambacho ni special kwangu. Akaanza ugomvi nimemdharau, sababu nimeshakaa naye sana kuna ambao wanamuona dhahabu.

Basi nikamwambia it's ok, akaolewe na hao wanaomuona dhahabu. Akanichunia siku 3, nikapanga nguo zake akija azichukue, aondoke. Siku hiyo kaja amefura sana. Nikajua kaja kubeba mizigo yake. Wala. Anataka tuzungumze nilimwambia mimi kiukweli siendi kutoa mahari kwao. Sioni sababu. Kama yupo tayari kuwa nami nitaenda jitambulisha na zawadi nitabeba ila mahari siendi toa. Kama hakubaliani na hilo abebe mizigo yake tu aende.

Sitoi mahari, hilo nimekataa. Mtu nimemkuta ameshachakatwa sana tu. Namtolea mahari iweje? Halafu acha hilo jambo, yaani why nikalipe pesa kwao? Wanawake ambao wapo tayari niwalete home tuishi wengi tu? Yeye ana nini maalum? Nampenda ni kweli, ila siendi mimi mlipia pesa ili kuendelea kulana naye.

Nitatoa zawadi kwa wazazi na ndugu zake. Zawadi si lazima na haina kiwango. But mahari No. Si yeye tu hata mwingine akija. Akitaka tukubaliane kuishi hataki akatafute mwingine.
Kuna wazazi wavivu wa kutafuta wanadhani watoto wao ni machimbo ya dhahabu. Pamoja na yote unasema umekuta ameshachakatwa, je wewe hujachakata?
 
Mahari Huwa haimalizwi hata walitaka billion unatanguliza advance.
Baba yangu hadi Leo ajamaliza mahari ya mama yangu na anawatukuu

Mama yangu mkubwa alipewa mia yake iliyobakia [emoji23].
Siku moja mumewe kampa 300 akamuuliza ya nini eti anamkumbusha kuwa anamalizia lile deni la mahari ya 300 aliyotakiwa kumlipia miaka hiyo…. Uduanzi kweli.
Kila mtu alicheka ila mzee alikuwa serious kabisaaaa
 
kwenye Familia yetu dada zangu [zaidi ya 5] washaolewa na hakuna alieolewa na mahari chini ya millioni 5 Cash.!! Ukijumlisha na kishika uchumba ni zaidi ya 6M, apo bado elfu 10 kumi za vijana zaidi ya 10, Blanket Kubwa la Wazazi, Vitenge vya Mashangazi zaidi ya 5, Sufuria Kubwa la Kupikia n.k

mtoa Mada njoo apa ututhibitishie kuwa wewe sio Upinde otherwise.. Man Down.!!! Need Back up
Umebaki wewe kuolewa nikutolee m5
 
Pole weee
Yan km Mo Dewji anaithamini mia tano kwa kutengeneza bidhaa za bei ndg kias icho kwa utajiri wake sembuse ww mchimba chumvi unaetusumbua humu JF eti unambie M6 kwako si kitu,izo standard zitakuja kuwatoa pumzi manina
 
Is it normal mwanaume unakataa kumtolea mwanamke mahari mkuu??
We ndo unafanya tukutilie mashaka itakua hao jamaa walokuja kuoa dada zako walikukaza na ww kwa tamaa ya pesa za wanaume, mwanaume kamili unaepambana kujijenga kwa future yako na familia huwez kutoa M6
 
Kwaiyo we upinde unataka mahari itolewe sh ngap?
 
Yan km Mo Dewji anaithamini mia tano kwa kutengeneza bidhaa za bei ndg kias icho kwa utajiri wake sembuse ww mchimba chumvi unaetusumbua humu JF eti unambie M6 kwako si kitu,izo standard zitakuja kuwatoa pumzi manina

Tafuta pesa ili uweze kuelewa milioni 6 ni heshma na upendo. Ukishazipata utajua upendo ni kutoa
Unalialia na milioni 6 unavyowaza kuitoa maisha yako yote utaweza kununua diapers na maziwa wewe🙄🙄
 
Huyu binti inawezekana kabisa nikaachana naye so soon kama hatokuja na majibu sahihi.

Tume date muda kiasi na nlimwambia misimamo yangu toka mwanzo. Anafanya kazi nami nafanya kazi. Hakuna issue ya kupeana pesa. We share. Mimi sihongi hata siku moja. Tunapendana, basi tunakubaliana kupeana mapenzi. Siuzi, Sinunui.

Sasa kwenye mahari ndio ananiambia baba yake alimuoza dada yake kwa Tsh. Mil 4.5 yeye alisema bila mil 6 hamwachii. Nikamwambia itakuwa baba yake alikuwa anatania, mzazi mwenye akili timamu hawezi hata waza hilo neno. Akakasirika kuwa namwambia baba yake hana akili timamu.

Ilileta shida. Mimi nilisisitiza kuwa, baba yake hawezi dai mahari hiyo sababu nahisi atakuwa mzee mwenye akili. Wapumbavu ndio huwa wana hizo tabia. Akakomaa sana kuwa huo ndio ukweli na baba yake ana akili sana tu.

Muda ukaenda imefika seriously kwenda jitambulisha. Now in a serious tone anasema niandae kama Mil. 6, hivi ili hata akishusha basi iwe 5.4

Nlimuuliza hiyo Mil 5 nalipia nini kwake? Je, nimemkuta bikra? Akainamisha kichwa chini. Je, mashine yake ina regulate joto au ni adjustable? Yaani ana nini ambacho ni special kwangu. Akaanza ugomvi nimemdharau, sababu nimeshakaa naye sana kuna ambao wanamuona dhahabu.

Basi nikamwambia it's ok, akaolewe na hao wanaomuona dhahabu. Akanichunia siku 3, nikapanga nguo zake akija azichukue, aondoke. Siku hiyo kaja amefura sana. Nikajua kaja kubeba mizigo yake. Wala. Anataka tuzungumze nilimwambia mimi kiukweli siendi kutoa mahari kwao. Sioni sababu. Kama yupo tayari kuwa nami nitaenda jitambulisha na zawadi nitabeba ila mahari siendi toa. Kama hakubaliani na hilo abebe mizigo yake tu aende.

Sitoi mahari, hilo nimekataa. Mtu nimemkuta ameshachakatwa sana tu. Namtolea mahari iweje? Halafu acha hilo jambo, yaani why nikalipe pesa kwao? Wanawake ambao wapo tayari niwalete home tuishi wengi tu? Yeye ana nini maalum? Nampenda ni kweli, ila siendi mimi mlipia pesa ili kuendelea kulana naye.

Nitatoa zawadi kwa wazazi na ndugu zake. Zawadi si lazima na haina kiwango. But mahari No. Si yeye tu hata mwingine akija. Akitaka tukubaliane kuishi hataki akatafute mwingine.
Mimi hata nisingefika mbali pale aliposema "Wengine wanamuona dhahabu" kwahiyo nilipe mahali ya 6Mil kwasababu ya wengine?!😫
Wanawake wanafeli wapi?!
 
Back
Top Bottom