Ananiambia nijipange kwao Mahari huwa ni kubwa. Nimempa assignment

Acha ujinga , unataka kujilinganisha na mwanamke ?? Unapotengeneza himaya lazima kila kitu kiwe chini yako , ndo mana mnazalishiwa wake zenu na wanaume wengine , mana mwanamke anakuona mdebwedo na unakwepa majukumu , ..akikutana na jamaa huko linamhudumia mpak wazazi wake , lazima ulee watoto ambao sio wako..uanaume unapambaniwa jombaa
 
Hata maana ya mahali unaonekana haujui. Kwa hiyo mahali yako unaenda kumuweka nani chini ya himaya yako? Au mnajipiga vifua na kujiona vidume kwa masimulizibya kale ambayo mazingira ya sasa wala haya support mfumo ule?
Kingine usudhani kuzalishiwa mke wako ni uzembe wako, hiyo mara nyingi ni umalaya wa mwanamke mwenyewe na tabia zake za hovyo ulizozitolea mahali
 
usitufokeee waoaji ni sisi watoa mahali ni sisi tushasema hatutoi mahari kubwa bora nikanunue IST itanifariji kuliko kununua redio ndani kila wakat mikelele tuuh
 
Lipa mahari uchukue mke
Hiyo unayotaka wewe itakuja kukutesa
Kama hujalipa mahari kimira na desturi watoto ni Mali ya kikeni na huna sauti.
Je, utakubali?
Huu ni ujinga mkuu ukisema hivi ntauliza swali moja..... kama huna sauti inamaana 'usihusishwe' na malezi ya hao watoto
 
KAMA UNAONA HUWEZI SI UTAFUTE MASIKINI MWENZAKO

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 

Juzi kijana mmoja wa kisukuma hapa singida vijijini ameniambia ameoa mke kwa kutoa ng'ombe 25 wakubwa siyo ndama. Na makabila mengi bado mahari iko kwa mtindo huo.
Hivi ukiwauza hao ngombe 25 hawafiki hiyo 6mil au kosa ni kutamka hiyo 6mil cash?
 
Kila kitu katika maisha ni mapambano,

You need to negotiate (sometimes with yourself) and make appropriate decisions, even crossing a road needs good decision making otherwise tutakupoteza
Bro,hakuna tofauti na human trafficking km unanegotiate afu kuna binadamu katikati ya hayo marumbano ya bei ili aweze kuhama kwao
 
Juzi kijana mmoja wa kisukuma hapa singida vijijini ameniambia ameoa mke kwa kutoa ng'ombe 25 wakubwa siyo ndama. Na makabila mengi bado mahari iko kwa mtindo huo.
Hivi ukiwauza hao ngombe 25 hawafiki hiyo 6mil au kosa ni kutamka hiyo 6mil cash?
Iwe ng'ombe au iwe cash...kosa ni kwann mwanamke auzwe?
Mimi hata nkiwa bakhresa sitoi hata 100 ya mahari
 
Hivi kwamfano ukimkuta binti kashazalishwa ni single maza....na penyewe huwa wanaomba mahari?
 
Okay tuseme mahari ni sadaka.
Kama mungu wa mbingu na nchi hakupangii sadaka hata shingi 50 anapokea, kwanini mahari(sadaka) tupangiane?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…