Ananiambia nijipange kwao Mahari huwa ni kubwa. Nimempa assignment

Ananiambia nijipange kwao Mahari huwa ni kubwa. Nimempa assignment

Huyu binti inawezekana kabisa nikaachana naye so soon kama hatokuja na majibu sahihi.

Tume date muda kiasi na nlimwambia misimamo yangu toka mwanzo. Anafanya kazi nami nafanya kazi. Hakuna issue ya kupeana pesa. We share. Mimi sihongi hata siku moja. Tunapendana, basi tunakubaliana kupeana mapenzi. Siuzi, Sinunui.

Sasa kwenye mahari ndio ananiambia baba yake alimuoza dada yake kwa Tsh. Mil 4.5 yeye alisema bila mil 6 hamwachii. Nikamwambia itakuwa baba yake alikuwa anatania, mzazi mwenye akili timamu hawezi hata waza hilo neno. Akakasirika kuwa namwambia baba yake hana akili timamu.

Ilileta shida. Mimi nilisisitiza kuwa, baba yake hawezi dai mahari hiyo sababu nahisi atakuwa mzee mwenye akili. Wapumbavu ndio huwa wana hizo tabia. Akakomaa sana kuwa huo ndio ukweli na baba yake ana akili sana tu.

Muda ukaenda imefika seriously kwenda jitambulisha. Now in a serious tone anasema niandae kama Mil. 6, hivi ili hata akishusha basi iwe 5.4

Nlimuuliza hiyo Mil 5 nalipia nini kwake? Je, nimemkuta bikra? Akainamisha kichwa chini. Je, mashine yake ina regulate joto au ni adjustable? Yaani ana nini ambacho ni special kwangu. Akaanza ugomvi nimemdharau, sababu nimeshakaa naye sana kuna ambao wanamuona dhahabu.

Basi nikamwambia it's ok, akaolewe na hao wanaomuona dhahabu. Akanichunia siku 3, nikapanga nguo zake akija azichukue, aondoke. Siku hiyo kaja amefura sana. Nikajua kaja kubeba mizigo yake. Wala. Anataka tuzungumze nilimwambia mimi kiukweli siendi kutoa mahari kwao. Sioni sababu. Kama yupo tayari kuwa nami nitaenda jitambulisha na zawadi nitabeba ila mahari siendi toa. Kama hakubaliani na hilo abebe mizigo yake tu aende.

Sitoi mahari, hilo nimekataa. Mtu nimemkuta ameshachakatwa sana tu. Namtolea mahari iweje? Halafu acha hilo jambo, yaani why nikalipe pesa kwao? Wanawake ambao wapo tayari niwalete home tuishi wengi tu? Yeye ana nini maalum? Nampenda ni kweli, ila siendi mimi mlipia pesa ili kuendelea kulana naye.

Nitatoa zawadi kwa wazazi na ndugu zake. Zawadi si lazima na haina kiwango. But mahari No. Si yeye tu hata mwingine akija. Akitaka tukubaliane kuishi hataki akatafute mwingine.
Kaa na wazee wakuelimishe kidgo naona kuna mahali hujafahamu ..... sintozungumzia kiwango ila huwezi ishi na mtoto wa mtu bure
 
Na wapo wanalipiwa mahari na wanaume wenzao
Hizi lalama za wanaume zinawaingiza kwenye laana

Tafuta wa elfu50 unayemmudu. Wa milioni6 waachie wanaoweza😂
Kwahiyo unwkubaliana na mm kuwa kipimo cha mwanaume kumudu ndoa siyo mahari!?? Ndiyo maana Kuna wa bure, wa elfu 50 na milioni 6.

Bali mahari ni uzuzu wa mzazi kutaka kutokea kupitia mahari ya binti yake.
 
unakuta mtu anarangi mbili mwilini hana joto la asili zaid ya kuwa wa baridi kama friji alafu anatoka adharani anajifananisha na bei ya IST
Hahahaha yote hayo naweza nikayakubali lakini unakuta bado mtu ametumika ana list ya wanaume zaidi ya 30+ ambao wote wamejilia bureee kabisa alafu mmoja ndio alipie mzigo huo kwa m6+ kwa kipi hasa kilichobakia.

Unajua hawa watu hawapendi ukweli
HESHIMA ina gharama zake

Ukitaka heshima lazima ulipie gharama zake
 
Hapo angekuwaa jamaa sasa anasema dada akoo ashatombesha sanaa inabdi amchukue bureeee weee moto ambao ungewashaaa 😀 😀 😀 😀 😀
Kwanza sidhani kama ni busara kuingilia maisha ya dada ako,kama una tabia hiyo acha.
 
Kwanza sidhani kama ni busara kuingilia maisha ya dada ako,kama una tabia hiyo acha.
Sasa yeye huyo anamuona ni mke ilaa kwa mwingine ni dadaaaa....! ukitaka kufanya mambo ya ovyoo geuzaa shilingi kwanza kama wew ungefanyiwaa hivyoo je.
 
Huyu jamaa bado yuko kwao na amekua shuhuda wa dada zake zaidi ya watano wakiolewa,nadhan ndo experience ya maisha aliyonayo kwny maisha,alivyoona M5 zinatolewa kwa dada zake akaona maisha rahisi sijui alitamani na yeye awe wa kike aongeze mtaji kwa wazazi wake
Na inawezekana na yeye akatolewa mahari inaonekana wazazi wake wanatamaa sana. Jamaa anawaonea wivu dada zake wanatolewa mahari kubwa. .. ndo maana hiki kizazi hamna kitu kabisa
 
Angekuwa mume wangu hata mil 10 angetoa na hata akishindwa angefanya negotiations, SI mtu wa kukata tamaa kirahisi, Mungu akuweke mume wangu
Utakuwa na mume wewe? Wenye waume hawana huu muda. Family yako haikujipanga kiuchumi inakuja kukuuza ipate pesa za kujikwamua. Huo ni uchangudoa rasmi. Na mnaweza olewa wote
 
Acha uoga nenda kawasikilize watakwambia mahari kiasi gani negotiation si inaruhusiwa jamani[emoji849]Halafu kutoa mahari n lazima sio ombi .
Ni negotiate wanauza nini? Na je nikiwaambia mtoto wao siwezi mlipia hiyo pesa sababu
1. K yake haina joto la kutosha
2. Imeshatumika sana
3. Amewahi toa mimba

Ni sawa?
 
Pamoja na yote hayo lkn bado unahitaji kuishi nae na umekiri kuwa unampenda sababu zako si lolote si chochote kama bado unamuhitaji huyo binti otherwise uwe umeshamchoka.
 
Mjinga sana wewe hakuna mtu atakubali hivyo hata kama umembebesha mimba huwezi huyo sio ng'ombe eti . Acha uboya ni mtoto wa mtu mwingine zaa wako mgharamie halafu aje kijeba tu fulani amlee amchezee halafu aje kwako umpe free akaendelee na ujinga utaishi single milele
 
Mjinga sana wewe hakuna mtu atakubali hivyo hata kama umembebesha mimba huwezi huyo sio ng'ombe eti . Acha uboya ni mtoto wa mtu mwingine zaa wako mgharamie halafu aje kijeba tu fulani amlee amchezee halafu aje kwako umpe free akaendelee na ujinga utaishi single milele
Changudoa sana wewe. Yaani mshindwe kujipanga kimaisha mtegemee kuja kutokea kwenye mahari. Mtaishia kuolewa familia nzima. Mniuzie kwani yeye ng'ombe? Halafu unasema agharamiwe. Sasa kama ulizaa ulitaka nani akugharamie? Na suala la kutunzwa kwani mwanaume hakutunzwa mpaka kufikia hapo? Mnafanya biashara kupitia K? Sasa wakiisha watoto kinachofatia si mama na baba nao kuja kuolewa?
 
Back
Top Bottom