Adriel Vin
Senior Member
- Jun 25, 2020
- 148
- 759
Yani kwa nilivyosoma tu, uandishi wako wenyewe unaonyesha kuna ubabe flan na lugha si nzuri unatumia kwa binti wa watu, kitendo cha kusema umekuta ameshatumika wewe hujamtumia? Thaman ya binadamu haipimwi hvyo mkuu… weka utu kwanza na hata ungezungumza nae kwa busara msingefika huko, Jitafakari mkuu