Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kachizika huyu hana akili kabisaKusoma tumesoma kipato tunacho na usawa hatuutambui kwenye issue ya mahari. Usawa ni kwenye elimu, ajira, kumiliki Mali ndani ya jamii ila usituletee usawa wa kutaka tukulipie mahari. Hivihivi ndio wanaume wanageukaga🙄
Wewe milioni 6 kwa maisha yako yote umeongea karibu uzimie, utaweza kununua diapers na maziwa ya watoto kweli🙌🙌
Kachizika huyu hana akili kabisa
Atafute hela halafu aje kukuhonga mtoto mremboTafuta hela uache kunipotezea muda kijana
Maisha ukiyapanga sana unachanganyikiwaEti eeeeh?
Wameitana ......... Wakitaka wapate haki ya kununuliwa.Wanawake mmeamua kuandamana kwenye huu Uzi[emoji1][emoji1]
Hapo ndo Mimi ninapo onawanawake wanakosea wakitongozwa wanaachia mali alafu mahali wanang'ang'ania kiwango ambacho muoaji hawezithere is always simple solution to difficult issues......kaa bila kuoa. Kuwa bachela si kosa kisheria. Nenda RITA utapewa hadi cheti cha bachela. You will be a certified bachelor.
Lakini kudhani utaoa mke bila kutoa cho chote huko ni kujidanganya na ujinga wa level ya uprofesa. Endelea kuoa/kubadili machangudoa wa mitaani kila siku. Lakini ujue hata ukitaka kumuoa huyo changu, akikupoleka kwa wazazi wake lazima utalazimika kutoa kitu.
Ila inakata hamasa yani watu wanakaa ilikubageni jambo ambalo litafanya kuibuka hali ya undugu na bado mtakuwa mkisaidiana Kwa mambo mengi mbalimbaliAcha uoga nenda kawasikilize watakwambia mahari kiasi gani negotiation si inaruhusiwa jamani[emoji849]Halafu kutoa mahari n lazima sio ombi .
Sahii [emoji419] kabisaNa ndio ukiona wa milioni6 humuwezi katafute wa laki, kwani si wapo??
Lawama za nini!?
Na hiyo IST mkuu itakufanya utafune matunda yaliyo njiani kimasihara kabisa yani, ambayo mengine ni milioni tatu nne,tano,sita hukousitufokeee waoaji ni sisi watoa mahali ni sisi tushasema hatutoi mahari kubwa bora nikanunue IST itanifariji kuliko kununua redio ndani kila wakat mikelele tuuh
Sahihi kabisa! Huyo binti ni dalaliDalali hilo .ukiona mwanamke ndo ana jipigia debe mahali yake jua ni bogus tu
Unamgaslight jamaaa tu.. We huwa unakubaliana na kila unachoambiwa?Ungejua nafasi yako kama mwanaume unayetegemea kuanzisha familia itakayokutegema kama mkuu wa kaya kuna vitu ungevitazama kwa jicho la tofauti sana.
Yaani umemchambua binti watu kiasi hicho!? Hapo kisa sio mahari tuu! Hayo maneno yameonyesha ulivyo na roho chungu na mbinafsi.
Kama hakufai si umwache? Au ukiambiwa umwoe bila mahari ndio unamwona mwanamke bora??
Tafuta wakubwa wakueleze maana ya mahari watakuambia Mahari ni kipimo cha kujua kama mwanaume yuko tayari kubeba jukumu la ndoa na familia.
Halafu ukiwa mwanaume ukapangiwa mahari kitendo cha kuikubali tuu ni alama tosha kwamba wewe ni mwanaume mwenye kujielewa, mpambanaji na mpiganaji. Mahari unaweza kulipa yote mahari unaweza lipa kwa awamu.
Halafu, Kama mahari imekushinda utaweza kulea mke na watoto?
Mzee bado unakaa na muuaji? Aisee mie mtu atoe mimba ya mwanangu bila idhini yangu nae anaondoka tu on the spot. Silei wauaji mmNilishampa mimba mara mbili akatoa. Sina wasiwasi. Na nlishamwambia aondoke kama anaona bila mahari hawezi kuishi nami. Hajaondoka.