mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Unamgaslight jamaaa tu.. We huwa unakubaliana na kila unachoambiwa?
Kwanza mm naamini Mahari kama hizo ni human trafficking. Hata watumwa walikua hawauzwi bei hio.
Unalipa mahari yote hiyo alafu mtu akiingia ndani achague nn cha kufanya mara anune mara nn.
Uanaume sio kuvumilia ujinga na kukubali anything tu. Mwanaume ni yule anaejipenda na kuchagua kile anaona ni sahihi kwake. Shida enu mnajionaga mayai sana.
Nowdays men wanafata Value.. Value gani unaleta nyumbani kwangu.
Ukikua utajua
Sasa soma tuu utulie