Ananiambia nijipange kwao Mahari huwa ni kubwa. Nimempa assignment

Mbona kushindwa mahari hakuna uhusiano na malezi

Unashndwa kulipa mahari ya milioni moja utaweza kumkomboa mke kwenye uzazi unaogharimu milioni moja?

Au ndio utamwambia ajikaze hadi afe, halafu akishakufa ukatafute mwingine.

Acheni kulalamikia mahari tafuteni pesa.
Mwanaume kuitwa kichwa ni uwezo wa kubeba majukumu sio uwezo wa kukwepa matatizo
 
Wewe oa mwanamke unayeweza kumuoa kwa mahari na matunzo.

Ukikutana na mahari ukaiona ni kubwa usilalamike wala kukasirika.....tafuta saizi ya uwezo wako
Kwa hiyo kila mwanamke ana value yake? Yaani unataka kutuambia mpo kama bidhaaa........ na bidhaa kadili ya mda unavyo enda,inapoteza thamani.

Hiyo Paragraph ya mwisho ni sawa na umewatukana wanawake wenzio.
 
Kwaiyo Wewe unakubali kumlipia mwanamke milion 6 mahari?

Milioni 6 inaweza kuwa kubwa kwako lakini ukaona milioni mbili ni sawa. Vilevile mwingine anaweza kuona mahari ya milioni 1 kuwa kubwa kwake

Kikubwa hapa tafuta saizi yako kwenye upande wa mahari ndio umuoe, hiyo milioni 6 uliyoambiwa ukaona kubwa waachie wenye kuweza kuitoa
 
Kwa hiyo kila mwanamke ana value yake? Yaani unataka kutuambia mpo kama bidhaaa........ na bidhaa kadili ya mda unavyo enda.

Hiyo Paragraph ya mwisho ni sawa na umewatukana wanawake wenzio.

Mahari haimaanishi manunuzi ya mwanamke. Wala ukiambiwa utoe mahari kwa value ya mwanamke milioni 6 sio pesa ni masihara.

Mahari ni utaratibu wa kumtambua muoaji na jamii yake

Kama wewe hapa tumeshakutambuaa
 
Mahari inapaswa kutajwa na anayeolewa sio anayeozesha. Huyo baba yake ndio ataolewa? Huu utaratibu ni wa Kipumbavu.
Hakuna upande sahihi wa kutaja mahari
Mahari ni unyonyaji kwa upande wa mwanaume
 
Hata iweje binafsi siwezi kumlipia mtoto wa mtu 6M,na bikra katoa fala tu ambaye kagaramia simu ya laki na nusu na bolt. Halafu uboya zaidi unakuja wazazi tu wamekaa wakakuona ndezi wanaamua wakupige 6M, UONGO brother !
Hongera mkuu wewe ni mcabodia aka mtalibani🔥🔥
 
Zipo jamii hapa hapa Tz huhitaji kutoa chochote Ili upate mke. Mtu akitaka mke wa hivyo hakuna anayezuia. Na zipo jamii zinatozana Mali ya kutosha Ili upate mke, huna Cha kutoa acha kuoa na hakuna atakayejali ingawaje pia hata huku wapo hata hao wa bure. But again hata huku tunakotoza mahari zipo koo pia kiasi Cha mahari kinategemea na hadhi ya familia zinazooleana lakini pia sifa/sura ya mwolewaji Ina mchango katika kiasi Cha mahari. Sisi tunaendelea kuona Kwa mahari hiyo hiyo na hatumlalamikii mtu.
 
😂😂😂 UMEMALIZA.
 

Umesema yote
 
Hongera mkuu wewe ni mcabodia aka mtalibani🔥🔥
Achana na mawazo ya kitoto ya ubikira, hizi siyo zama za akina nabii Ibrahim. Na inawezekana hata wewe ni zao la mama ambaye hakuwa bikira Kwa baba yako. Shida Iko wapi? Wanawake wa Bure mbona wapo, wafuate hao. Na wanawake wanaoolewa Kwa mahari wapo, na wapo walio tayari kutoa hizo 6mil plus.
 
Mahari haimaanishi manunuzi ya mwanamke. Wala ukiambiwa utoe mahari kwa value ya mwanamke milioni 6 sio pesa ni masihara.

Mahari ni utaratibu wa kumtambua muoaji na jamii yake

Kama wewe hapa tumeshakutambuaa
Kweli ni kutambuana ndio uweke mil 6? Ukiuliza unasema oa ambae unammudu,huoni ni kama biashara halafu unapoteza maana ya msingi wa ndoa.

So hata kama ikiwa wamependana,ila mwanaume akiwa hana uwezo wa kutoa hela hiyo (ila uwezo wa kumtimizia binti maitaji ya msingi anao),inamaana huyo mwanaume amwache akatafute mwanamke mwengine?

Ndio maana siku hizi mabinti wengi wanapresha ya kutaka kuolewa na wanaume wenye hela kuliko wanao wapenda,kila mzazi anamsisitiza binti yake "tuleteeee mtu wa maana.......",ukichunguza mtu wa maana ni yule mwenye mpunga.

Ndio maana wengi wao umri unaenda,wapo single na kwakuwa initially mapenzi waliyafanya kama biashara kwa kujifanya bidhaa, thamani inapotea kadili umri unavyoenda.

Ndio maana siku hizi ndoa za njoo tukae/uchumba sugu zimekuwa nyingi ni mwendo wa kutiana mimba,baadae wazazi wenyewe wanabadilisha mawazo na kuwa tayari kukupa mke hata bure.
 
hakuna cha mawazo ya kizamani na utotohapa binadamu mlishaamua kuwa wakengeukaji na kumuacha MUUMBA WENU na kanuni zake mnaanza kutetengea USHENZI hapa. TIT FOR TAT 6 binti aliyepitiwa till kachoka never.
 
hakuna cha mawazo ya kizamani na utotohapa binadamu mlishaamua kuwa wakengeukaji na kumuacha MUUMBA WENU na kanuni zake mnaanza kutetengea USHENZI hapa. TIT FOR TAT 6 binti aliyepitiwa till kachoka never.
Braza, Kuna mtu kakushikia fimbo ya kukulazimisha kuoa huyo wa 6mil na asiye bikira? Si ukatafute wa chaguo lako? Achana na hao wenye hiari ya kutoa hizo 6 mil na usiwapangie. Sisi huku kwetu tunatoza Ng'ombe siyo chini ya 15 na value ya kila ngo'mbe siyo chini ya lakini 5. Huna acha na uhamie kwa wa laki 2 maana nao pia wapo. Hakuna mtu anashindwa kuoa sababu siyo kila KE anaozwa Kwa 6 mil.
hakuna cha mawazo ya kizamani na utotohapa binadamu mlishaamua kuwa wakengeukaji na kumuacha MUUMBA WENU na kanuni zake mnaanza kutetengea USHENZI hapa. TIT FOR TAT 6 binti aliyepitiwa till kachoka never.
 
mzee mbona mimi sijalazimisha mtu ? tunatooa mitazamo yetu ndio maan tuko jukwaani hapa.
 
Nakumbuka wakati nataka kwenda kujitambulisha ukweni, nilikuwa na msimamo kama wa Mtoa mada Mjegejo Wa Begeju ! Nikamweleza kuwa wakitaka hela nyingi mimi simo. Akanipa Siri kuwa babu yao alikuwa mlokole na alikataza pombe badala yake iwe ni kilo ya sukari na mahari isizidi elfu saba.

Na mimi nilifanya hivyo, hata watoto wangu wa kike mahari yao ni saba. Kama yupo Tanzania ni shs 7,000. Na nimeozesha na wajukuu wapo.

Mahari ni sunna tu! Kwani mtoto una Muuza? Kuna imani potofu ati binti yake kamgharamia, je wa kiume hajagharamiwa?
 
Wewe nenda Kwa baba yake apange mahali ndiyo mnegoshieti kama utashindwa basi mwambie nimenawa mikono Sina hiyo Hela. Binti anakamia Kwa kuwa ashakujua wewe ni bahiri hivyo anataka cha juu chake na yeye ndiye atakayewasuka

Mahali Huwa ni kitu kilichondani ya uwezo wa muoaji, harafu wakitaka usimuoe Binti Yao huwa wanakaza kwenye mahali tu na hakuna kutanguliza .
Wewe waweza jifanya mwamba ikitokea akaja kuvutia kwamba chumbani kwako ndiyo utajua hujui na mahali utaitolea maiti tena cash

Unapowaza na kuwazua jikite ki maarifa zaidi na siyo mihemuko ujue

NB anataka hiyo aichukue yeye afanye mambo yake fasta na akuache mweupe peee

Acha ujinga
 
Una mifano ya kufikirika sana haiko realistic hata kidogo. Kwannmuda woote mnawaza matatizo tuu????
 
SIo kwa milion sita hata aww mtoto wa Samia
 
Mahari haimaanishi manunuzi ya mwanamke. Wala ukiambiwa utoe mahari kwa value ya mwanamke milioni 6 sio pesa ni masihara.

Mahari ni utaratibu wa kumtambua muoaji na jamii yake

Kama wewe hapa tumeshakutambuaa
Kama ni utaratibubwa kumtambua muoaji, kwan laki 5 haimtambukishi muoaji? Au unazungumzia kumtambulisha katika perspective ipi? Ya ukwas wake au??
 
Mafala huwa hawakosekan, oa kwa milion sita mwanamke aligongwaaa na wenzio countlesa na elf 50 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…