Ananiambia nijipange kwao Mahari huwa ni kubwa. Nimempa assignment

Ma baba hili nalo waliangalie,wanawasotesha mabinti zao wanaishia kuzalishwa tu nyumbani,
 
Watoto wa kike ni mitaji[emoji16]
 
Nianze na ww..mwanao wa kike mahari yake bei gani?
 
Kama mahari ni kipimo cha ukomavu wa mwanaume, mwanamke kipimo chake cha ukomavu ni nini?
 
Mfano,

Kuna binti alitolewa barua laki saba,mbuzi sijui na mablanket,

Mahari alitaja milion tatu,kwa wazazi

Na akachukuliwa kuishi na huyo bwana,

Sasa maisha ya humo ndani yashamshinda/amechoka na kuondoka hawezi mila zao hadi azae na huyo bwana tena mtoto wa kiume ndiyo atoke[emoji23]


Sasa mtu unateseka kisa wazazi wako walikula pesa za mahari[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], hii hapana[emoji706]
 
Nianze na ww..mwanao wa kike mahari yake bei gani?

Utaratibu wa mahari hautoki kwangu, kuhusu mwanangu itajadiliwa na kuamuliwa kadri ya imani na desturi zetu

Ikiwa ni gram 900 za dhahabu, ng'ombe na Punda powa tuu
 
Naenda kugalagazwa mie halafu mahari wale wengine,[emoji23]

Tumetofautiana imani kwa nyie waarabu ni sawa wewe mtt wa kike kutaja mahari yako
 
Utaratibu wa mahari hautoki kwangu, kuhusu mwanangu itajadiliwa na kuamuliwa kadri ya imani na desturi zetu

Ikiwa ni gram 900 za dhahabu, ng'ombe na Punda powa tuu
Kama baba yake akikataa izo gram 900 na ng'ombe utakaa asiolewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…